Kwanini hakukuwa na Manabii/Mitume Waafrika (watu weusi)?

Kwani wewe umesema mitume wa vitabu gani?

Ukristo?
Uislam?

Kwani hivyo vitabu vimetaja mitume walikuwa watu wa aina gani? Wazungu?warabu??

Kwani yesu alikuwa mtu wa rangi gani??

Sijataja dini mada imekuja kuwa WAAFRICA tumetengwa kila secta hapa duniani.. kusanya vitabu vyote unavyovijua na kuvifahamu niletee nabii au mtume mwafrica alikuwa akilima shamba gani? Na kondoo wake walikuwa na rangi gani?
 

Hakika tumetengwa sana.. na naweza kuamini hawa mitume na manabii waliojaa AFRICA ni malipizi na sisi WAAFRICA tujidai na kujipambanua sema tatizo manabii na mitume yetu inazingua sana au kwa vile wamekuja zama moja kwa mpigo kwa wingi sana
 
Ma Pharaos ( watu weusi) waliongoza dunia kwa zaidi ya karne 30 (B.C.)
 
Ma Pharaos ( watu weusi) waliongoza dunia kwa zaidi ya karne 30 (B.C.)

Shukrani kwa hili kama nataka nikusikilize vilee lakini ngoja nifungue makashablasha yangu nakurudia.. uwepo hapa usindee mbali sana
 

Ezekieli Samweli Samson Walikuwa Weusi
 
Mkuu hizo unazosema ni propaganda za Wazungu , Bara la Afrika lina historia ndefu kuliko hata bara la Ulaya.

Hayo unayosema ni athari za ukoloni, kumbuka History Has Been Written by those who have hanged Heroes.

Afrika imetoa Mitume wengi Mfano Mtume Mussa alikua Muafrika.
 

Acha Uongo Wewe Mitume Na Manabii Wengi Walikuwa Weusi Ukianza Na Ezekieli Samweli Samson Na wengine Wengi Tu
 
inaonesha unatokea familia ya hovyo sana mkuu

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hakuna anayeweza kukubali huo ukweli... ila nikajua utasema hawa walioandaa vitabu vya dini watakuwa wamewaficha historia ya WAAFRICA MANABII NA MITUME kwa lengo la kutunyong’onyesha na kututawala vizuri... BINAFSI NAAMINI MANABII NA MITUME WALIKUWEPO WAAFRICA ila Kuna baadh ya wahujumu hapa duniani wanatutenga tu WAAFRICA
 
Nipe historia ya hata mapharaos wawili ambayo ipo wazi.. ulimwenguni na inafatwa na tamaduni ya dini yeyote na pia walikuwa WAAFRICA?

[emoji15][emoji15] Hujui hata hili
 

Tangu nianze kuangusha huu uzi sasa naanza kupata ninachoona kinawafaa WAAFRICA.. na huu unaweza kuwa ukweli 100% asante mkuu
 
Hilo ni somo la history...

Wataalamu wa historia waote wanaamini kuwa "ancien Egypt is the greatest civilisation of the antiquity"
an walikua ni WAAFRICA sio waarabu

Kikubwa hakuna history ya wazi iliyowekwa kwenye vitabu vya dini tunazoziamini/ tunazozifuata kama kuna manabii na mitume kutoka AFRICA... BASI UKOLONI UPO MPAKA LEO
 
Inaonekana afrika kulikuwa hakuna dhambi. Sasa wenda wao ndio walikuwa na dhambi sana ndio maana Mungu akaweka msisitizo huko.
Mwenye afya haitaji tabibu bali aliye mgonjwa ndio uhitaji tabibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…