Kwanini hakukuwa na Manabii/Mitume Waafrika (watu weusi)?

Unaposema hakukuwa na Manabii/Mitume waafrika unasema katika muktadha upi.??
Kwa kuzaliwa afrika?
Kuwa na asili ya afrika (mweusi)
Au kuhudumu Afrika?
 
Unaposema hakukuwa na Manabii/Mitume waafrika unasema katika muktadha upi.??
Kwa kuzaliwa afrika?
Kuwa na asili ya afrika (mweusi)
Au kuhudumu Afrika?

Ukiisoma juu juu hiyo mada.. hautoweza kuielewa mwandishi anahoji na kufikirisha kwamba manabii na mitume walikuwepo WAAFRICA ( watu weusi) ila hakuna chapisho la wazi katika vitabu vya kidini tunavyoviamini tukitaka tukatembelee sehemu takatifu tunaenda MACCA au JERUSALEMA wakati tungeweza kwenda hata MOROGORO.. LAGOS .. CHALINZE kwanini? Wanatufanyia hivi na mwanzo walikuja kufanya BIASHARA TU
 
Sijataja dini mada imekuja kuwa WAAFRICA tumetengwa kila secta hapa duniani.. kusanya vitabu vyote unavyovijua na kuvifahamu niletee nabii au mtume mwafrica alikuwa akilima shamba gani? Na kondoo wake walikuwa na rangi gani?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji1787]
 
M/Mungu ameona atuletee hawa kama kutuliwaza na sisi tunaolalamika hatukuletewaga mitume cha hajabu hata hatuwataki.. daah sijui tukoje


Kwamba hadi Nabii Tito hatumtaki[emoji91][emoji91][emoji91]
 
Kitabu gani? Au kama unataarifa naomba unijuze mkuu kutoka popote nipate kuingiza kitu kipya kichwani nikiwa bado nipo duniani
Philip au Filipo na mkushi mweusi toka Ethiopia alikuwa nani?
 
Yuko nabii Malisa mchaga
 
Walioanzisha dini wananufaika vipi? Majibu na mifano yako vibase kwenye uislamu sio ukristo.
 
Walioanzisha dini wananufaika vipi? Majibu na mifano yako vibase kwenye uislamu sio ukristo.
Manufaa ya kwanza ni kusambaza utamaduni wao wa kiarabu Kwa wamatumbi,
Pili iliwasaidia kwenye biashara zao tunajua wale Mabwana walileta dini Ili kuhodhi biashara ukanda huu Kwa Karne nyingi Cha kusikitisha zaidi walifanya mpaka biashara za watumwa yaani watu wanaojinasibu ni wa Mungu wanawakamata wenyeji na kuwasafirisha Hadi Nchi za kwao kwenda kua watumwa,
Tatu walileta dini Ili kuteka maeneo hii tunaita ku conquer tunaona waliweka base zao katika maeneo mengi ya afrika na kuanzisha tawala zao,
Pia mpaka Leo wananufaika Kwa kuwapiga Hela wajinga wa kimatumbi wanapoenda kuhiji makka wanawaingizia mapesa ya kutosha unaowawezesha kujenga uchumi wao Huko wewe ukiendelea kubaki maskini na ndio maana waarabu wa saudia hawana njaa Kwa kua na vyanzo vya mapato vya uhakika!

Niendelee mdau?
 

[emoji1431]
 
Walioanzisha dini wananufaika vipi? Majibu na mifano yako vibase kwenye uislamu sio ukristo.
Mlazimishe mtu afuate utamaduni na desturi zako ili awe mtumwa wako wa kifikra, awe tegemezi wa bidhaa zako kuanzia mavazi, vyakula na aina ya starehe zako.

Kanunue kanzu, bharaghashia, busati, marashi, vitabu vya dini, tende, marashi, viungo vya chakula, ...., e.t.c.

Kahiji Mecca sijui Madina...
Kifupi mtageuzwa soko la bidhaa zao.
 
Unakuta kijana ana miaka 35-40 hajui ukoo wake anamjua babu yake mmoja tu na baba yake.. wakati alitakiwa ajue mababu zake KUMI au na zaidi waliopita huko nyuma ambayo ingemsaidia kujua DINI yake au nini afanye katika swala zima la kuabudu
Wacha fujo kijana embu niambie kwanza mtu wa kwanza kwenye ukoo wenu alitoka wapi?
 
Mwana Malundi alikuwa na miujiza yote aliyofanya Yesu kama ya kunyooshea mti kidole unakauka, kutembea juu ya maji, na kukanyaga juu ya mawe na kuacha alama. Mpaka leo vipo
 
Kwanza kabisa una hakika huyo Mungu yupo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…