Kwanini hakuna habari za Afrika super league kwenye vyanzo rasmi vyote

Gordian Anduru

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2021
Posts
369
Reaction score
747
Ukitaka kupata habari za super league basi ukazitafute kwenye magroup ta whatsapp ya mashabiki wa simba au utazisikia kwa Ahmed Ally au Try Again kwenye mkutano wa Simba.

Official page ya CAF (cafonline.com) na social media zake zoote ukikuta habari ya Africa Super league bas ni ile ile mwaka 2022 pale wazo lilipopelekwa kwenye mkutano wa CAF Arusha.

Hebu ndugu mwana JF ingia kwenye official website ujionee mwenyewe orodha ya mashindano yanayoendeshwa na CAF

 
Hicho Ni kichaka Cha viongozi wa makolo kujifichia
 
Hii issue mimi mwenyew ilikua inanitia mashaka
 
 
kama hauna tatizo la kingereza nenda kwenye caf news utapata unachotaka
 
Hi ya 2022 tushaisoma. Hebu pitia vizuri post yangu
 
UJINGA UNAZIDI KUSHAMIRI.

UPUMBAVU UNAONGEZEKA KWA KASI SANA.

MASIKINI TANZANIA YANGU.
 
Kumbuka Yanga waliomba kushiriki pia wakatolewa nje,hii yako ndiyo zile tunaita sizitaki mbichi hizi.
Onyesha barua/email address waliyo tuma Yanga kwwenda CAF kuomba kushiriki michuano ya bonanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…