Kwanini hakuna habari za Afrika super league kwenye vyanzo rasmi vyote

**MBUMBUMBU walipigwa hapa.**
 
Super league wazo la hovyo sana Ile hela ingeongezwa kuboresha Cafcl na Cafcc maana team zinatumia gharama kubwa angalau Ile support ianzie chini kabisa huku pia hela zikienda kwenye miundo mbinu na soka la vijana
Mfano Hawa under 20 wangekuwa na ligi Yao ambayo iko funded na caf wenyewe
 
Sawa ila tunachotaka ni updates kutoka official source
Ninachofahamu ni mashindano yataanza mwezi wa 10 na kila timu mshiriki atapata dola 2.5M na na bingwa dola mil 11.5 usiulize taarifa nimetoa wapi mimi ni mfanyakazi caf kwahiyo nakupa za ndani kabisa
 
Sasa hiyo ya 2022 kwani inahusu tennis au wewe unataka habari ya lini wakati hiyo ya 2022 imekueleza kuwa mashindano yataanza mwezi wa 8 na huo mwezi unaona bado haujafika sasa wewe unataka uone habari gani zaidi ya hiyo
Wamebadili yatafanyika oktoba
 
Onyesha barua/email address waliyo tuma Yanga kwwenda CAF kuomba kushiriki michuano ya bonanza.
Barua mlituma mkajibiwa
Last viongozi wa CAF walipokuja tanzania mkamuomba naibu waziri awaombee nafasi

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…