Kwanini hakuna hata nchi moja ya kiarabu yenye demokrasia?

Kwa nini hakuna hata nchi moja ya kiarabu yenye demokrasia?

Demokrasia haiivii chungu kimoja kabisa na uarabu?

Hii ina athari gani kwetu pia kama nchi kwetu sisi ambapo utamaduni wa Kiarabu una mizizi pia ?
Misri, algeria, tunisia, morocco hawapigi kura za kidemokrasia?
 
Kwa nini hakuna hata nchi moja ya kiarabu yenye demokrasia?

Demokrasia haiivii chungu kimoja kabisa na uarabu?

Hii ina athari gani kwetu pia kama nchi kwetu sisi ambapo utamaduni wa Kiarabu una mizizi pia ?
Kwa sababu wanafuata "Sheria ya Kiislam," dini ya haki kwa mujibu wao - ambapo wananchi wanatawaliwa kama kondoo au mazwazwa na wakipinga tu adhabu ni kuchinjwa au kunyongwa hadharani. Wanadai Demokrasia ni kufungua watu macho na akili kitu ambacho ni 'Haram' kwao.
 
Nchi gani za Kiarabu ziliwahi kujaribu demokrasia zikafeli?
 
Kwa nini hakuna hata nchi moja ya kiarabu yenye demokrasia?

Demokrasia haiivii chungu kimoja kabisa na uarabu?

Hii ina athari gani kwetu pia kama nchi kwetu sisi ambapo utamaduni wa Kiarabu una mizizi pia ?
Vipi na Utajiri ni masikini kama nchi zetu za watu weusi???
 
Haya mambo yote ni fu*****n......ukiyafatilia utapasuka kichwa,tafuta hela kisha tafuta power(uongozi)
ejoy life baasi subiri kifo
 
Kwa hiyo kwa Tanzania tungekuwa mbali zaidi kama Nyerere na kabila lake la Wazanaki wangekuwa Wafalme??
Kama haki ingetendeka, issue hapo sio mfalme bali distribution ya majukumu na keki ya Taifa kwa ujumla.
 
Kwa nini hakuna hata nchi moja ya kiarabu yenye demokrasia?

Demokrasia haiivii chungu kimoja kabisa na uarabu?

Hii ina athari gani kwetu pia kama nchi kwetu sisi ambapo utamaduni wa Kiarabu una mizizi pia ?
Demokrasia ni yamaduni ya watu weupe wa Magharibi,siyo tamaduni na utaratibu wa waarabu wala waafrika.
 
Na kushangaa unaongea utafikiri sio mtanzania, kwani Tanzania lini ikawa nchi ya kidemokrasia. Uongozi wa Tanzania hauamuliwi na watanzania sasa utasemaje kwamba Tanzania ni nchi ya kidemokrasia.

Kuna nchi nyingi za kiarabu ambazo wananchi wake ni wachoma mahindi tu kama sisi na ndizo nyingi kwani zenye neema ni chache mno na tunazifahamu.
 
Demokrasia ni yamaduni ya watu weupe wa Magharibi,siyo tamaduni na utaratibu wa waarabu wala waafrika.
Uko sahihi kabisa kwa hoja yako na nakubaliana nawe kabisa na ndio maana sisi waafrika kwa mfumo wetu wa uchifu mfalme na ukoo wake ndio wanaokula bata huku wengine mkiwashangilia mkiwa uchi kwenye ngome yake na hata ukioa mke mzuri ana haki ya kukupora.
 
Kuna nchi nyingi sana zinazojiita za kidemokrasia zimezidiwa na UAE, Qatar, Kuwait, Saudi Arabia n.k kiuchumi​
 
Kuna nchi nyingi sana zinazojiita za kidemokrasia zimezidiwa na UAE, Qatar na Saudi Arabia kiuchumi​
Ni sawa na kusema kuna majambazi, wezi, wakwepa kodi na mafisadi wengi waliofanikiwa sana kwenye maisha kuwazidi hata wafanyabiashara na wafanyakazi waadilifu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…