Kwanini hakuna safari za boat kutoka Dar mpaka Tanga?

stakehigh

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2019
Posts
7,134
Reaction score
4,556
Wakubwa bila kuongeza maneno mengi, mwenye majibu tafadhali
 
Wakubwa bila kuongeza maneno mengi, mwenye majibu tafadhali
Kuna watu nasikia ni maboss huko Serikalini....wanaiba mpaka mabillioni ya pesa....lakini wanashindwa kuwekeza kwenye biashara ya aina hiyo.

Yani kuwepo na boats zinazopiga safari za kwenda :-

Dar , Tanga, Mombasa, Zanzibar, Mafia, Madagascar, Shelisheli
 
Muoombea Dua mzee Said Bakhresa Mungu azidi kumruzuku ataweka In sha Allah.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…