Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Sisi ni matajiri mno yaani sisi ni dona kantire hatuwezi kupokea misaada kutoka kwa masikiniTumekuwa wepesi kupeleka watu,mali na kutoa salam za pole pale janga au maafa yanapowakumba majirani zetu.
Leo ni siku ya tatu hakuna jirani aliyetukimbilia aidha kwa misaada au hata pole ya maandishi. Hawa majirani hawana taarifa ya matatizo haya wanayopitia ndugu zetu?
Lakini pia hakuna Ubalozi Nchini uliotoka adharani kutoa pole ya maandishi kupitia vyombo vya habari na website zao. Je wangekuwa viongozi hata wawili tu ndio wamepata gharika hii nakupotea au kupoteza wapendwa wao hizi taasisi zingekaa kimya?
Ubinadamu kwanini umeelekea zaidi kwa wale wenye nacho? Kwa nini Tanzania tunaanza kutengwa hata na majirani?
Na tulitoa 2b kwa Uturuki na wakati huo huo matundu ya vyoo shuleni yakijengwa kwa misaada ya wahisani.Sisi ni matajiri mno yaani sisi ni dona kantire hatuwezi kupokea misaada kutoka kwa masikini
Kwa upande wa misaada, 'we are a donor country.'Tumekuwa wepesi kupeleka watu,mali na kutoa salam za pole pale janga au maafa yanapowakumba majirani zetu.
Leo ni siku ya tatu hakuna jirani aliyetukimbilia aidha kwa misaada au hata pole ya maandishi. Hawa majirani hawana taarifa ya matatizo haya wanayopitia ndugu zetu?
Lakini pia hakuna Ubalozi Nchini uliotoka adharani kutoa pole ya maandishi kupitia vyombo vya habari na website zao. Je wangekuwa viongozi hata wawili tu ndio wamepata gharika hii nakupotea au kupoteza wapendwa wao hizi taasisi zingekaa kimya?
Ubinadamu kwanini umeelekea zaidi kwa wale wenye nacho? Kwa nini Tanzania tunaanza kutengwa hata na majirani?
Kwahiyo hawezi kutoa salamu za pole kisa wana majanga yao?Wao pia Wana Majanga yao
Hatari snNa tulitoa 2b kwa Uturuki na wakati huo huo matundu ya vyoo shuleni yakijengwa kwa misaada ya wahisani.
Ni aibu tupuBila shaka watawala wetu watapunguza sasa kujipendekeza na kujitutumua. Nakumbuka sana namna walivyo jipendekeza kwa Msumbiji, Kenya, Malawi na Uturuki.
Halafu leo hii wamekufa zaidi ya wananchi 60 kwa mafuriko, serikali hiyo hiyo ya kujipendekeza kwa wengine; inapamabana yenyewe! Yaani hata pole tu ya mdomo hakuna!! Malawi walipeleka mpaka ndege, waokoaji, vyakula, nk!!!
Hao hawatoagi salamu za maneno matupu kama mlivyofanya nyie BavichaKwahiyo hawezi kutoa salamu za pole kisa wana majanga yao?
Tanzania hakuna kitu kinachoenda kwa kutumia akili. Huko kwenye vyombo vya habari, ndiyo hakuna kitu kabisa. Akili zote zimeliwa na CCM. Wanachoelewa kuwa ni habari ni safari na hotuba za viongozi tu.Media zenyewe asubuhi mpaka jioni bado wako na umbea mipira miziki
Ova
UWT nani ameenda na wakati wote mpo Dar?Hao hawatoagi salamu za maneno matupu kama mlivyofanya nyie Bavicha
Wenzenu UVCCM na Yanga SC wako site wanafanya Uokoaji nyie mmetuma kabarua mitandaoni
Bure kabisa Chadema ππ
Vyoo wananchi wajiongeze wajenge wenyewe sisi kama serikali tuko busy na masuala ya kimataifa na kusaidia nchi zisizojiwezaNa tulitoa 2b kwa Uturuki na wakati huo huo matundu ya vyoo shuleni yakijengwa kwa misaada ya wahisani.