Kwanini hakuna salam wala msaada kutoka nchi zinazotuzunguka kuhusu janga lililotokea huko Katesh Manyara?

Tumezidi kujipendekeza mpaka wanatuona wa kawaida mno,hatuna jipya kwao
 
Tumekuwa wepesi kupeleka watu,mali na kutoa salam za pole pale janga au maafa yanapowakumba majirani zetu.

Leo ni siku ya tatu hakuna jirani aliyetukimbilia aidha kwa misaada au hata pole ya maandishi. Hawa majirani hawana taarifa ya matatizo haya wanayopitia ndugu zetu?

Lakini pia hakuna Ubalozi Nchini uliotoka adharani kutoa pole ya maandishi kupitia vyombo vya habari na website zao. Je wangekuwa viongozi hata wawili tu ndio wamepata gharika hii nakupotea au kupoteza wapendwa wao hizi taasisi zingekaa kimya?

Ubinadamu kwanini umeelekea zaidi kwa wale wenye nacho? Kwa nini Tanzania tunaanza kutengwa hata na majirani?
Salamu zinasaidia nini? shirikisha Ubongo wako unapo andika
 
Mlikula rambirambi na misaada ya Kagera.
This time kufeni hukohuko Tangagiza
 
Tumekuwa wepesi kupeleka watu,mali na kutoa salam za pole pale janga au maafa yanapowakumba majirani zetu.

Leo ni siku ya tatu hakuna jirani aliyetukimbilia aidha kwa misaada au hata pole ya maandishi. Hawa majirani hawana taarifa ya matatizo haya wanayopitia ndugu zetu?

Lakini pia hakuna Ubalozi Nchini uliotoka adharani kutoa pole ya maandishi kupitia vyombo vya habari na website zao. Je wangekuwa viongozi hata wawili tu ndio wamepata gharika hii nakupotea au kupoteza wapendwa wao hizi taasisi zingekaa kimya?

Ubinadamu kwanini umeelekea zaidi kwa wale wenye nacho? Kwa nini Tanzania tunaanza kutengwa hata na majirani?
Wako bize wanakula bata Dubai kwenye COP28.
 
Sio lazima tupokee msaada. Kwani Serikali imetoa nini hadi tuanze kulalama?!
 
Media zenyewe asubuhi mpaka jioni bado wako na umbea mipira miziki

Ova
Na watawala wamegundua kuwa ili kuendelea kuwapumbaza wajinga...weka nguvu kubwa kuunga mkono timu zao za Yanga na Simba ...
 
Tumekuwa wepesi kupeleka watu,mali na kutoa salam za pole pale janga au maafa yanapowakumba majirani zetu.

Leo ni siku ya tatu hakuna jirani aliyetukimbilia aidha kwa misaada au hata pole ya maandishi. Hawa majirani hawana taarifa ya matatizo haya wanayopitia ndugu zetu?

Lakini pia hakuna Ubalozi Nchini uliotoka adharani kutoa pole ya maandishi kupitia vyombo vya habari na website zao. Je wangekuwa viongozi hata wawili tu ndio wamepata gharika hii nakupotea au kupoteza wapendwa wao hizi taasisi zingekaa kimya?

Ubinadamu kwanini umeelekea zaidi kwa wale wenye nacho? Kwa nini Tanzania tunaanza kutengwa hata na majirani?
Usione watu wanasifia mpaka kugalagala, watu wanafaidi sana keki ya Taifa,
 
Tz ni nchi ya kawaida sana,katika Ulimwengu huu,hivyo hakuna taifa serious litakuwa bize na taifa la wajinga na mazuzu.

"Pole kwa mafuriko"
we bwege ndio jinga na zuzu, sisi wengine tuna akili zetu. we zuzu inaonekana siyo mtanzani, rudi kwenu, kima kweli
 
Hiyo ni salaam kwa Tanzania 🇹🇿. Ukiona jirani yako kakuacha kwenye matatizo jitafakari unaishije na jirani zako.
 
Acha kupenda Misaada Mkuu.

HAKUNA CHA BURE...!

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
Bila shaka watawala wetu watapunguza sasa kujipendekeza na kujitutumua. Nakumbuka sana namna walivyo jipendekeza kwa Msumbiji, Kenya, Malawi na Uturuki.

Halafu leo hii wamekufa zaidi ya wananchi 60 kwa mafuriko, serikali hiyo hiyo ya kujipendekeza kwa wengine; inapamabana yenyewe! Yaani hata pole tu ya mdomo hakuna!! Malawi walipeleka mpaka ndege, waokoaji, vyakula, nk!!!
Hizo nchi nyingine hawana muda na kiki za kijinga wanatoa wanapoweza. Hapa kwetu unakuta serekali inatoa msaada Ili kuwakomoa wapinzani kwa kutaka waonekane wema, na kuhadaa umma kuwa serekali Iko vizuri.
 
Mbona lile kampuni la mchongo la DP World hawatoi pole, ili kutuzuga kwa kuzawadiwa bandari?
 
Tumekuwa wepesi kupeleka watu,mali na kutoa salam za pole pale janga au maafa yanapowakumba majirani zetu.

Leo ni siku ya tatu hakuna jirani aliyetukimbilia aidha kwa misaada au hata pole ya maandishi. Hawa majirani hawana taarifa ya matatizo haya wanayopitia ndugu zetu?

Lakini pia hakuna Ubalozi Nchini uliotoka adharani kutoa pole ya maandishi kupitia vyombo vya habari na website zao. Je wangekuwa viongozi hata wawili tu ndio wamepata gharika hii nakupotea au kupoteza wapendwa wao hizi taasisi zingekaa kimya?

Ubinadamu kwanini umeelekea zaidi kwa wale wenye nacho? Kwa nini Tanzania tunaanza kutengwa hata na majirani?
Tetemeko la kagera, ajali ya Mwanza Nchi zote za karibu walitoa misaada badala ya kupewa wahusika serikali ikazichukua kama Hela zake.
 
Vyoo wananchi wajiongeze wajenge wenyewe sisi kama serikali tuko busy na masuala ya kimataifa na kusaidia nchi zisizojiweza
Tusubili salamu za rambirambi kutoka kwa wajomba kutoka bara la Arabu,maana tusha wapa bandari na mbuga ya wanyama.
 
Tumekuwa wepesi kupeleka watu,mali na kutoa salam za pole pale janga au maafa yanapowakumba majirani zetu.

Leo ni siku ya tatu hakuna jirani aliyetukimbilia aidha kwa misaada au hata pole ya maandishi. Hawa majirani hawana taarifa ya matatizo haya wanayopitia ndugu zetu?

Lakini pia hakuna Ubalozi Nchini uliotoka adharani kutoa pole ya maandishi kupitia vyombo vya habari na website zao. Je wangekuwa viongozi hata wawili tu ndio wamepata gharika hii nakupotea au kupoteza wapendwa wao hizi taasisi zingekaa kimya?

Ubinadamu kwanini umeelekea zaidi kwa wale wenye nacho? Kwa nini Tanzania tunaanza kutengwa hata na majirani?
SALAAM ZITAKUWEPO, TENA NYINGI TU. ISIPOKUWA VYOMBO VYETU VYA HABARI HAVIWEZI KUWA VINATUTANGAZA SISI KUWA NCHI FULANI IMETUTUMIA SALAAM, ISIPOKUWA VYOMBO VYA HABARI KUTOKA KWDNYE NCHI ZILIXOTUMA SALAM NDIYO ZINAPASWA KUWATANGAXIA WANANCHI WAO KUWA NCHI ZAO ZIMETUTUMIA SALAAM SISI
 
Hahahaha....hatari sana..yaani kwa kifupi watu wamechanganyikiwa...
Nakumbuka yaliyo tokea Mkoa wa Kagera nikilinganisha na tukio hili,naona wahisani wanajua wakitoa chochote kitaishia kwenye mifuko ya watu kuliko wahusika.
 
Back
Top Bottom