Kwanini hakuna salam wala msaada kutoka nchi zinazotuzunguka kuhusu janga lililotokea huko Katesh Manyara?

we bwege ndio jinga na zuzu, sisi wengine tuna akili zetu. we zuzu inaonekana siyo mtanzani, rudi kwenu, kima kweli
Sasa kama serikali yako haina vifaa vya uokozi huo sio ujinga na uzuzu.

Kuna mwaka Tetemeko lilitokea mkoa wa Kagera,mataifa jirani yalitoa pesa lakini serikali ya wajinga na mazuzu walikwiba pesa za waathirika na maneno ya hovyo wakawatolea.

Tuambie wewe mwenye akili timamu ulifanya nini au umefanya nini ?

NB:Mimi ni Mtanzania hivyo kutofautiana mtizamo na wewe hakufanyi nipoteza haki ya kuwa mtanzania.
 
Akili za kipumbavu sana hizi, kwani serikali imeshindwa hadi ianze kulilia misaada!

Una akili za kimasikini sana wewe!
 
Tusubili salamu za rambirambi kutoka kwa wajomba kutoka bara la Arabu,maana tusha wapa bandari na mbuga ya wanyama.
Wajomba huwa sio wanafiki wao ni watu wasio na roho za kibongo bongo za acha nitoe pole wanione wao ni wagumu tu. Isitoshe bandari hatukuwapa bure tulikula chao sasa ikawa unato hutoi? Nauliza unatoa hutoi?
 
KENYA KUMETOKEA MAJANGA KAMA HAYO YA MAFURIKO ZAIDI YA HANANG MBONA TANGANYIKA HAIKIPELEKA MISAADA

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
 
Rais wa Zanzibar alitoa walaka wa pole kwa wakat
 
Kenya zaidi ya watu 150 wamefariki Kwa.mafuriko

Somalia zaidi ya watu 60 wamefariki Kwa mafuriko

Tanzania ilipelekea Msaada wowote au pole?
 
Wanaogopa yasije tokea kama ya tetemeko la Ardhi Bukoba- Kagera
 
Kwani mleta hoja wewe umeshasaidia nini kwa hawa wenzetu ndani ya nchi yako?
 
usipende kusaidiwa saidiwa.

Tatizo dogo tu la mafuriko ya matope kwenye kamji kadogo ambako hakana wakazi hata 200k unahitaji msaada kutoka nje, JE SIKU DAR ES SALAAM AU MWANZA IKIPIGWA NA MAFURIKO UTAFANYAJE.

tunapaswa kujifunza rescue techics na namna ya kujisaidia kwenye issue ndogondogo na kugain experience.

Tunashindwa kuwasaidia hao wahanga wachache tu hapo na kusecure eneo pamoja na kufanya temporary evacuation mpaka tumuite mnyamwezi (USA) nk waje watusaidie?
 
MKuu
Sisi tuna tatizo. Angalia namna media wanavyoliripoti tukio hili utagundua kuwa tuna upumbavu sana

Tuendelee kujifunza
 
Kumbukumbu zangu zinaonyesha mara ya mwisho kupata janga tulichangiwa mpaka na Uganda .... tena Cash!! Ila wajanja wakazipiga ..... Watakuwa wametustukia!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…