Ulongupanjala
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 8,273
- 13,567
Tanganyika kuna wezi sana kwenye issue za pesa za miradi janja janja ni nyingi sana na sheria ni butu sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huuu ndio ukweli wenyewe wananchi wamekalia usimba na uyanga tu ,a,bo muhimu wanaachia wabunge vilazaTanganyika kuna wezi sana kwenye issue za pesa za miradi janja janja ni nyingi sana na sheria ni butu sana.
Kuna jambo hujaelewa hapa mkuu.mkuu kwanini unapenda kulialia bila ya hoja za msingi, Sasa Zanzibar na manyara zina usawa gani? Zanzibar ni mshirika wa Muungano na mgao wake upo kisheria kabisa.
Wewe ni nani upingane na Gulu gulu amesema Tanganyika hakuna wiziTanganyika mnalalamika sana mnasahau kwamba mnaongoza kwa wizi wa pesa za serekali. Ikitengwa pesa ya maendeleo asilimia 60 inaishia kwa viongozi 40 ndo inaenda kutekeleza moradi mnategemea nin?
MkuuMajuzi kati hapo nilifika kisiwani Unguja nilishangaa sana kupita huku na huko katika pilika pilika za maisha.
MADA; Ukweli Zanzibar pamoja na sensa iliyopita kuonyesha kuwa na watu 1,8mil ambao kwa muktadha wa wingi wa watu na waliopo Tanganyika ni chini ya mkoa wa Manyara yenye watu 1.9mil kiuwiano.
Katika kuangalia maendeleo ya maisha kwa ujumla inaonekana si kwa kiwango kikubwa wananchi wakiwa na kipato kikubwa kutokana na maisha ya kila siku.
Naona Serikali ya Mapinduzi Zanzibar inafanya uwekezaji mkubwa sana kwenye ujenzi wa shule, ambapo nyingi ya Shule hizi huwezi kuikuta popote nchini Tanganyika landa iwe ya binafsi.
Ujenzi wa hizi shule ni kama hauendani na wingi wa wanafunzi waliopo Zanzibar, tofauti na wingi wa wanafunzi waliopo Tanganyika.
View attachment 2670179
Hiyo juu ni moja ya skuli ya sekondari ambayo kwa sasa ipo asilimia (kwa kukadilia) 90% kukamilika na pembeni yake kuna jengo lingine kubwa kama hilo, hapo naambiwa yapo majengo mengine sehemu nyingine kama hilo yanajengwa.
Ukija hapa Tanganyika, sijui serikali inawaza nini na ndiyo maana hatuwezi kiwa sawa.
View attachment 2670185
Bajeti kubwa ya muungano inaenda Zanzibar na Tanganyika inabaki ukiwa kwenye suala la ujenzi wa majengo ya elimu.
Kijana wa honyo sana wewe, unaongea kwa chuki juu ya Zanzibar na wazanzibardawa yake ni kuunda serikali moja alafu zanzibar iwe wilaya kama bagamoyo tu na iyo itawafanya wazanzibar wapambane kama watu wa mikoa mingine kuliko hii wa kuwapa kila kitu bure tu
Hizo shule ni zaidi ya miaka 5 zinajengwa Zanzibar, na mpango maalum wa serikali na sio Mwinyi, acha kufanya siasa hapaElimu ya juu ndio ya muungano, hio ya chini sio muungano,
Hizo pesa za ujenz wa shule za ghorofa ni mpango wa Mwinyi,
Mwinyi alikuwa predential material sana, sema ndo hivo hatakuwa raisi wa Tz, but he is good
Nakuona "CHOGO" unalialiaMajuzi kati hapo nilifika kisiwani Unguja nilishangaa sana kupita huku na huko katika pilika pilika za maisha.
MADA; Ukweli Zanzibar pamoja na sensa iliyopita kuonyesha kuwa na watu 1,8mil ambao kwa muktadha wa wingi wa watu na waliopo Tanganyika ni chini ya mkoa wa Manyara yenye watu 1.9mil kiuwiano.
Katika kuangalia maendeleo ya maisha kwa ujumla inaonekana si kwa kiwango kikubwa wananchi wakiwa na kipato kikubwa kutokana na maisha ya kila siku.
Naona Serikali ya Mapinduzi Zanzibar inafanya uwekezaji mkubwa sana kwenye ujenzi wa shule, ambapo nyingi ya Shule hizi huwezi kuikuta popote nchini Tanganyika landa iwe ya binafsi.
Ujenzi wa hizi shule ni kama hauendani na wingi wa wanafunzi waliopo Zanzibar, tofauti na wingi wa wanafunzi waliopo Tanganyika.
View attachment 2670179
Hiyo juu ni moja ya skuli ya sekondari ambayo kwa sasa ipo asilimia (kwa kukadilia) 90% kukamilika na pembeni yake kuna jengo lingine kubwa kama hilo, hapo naambiwa yapo majengo mengine sehemu nyingine kama hilo yanajengwa.
Ukija hapa Tanganyika, sijui serikali inawaza nini na ndiyo maana hatuwezi kiwa sawa.
View attachment 2670185
Bajeti kubwa ya muungano inaenda Zanzibar na Tanganyika inabaki ukiwa kwenye suala la ujenzi wa majengo ya elimu.
Na kuchangia mafuta ya mwengeTanganyika huku tunakimbiza wananchi kuchanga kumi kumi za kujenga madarasa
HahahahaahahNa kuchangia mafuta ya mwenge
Ila hii nchi ya zamani sanaNa kuchangia mafuta ya mwenge
Hizo shule ni ufadhili huo..so viongozi wa huku pia waone umuhimu wa kuelekeza fedha za ufadhili kwenye mambo serious km wenzao.Majuzi kati hapo nilifika kisiwani Unguja nilishangaa sana kupita huku na huko katika pilika pilika za maisha.
MADA; Ukweli Zanzibar pamoja na sensa iliyopita kuonyesha kuwa na watu 1,8mil ambao kwa muktadha wa wingi wa watu na waliopo Tanganyika ni chini ya mkoa wa Manyara yenye watu 1.9mil kiuwiano.
Katika kuangalia maendeleo ya maisha kwa ujumla inaonekana si kwa kiwango kikubwa wananchi wakiwa na kipato kikubwa kutokana na maisha ya kila siku.
Naona Serikali ya Mapinduzi Zanzibar inafanya uwekezaji mkubwa sana kwenye ujenzi wa shule, ambapo nyingi ya Shule hizi huwezi kuikuta popote nchini Tanganyika landa iwe ya binafsi.
Ujenzi wa hizi shule ni kama hauendani na wingi wa wanafunzi waliopo Zanzibar, tofauti na wingi wa wanafunzi waliopo Tanganyika.
View attachment 2670179
Hiyo juu ni moja ya skuli ya sekondari ambayo kwa sasa ipo asilimia (kwa kukadilia) 90% kukamilika na pembeni yake kuna jengo lingine kubwa kama hilo, hapo naambiwa yapo majengo mengine sehemu nyingine kama hilo yanajengwa.
Ukija hapa Tanganyika, sijui serikali inawaza nini na ndiyo maana hatuwezi kiwa sawa.
View attachment 2670185
Bajeti kubwa ya muungano inaenda Zanzibar na Tanganyika inabaki ukiwa kwenye suala la ujenzi wa majengo ya elimu.
sina chuki na zanzibar ila huo ndo ukweli na ndo muungano wenyewe sasa kuliko huu utapeli wa sasa (URT na SMZ), chako changu changu changuKijana wa honyo sana wewe, unaongea kwa chuki juu ya Zanzibar na wazanzibar
My concern imeegemea hapa; hata kama ni nchi ndani ya nchi kwa nini wao wanaweza na sisi Tanganyika tushindwe?.Mkuu
Elimu ya Juu tu ndio muungano, ya chini kila mtu na chake, fedha zinazo tumika kujenga hizi shule ni za serikali ya mapinduzi ya Zanzibar, kodi zetu
Labda wao wameweza kwakuwa walipaswa wajenge shule kumi na sisi tulishindwa kwakuwa tulipaswa kujenga shule 1000My concern imeegemea hapa; hata kama ni nchi ndani ya nchi kwa nini wao wanaweza na sisi Tanganyika tushindwe?.
Although inaeleweka pesa zinajenga ni mkopo wa Covid!.
Kuna jambo hujaelewa hapa mkuu.
The point is not kulialia my point is hidden hadi uwe na akili ya ziada, ngoja nikupe kidogo.
Nini kinashindikana kwa viongozi wa Tanganyika kile ambacho viongozi wa Zanzibari wanafanya?. - okay go ahead.
Labda wao wameweza kwakuwa walipaswa wajenge shule kumi na sisi tulishindwa kwakuwa tulipaswa kujenga shule 1000
Kuanzia Form four kuendelea ni Muungano, pia Ujenzi wa Shule hizo kama.Kiembe samaki, Chumbuni, Fuoni, Etc ulianza hata kabla ya Mwinyi hategemewi kuwa Rais wa Zanzibar, kama.sijasahau Project zilikua Financed na World BankElimu ya juu ndio ya muungano, hio ya chini sio muungano,