Kwanini hakuna usawa Ujenzi wa Majengo ya Shule, Kati ya Tanganyika na Zanzibar?

mkuu kwanini unapenda kulialia bila ya hoja za msingi, Sasa Zanzibar na manyara zina usawa gani? Zanzibar ni mshirika wa Muungano na mgao wake upo kisheria kabisa.
Kuna jambo hujaelewa hapa mkuu.

The point is not kulialia my point is hidden hadi uwe na akili ya ziada, ngoja nikupe kidogo.

Nini kinashindikana kwa viongozi wa Tanganyika kile ambacho viongozi wa Zanzibari wanafanya?. -
okay go ahead.
 
Tanganyika mnalalamika sana mnasahau kwamba mnaongoza kwa wizi wa pesa za serekali. Ikitengwa pesa ya maendeleo asilimia 60 inaishia kwa viongozi 40 ndo inaenda kutekeleza moradi mnategemea nin?
Wewe ni nani upingane na Gulu gulu amesema Tanganyika hakuna wizi
 
Mkuu

Elimu ya Juu tu ndio muungano, ya chini kila mtu na chake, fedha zinazo tumika kujenga hizi shule ni za serikali ya mapinduzi ya Zanzibar, kodi zetu
 
dawa yake ni kuunda serikali moja alafu zanzibar iwe wilaya kama bagamoyo tu na iyo itawafanya wazanzibar wapambane kama watu wa mikoa mingine kuliko hii wa kuwapa kila kitu bure tu
Kijana wa honyo sana wewe, unaongea kwa chuki juu ya Zanzibar na wazanzibar
 
Elimu ya juu ndio ya muungano, hio ya chini sio muungano,
Hizo pesa za ujenz wa shule za ghorofa ni mpango wa Mwinyi,

Mwinyi alikuwa predential material sana, sema ndo hivo hatakuwa raisi wa Tz, but he is good
Hizo shule ni zaidi ya miaka 5 zinajengwa Zanzibar, na mpango maalum wa serikali na sio Mwinyi, acha kufanya siasa hapa
 
Nakuona "CHOGO" unalialia
 
Hizo shule ni ufadhili huo..so viongozi wa huku pia waone umuhimu wa kuelekeza fedha za ufadhili kwenye mambo serious km wenzao.
 
Kijana wa honyo sana wewe, unaongea kwa chuki juu ya Zanzibar na wazanzibar
sina chuki na zanzibar ila huo ndo ukweli na ndo muungano wenyewe sasa kuliko huu utapeli wa sasa (URT na SMZ), chako changu changu changu
 
Mkuu

Elimu ya Juu tu ndio muungano, ya chini kila mtu na chake, fedha zinazo tumika kujenga hizi shule ni za serikali ya mapinduzi ya Zanzibar, kodi zetu
My concern imeegemea hapa; hata kama ni nchi ndani ya nchi kwa nini wao wanaweza na sisi Tanganyika tushindwe?.

Although inaeleweka pesa zinajenga ni mkopo wa Covid!.
 
My concern imeegemea hapa; hata kama ni nchi ndani ya nchi kwa nini wao wanaweza na sisi Tanganyika tushindwe?.

Although inaeleweka pesa zinajenga ni mkopo wa Covid!.
Labda wao wameweza kwakuwa walipaswa wajenge shule kumi na sisi tulishindwa kwakuwa tulipaswa kujenga shule 1000
 
Kuna jambo hujaelewa hapa mkuu.

The point is not kulialia my point is hidden hadi uwe na akili ya ziada, ngoja nikupe kidogo.

Nini kinashindikana kwa viongozi wa Tanganyika kile ambacho viongozi wa Zanzibari wanafanya?. -
okay go ahead.

ni mindset za viongozi tu mkuu, ukiwa na viongozi washamba washamba hawawezi kuwa sawa ni viongozi ambao ni Born town, hata wawe ni resource ndogo basi utafauti utauona tu na zaidi kwenye maeneo kama hayo.
 
Labda wao wameweza kwakuwa walipaswa wajenge shule kumi na sisi tulishindwa kwakuwa tulipaswa kujenga shule 1000

hio bado sio hoja ya msingi mkuu, Tanganyika kuwa mpaka leo ina straggle kwenye masuala ya shule ni Upambavu wa CCM tu.
 
sionagi maana ya huu mungano..kuwe na serikali moja kwisha habari au serikali 3 kila pande zipambane na khali zake
 
Labda wao wameweza kwakuwa walipaswa wajenge shule kumi na sisi tulishindwa kwakuwa tulipaswa kujenga shule 1000
Hii haiwezi kuwa sababu, kwa maana bajeti ya nchi inaendana na ukubwa wa nchi.
 
Elimu ya juu ndio ya muungano, hio ya chini sio muungano,
Hizo pesa za ujenz wa shule za ghorofa ni mpango wa Mwinyi,

Mwinyi alikuwa predential material sana, sema ndo hivo hatakuwa raisi wa Tz, but he is good
Kuanzia Form four kuendelea ni Muungano, pia Ujenzi wa Shule hizo kama.Kiembe samaki, Chumbuni, Fuoni, Etc ulianza hata kabla ya Mwinyi hategemewi kuwa Rais wa Zanzibar, kama.sijasahau Project zilikua Financed na World Bank
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…