Kwanini Halima Mdee na wenzake ni lazima wafukuzwe?

Kwanini Halima Mdee na wenzake ni lazima wafukuzwe?

Kitabu namba mbili unauza million na laki saba Kwa nakala?Au umekosea??
Anataka kuvunja rekodi ya Guinness mengine yupo sahihi ila kwenye bei ya vitabu jamaa anautafuta ubilionea kupitia uandishi wa kukopi maandishi toka mitandaoni anajiona guru la uandishi KIYOSAKI BEN CARSON hawauzi vutabu kwa bei hiyo
 
Halima Mdee na wenzake ( Sidhani kama Nusrat alijua kinachoendelea) ni lazima waadhibiwe kwa kushirikiana na watesi kuhalalisha udhalimu. Bado hatujasahau damu ya Akwilina iliyomwagwa kutokana na dhulma , damu ya Tundu Lissu na mateso ya kuugua zaidi ya miaka miwili na, kuwashikilia mahabusu viongozi wa chama na dhulma nyingine nyingi.

Hata kama jiwe anadai analeta maendeleo lakini si kwa dhulma hizi wanaofanyiwa wapinzani ambazo tangu mfumo wa vyama vingi ambao uko rasmi kisheria uanze hazijawahi kuonekana.
 
Asante Sana, Kama kawaida yako, maneno meeeengi, mtu akimaliza kusoma hata hakumbuki Yericko kasema nini.
Kipekee, nikushukuru kwa kutuandalia malighafi muhimu kabisa kwa toilet paper. Asante, tutakuja kuzichukua!
 
Halima Mdee na wenzake ( Sidhani kama Nusrat alijua kinachoendelea) ni lazima waadhibiwe kwa kushirikiana na watesi kuhalalisha udhalimu. Bado hatujasahau damu ya Akwilina iliyomwagwa kutokana na dhulma , damu ya Tundu Lissu na mateso ya kuugua zaidi ya miaka miwili na, kuwashikilia mahabusu viongozi wa chama na dhulma nyingine nyingi.

Hata kama jiwe anadai analeta maendeleo lakini si kwa dhulma hizi wanaofanyiwa wapinzani ambazo tangu mfumo wa vyama vingi uanze hazijawahi kuonekana.
Sasa kwa good memories za hizo damu basi futeni chama kabisa
 
Mpuuzi wewe unyanyasike sababu ya kulipa kodi? kwani hawezi kufanyia kazi majumbani kwao?
Hahahahahaha, kwakwakwakwakwakwa! Kweli, wafanyie nyumbani. Kwakwakwakwakwa. Una akili sana wewe. Makao Makuu ya Chama nyumbani kwa Mnyika, house girl wake mfagizi wa ofisi, maisha yanaenda. Bonge la idea
 
Yericko, hamko serious. Unatumia mwanya huu kujaribu kuuza vitabu upate ugali lakini unataka sinia za wenzako zijazwe mchanga!. Wote mnaonekana ni wale wale. Ukweli bado unabaki, siasa ni ajira na kila mmoja wenu anajaribu kukamatia anapoweza.
 
Back
Top Bottom