Kwanini Halima Mdee na wenzake ni lazima wafukuzwe?

Kwanini Halima Mdee na wenzake ni lazima wafukuzwe?

Nyerere ifike hatua chadema lazima mji tambue na mfanye siasa Kutokana na Hali ya wakati uliopo

Hayo madai yenu Hayana msingi bcoz Mnadai kwa faida yenu wanasiasa na sio faida ya wananchi

Hivi kwa akili yako unadhan jpm atarudia uchaguzi? Kwa akili yenu Kuna katiba mpya hapa soon?

Nyie mkiambiwa lipieni uchaguzi hizo ela mnazo?

Mnaacha kujijenga kwa miaka mitano hii nyie kila siku ni tume Mpya na katiba mpya utadhan hakuna kitu kingine Cha serikali kufanya zaid ya kuwasikiliza nyie tu

Kama kweli mnahoja si muende ikulu pale mkadai hiyo katiba mpya mbona unaongea ukiwa zako umekaa kigamboni huko
Yercko nae walewale tuu,hilo limeisha na wakinas Mdee wataendeleas kuwa wabunge tuu.Waende zao CDM wivu tuu kwa sababu watakosa mtonyo
 
Hii ni ‘move’, na akili kumkichwa, kuna tunao elewa, wengine mtaelewa mbeleni na mtapiga makofi na vigelele! Hatua ya leo ni kuwafukuza uanachama, kesho wanaenda mahakamani, miaka mitano wanatimiza kazi yao! I agree, lakini niwe noted, I understood the ‘move’!
 
Siasa za ccm za hii miaka 10 tutashuhudia mengi. Hofu yangu Ni kua ccm itapita salama lkn nchi ya Tanzania itapita wakati mgumu Sana.
 
Nyerere ifike hatua chadema lazima mji tambue na mfanye siasa Kutokana na Hali ya wakati uliopo

Hayo madai yenu Hayana msingi bcoz Mnadai kwa faida yenu wanasiasa na sio faida ya wananchi

Hivi kwa akili yako unadhan jpm atarudia uchaguzi? Kwa akili yenu Kuna katiba mpya hapa soon?

Nyie mkiambiwa lipieni uchaguzi hizo ela mnazo?

Mnaacha kujijenga kwa miaka mitano hii nyie kila siku ni tume Mpya na katiba mpya utadhan hakuna kitu kingine Cha serikali kufanya zaid ya kuwasikiliza nyie tu

Kama kweli mnahoja si muende ikulu pale mkadai hiyo katiba mpya mbona unaongea ukiwa zako umekaa kigamboni huko

Ni hivi, hao wahuni watapigwa chini leo, hizo kazi nyingi za serikali za kufanya watawapa hao wahuni wazifanye fullstop.
 
Then ela ya kulipa wafanyakazi wa chama utatoa ww?

Ela ya kulipa kodi za Vyumba vya office utalipia ww?

Ikikosekana hela tutazifunga hizo ofisi. Lakini sio kushirikiana na shetani kwenye kuhalalisha umwagaji damu na wizi wa kura.
 
Ni hivi, hao wahuni watapigwa chini leo, hizo kazi nyingi za serikali za kufanya watawapa hao wahuni wazifanye fullstop.
Miaka mitano yao utakuwa bora kuliko miaka mitano ya chama
 
Kuwaondoa hao kina dada bila kumuondoa mwenyekiti ni kosa kubwa sana/ double standard.....
inatakiwa zianzishwe movement za kumng'oa mwenyekiti kwanza...
he is the one to blame and he is the one who created this chaos....

He is the next one.
 
Anataka kuvunja rekodi ya Guinness mengine yupo sahihi ila kwenye bei ya vitabu jamaa anautafuta ubilionea kupitia uandishi wa kukopi maandishi toka mitandaoni anajiona guru la uandishi KIYOSAKI BEN CARSON hawauzi vutabu kwa bei hiyo
Wenzake wanashusha bei ya vitabu ili kwowladge isambae kwa wengi......
yy anaweka bei juu ili abaki kusoma hivyo vitabu na mkewe!!?
 
Hii ni ‘move’, na akili kumkichwa, kuna tunao elewa, wengine mtaelewa mbeleni na mtapiga makofi na vigelele! Hatua ya leo ni kuwafukuza uanachama, kesho wanaenda mahakamani, miaka mitano wanatimiza kazi yao! I agree, lakini niwe noted, I understood the ‘move’!

Wakienda mahakamani kwa mujibu wa katiba ya chama, automatically wamejifuta uanachama.
 
Kama mlungula walipewa kamati kuu coz walishakubali kupeleka majina ila sio Yale ambayo Mdee amepeleka
Kwa hiyo Halima alijivisha u-katibu mkuu na u-kamati kuu.
Kwa kadri ninavyofahamu yalikuwepo majina ya waliogombea viti maalum kabla,sio hawa viongozi wa Bawacha.
 
Back
Top Bottom