Kwanini Halima Mdee na wenzake ni lazima wafukuzwe?

Kwanini Halima Mdee na wenzake ni lazima wafukuzwe?

Ushauri tu Kwako jifunze Kututenganishia pale unapojibu Hoja au kutoa Hoja zako ambazo huwa ni nzuri na Kututangazia Biashara yako ya Vitabu.
Wanaita kuua ndege wawili na jiwe moja.
 
muache kutamani tamani .na kubania riziik za watu.watoto wamepambana muwaache wakawakilishe vyema.next time na nyie wanaume mkajipange mmchukue jimbo.msilalie bahat za wenzio mlango wazi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo Halima alijivisha u-katibu mkuu na u-kamati kuu.
Kwa kadri ninavyofahamu yalikuwepo majina ya waliogombea viti maalum kabla,sio hawa viongozi wa Bawacha.
Wagombea ubunge wanawake wote ambao waligombea majimbo pia waligombea viti maalum so ni wale wale tu

Swali la kujiuliza mbona madiwa wanaume wameenda kuapa? Mbona hakuna kelele?

Au kwa vile ni wanawake
 
Yericko ni hovyo , anasema mpango huu waliujua before Kuhusu halima na hence lake , walifanya nini baada ya hapo kuepusha taharuki hii?
Kujua mpango na kuwa na ushahidi wa kutosha kufanya maamuzi ni vitu viwili tofauti, unaweza kuleta mgogoro mwingine mkubwa zaidi kama huna evidence ya kumtia mtu hatiani
 
Hiki chama kinameguka taratibu...

CCM wajanja sana aisee, wanatumia kila tactics kuung'oa upinzani na kwa asilimia 70% wamefanikiwa...

Divide and conqur
 
Hiki chama kinameguka taratibu...

CCM wajanja sana aisee, wanatumia kila tactics kuung'oa upinzani na kwa asilimia 70% wamefanikiwa...

Divide and conqur
wameshachelewa!
Chama kipo katika mioyo ya watanzania ndiyo maana CCM wanahangaika kuiba kura!

Cheki hii, kura hadi kwenye vikapu!. Shame on them

Kujua mpango na kuwa na ushahidi wa kutosha kufanya maamuzi ni vitu viwili tofauti, unaweza kuleta mgogoro mwingine mkubwa zaidi kama huna evidence ya kumtia mtu hatiani
Kumuonyesha adui kuwa unajua njama sake pia kuna mawili

1- akabadili mawazo (mbinu)
2- akafanya kwa muda ambao haukutarajiwa ( kwaharaka zaidi)

Swali ni je wap walipo Ona viashiria hivi ,nini ili kuwa plan B yao kama yangelitokea haya

Sasa ni kitu cha ajabu kwa viongozi wakuu kuwa surprised kama sisi tulip nje ya mfumo wa chama
 
Nyerere ifike hatua chadema lazima mji tambue na mfanye siasa Kutokana na Hali ya wakati uliopo

Hayo madai yenu Hayana msingi bcoz Mnadai kwa faida yenu wanasiasa na sio faida ya wananchi

Hivi kwa akili yako unadhan jpm atarudia uchaguzi? Kwa akili yenu Kuna katiba mpya hapa soon?

Nyie mkiambiwa lipieni uchaguzi hizo ela mnazo?

Mnaacha kujijenga kwa miaka mitano hii nyie kila siku ni tume Mpya na katiba mpya utadhan hakuna kitu kingine Cha serikali kufanya zaid ya kuwasikiliza nyie tu

Kama kweli mnahoja si muende ikulu pale mkadai hiyo katiba mpya mbona unaongea ukiwa zako umekaa kigamboni huko
Kampe Jiwe huo ushauri achana na CDM .
 
Kumuonyesha adui kuwa unajua njama sake pia kuna mawili

1- akabadili mawazo (mbinu)
2- akafanya kwa muda ambao haukutarajiwa ( kwaharaka zaidi)

Swali ni je wap walipo Ona viashiria hivi ,nini ili kuwa plan B yao kama yangelitokea haya

Sasa ni kitu cha ajabu kwa viongozi wakuu kuwa surprised kama sisi tulip nje ya mfumo wa chama

Umesahau Mnyika alipreempt kutangaza kuwa CHADEMA jaijapeeka NEC majina ya viti maalum, na NEC wakakurupuka wakakiri kuwa ni kweli CHADEMA haijapeleka majina hayo?
 
Back
Top Bottom