King Kisali
JF-Expert Member
- Nov 20, 2019
- 1,041
- 1,349
Vp Jiwe amewapa ruhusa waende kuhojiwa na kamati kuu ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Boss unataka kugombea Urais?Kitabu namba mbili unauza million na laki saba Kwa nakala?Au umekosea??
Amechaguliwa lakini CHADEMA si inasema haikubalian na uchaguzi? Kama haikubali uchaguzi maana yake ni kwamba hata yeye alitakiwa Basi aitwe,, unadhani uongozi wa chadema haujawabariki kina Halima?? Kamati kuu mbona haijakaa??? Kama imekaa imekaa wapi na inaongozwa na Nani?? MWISHO WA SIKU UKUMBUKE KUNA KITU INAITWAGA RUZUKUKenan ni viti maalum?
Nadhani unaelewa kwamba kuwa na wabunge hakukuongezei ruzuku labda wingi wa kura za urais.Hali ya hivyo vyama si umeona?
So umetaka chadema kiwe kama jahazi asilia?
CHADEMA wanakata wabunge wao 1.5 kila mwezi hapo ni nje ya michangoNadhani unaelewa kwamba kuwa na wabunge hakukuongezei ruzuku labda wingi wa kura za urais.
Hizo ni blah blah tuWengi hawafahamu kwamba kwasasa "DEREVA" gari limeshamshinda, linayumba yumba barabarani tu (Things Are Out Of His Hands And Out Of Control - The Country Is In Deep Murmuring Chaos).
Na kawaida gari linapomshinda dereva basi kila atakachotaka kufanya ili kulikweka sawa na kila anavyopapatua, ndio anapo haribu zaidi na kulitoa nje ya barabara.
Sasa hivi kila mtu anajifanya mjuzi kuliko dereva, na ndio wanazidi kumchanganya na kumptoteza kabisa dereva. Huyu kawasha end-cator, yule kapiga honi, huyu kakunja sight-mirror zote (Waziri Wa Mambo Ya Nje alichokonoa mambo vibaya. AG na SPEAKER leo ndio "WAMECHOMOA BETRI" kabisa).
Kwa tulipofikia, gari linasubiri sababu tu lianguke na kuua abiria. Hakuna hatua yoyote ya kuliokoa gari wala kumsaidia dereva. Zaidi ya kumwomba mungu idadi ya wafu na majeruhi iwe ndogo.
● Kwa wenye akili na maarifa (hata wana CCM wenyewe) ndio maana wamekaa kimya na kujiweka pembeni. Wanatazama tu. Wanajua impact itakayotusibu kama taifa.
● Cha kujiuliza,
1) Kwanini siku ya leo "SERIKALI IMEONESHA INTEREST KUPITA KIASI" kuhusiana na hawa wabunge 19.???
2) Na kwanini bunge (Speaker) ameonesha "INTEREST KUPITA KIASI" kuhusiana na hawa wabunge 19.???
■ Nchi ina mihimili mitatu. Mihimili miwili tayari (Serikali na Bunge) vimeshakuwa "BIASED". Umebakia mhimili mmoja tu "MAHAKAMA".
■■■ Kwanini nasema "KWA TULIPOFIKIA, GARI LINATAFUTA SABABU TU YA KUANGUKA NA KUUA ABIRIA"???
PRINCIPLE KUU YA UTAWALA
"Binaadamu ana mahitaji makuu, ambayo ni "Chakula, Matibabu na kuijua kesho yake". Binaadamu hawatawaliwi kwa nguvu bila hayo matatu na utawala ukafanikiwa.
Nature ya binaadamu, akiwa "AMESHIBA (Ana chakula/pesa) basi anakua binaadamu na anatawalika kirahisi, ila akiwa na "NJAA (Hana chakula/pesa)" akili inafanya kazi kupita kiasi na anakua mnyama asiekua na uoga wowote na muogope kama Covid-19 au HIV AIDS!!!
Kifupi, binaadamu mwenye njaa hatawaliki na yuko radhi kufanya lolote.
Nchi yetu raia hawana kipato na hawana mwelekeo kwa sasa. Mbele yao ni giza nene. Muda si mrefu hawata tawalika wala kutii serikali.
JIBU.
Sisi kama taifa, asilimia 98% ya raia wanalalamika hali ni ngumu kupita kiasi (Hawana pesa kukidhi "Kupata chakula, matibabu na hawaijui kesho yao). Serikali nayo haina pesa kujiendesha yenyewe kupelekea kuongeza kodi kwa raia wasio na kipato.
Raia wangekua na pesa ya kukidhi mahitaji yao. Basi dereva angefanikiwa kuliweka gari sawa.
Hili ni "TIME BOMB (BOMU)" kwa serikali yetu, bomu hili linalosubiri muda/kiberiti tu liripuke. Kinachochelewesha ni raia kuwa "WAOGA" bado, ila uoga ukitoweka kwa raia bomu linaripuka.
USHAURI KWA CHADEMA.
Wakikaidi na kuachana na "VITISHO VYA A.G na SPEAKER" kisha wakafanya maamuzi ya kuwafukuza "UWANACHAMA" hao 19 waliosaliti, kisha wakaongeza "PRESSURE ZAIDI NA ZAIDI" kwa dereva. Dereva watamchanganya zaidi na kupindua gari ndani ya muda mfupi sana.
Katika mapambano yoyote (hata mpira wa miguu), adui yako mwenye nguvu anapokua na "PRESSURE NA KUJIKANYAGA KANYAGA", usimpe nafasi ya kujipanga, ongeza pressure na mashambulizi zaidi ili aharibu zaidi na umjeruhi zaidi. Na kamwe usilipe fadhila ya kumpunguzia mashambulizi.
CHADEMA wakiamua kufunika kombe ili mwanaharamu apite (Wasipo wafukuza hao wasaliti 19 uwanachama) basi gari litapunguza kasi kidogo, pengine dereva akajitambua na gari litadondoka upande waliokaa wao CHADEMA na kuwaua (Chama kitakufa na kupoteza wanachama kama CUF ya Lipumba).
ZINGATIO
Ili CHADEMA na ACT WAZALENDO kuleta madhara zaidi na zaidi kwa Serikali ya CCM, Chadema "KUWAFUKUZA UWANACHAMA HAO WASALITI 19" haitoshi, japo ndio maamuzi sahihi ya kuchukua.
Baada ya kuwafukuza hao 19, kama vyama vya upinzani vikuu vinapaswa kuongeza "PRESSURE ZAIDI NA ZAIDI (ADD MORE PREESURE AND MORE PRESSURE) kwa serikali na NEC kutoa majibu ya hao waliopeleka hayo majina na kusign hizo form. Isiipe serikali nafasi ya kuvuta pumzi hata kidogo wala nafasi ya kujipanga.
Serikali na NEC isipotoa majibu ya kuridhisha, basi iendelee kupiga "KELELE" katika mataifa yenye nguvu duniani pamoja na AU/UN kuingilia kati.
Kitabu namba mbili unauza million na laki saba Kwa nakala?Au umekosea??
Basi Lisu atakuwa bwabajiMtanzania anayeongoza kuropoka Tanzania ni ndugai
Mm tena? Waropokaji wapo ufipa hukoKama ulivyo mropokaji.
Hali ya hivyo vyama si umeona?
So umetaka chadema kiwe kama jahazi asilia?
Maandamano ya kupinga Mdee mnaenda ila ya kupinga matokeo kila mtu anakaa jf tuTatizo la vyama kama jahazi asilia ni wafu sio ruzuku.
Nakubaliana nawe kwa asilimia kubwa sana!Wengi hawafahamu kwamba kwasasa "DEREVA" gari limeshamshinda, linayumba yumba barabarani tu (Things Are Out Of His Hands And Out Of Control - The Country Is In Deep Murmuring Chaos).
Na kawaida gari linapomshinda dereva basi kila atakachotaka kufanya ili kulikweka sawa na kila anavyopapatua, ndio anapo haribu zaidi na kulitoa nje ya barabara.
Sasa hivi kila mtu anajifanya mjuzi kuliko dereva, na ndio wanazidi kumchanganya na kumptoteza kabisa dereva. Huyu kawasha end-cator, yule kapiga honi, huyu kakunja sight-mirror zote (Waziri Wa Mambo Ya Nje alichokonoa mambo vibaya. AG na SPEAKER leo ndio "WAMECHOMOA BETRI" kabisa).
Kwa tulipofikia, gari linasubiri sababu tu lianguke na kuua abiria. Hakuna hatua yoyote ya kuliokoa gari wala kumsaidia dereva. Zaidi ya kumwomba mungu idadi ya wafu na majeruhi iwe ndogo.
● Kwa wenye akili na maarifa (hata wana CCM wenyewe) ndio maana wamekaa kimya na kujiweka pembeni. Wanatazama tu. Wanajua impact itakayotusibu kama taifa.
● Cha kujiuliza,
1) Kwanini siku ya leo "SERIKALI IMEONESHA INTEREST KUPITA KIASI" kuhusiana na hawa wabunge 19.???
2) Na kwanini bunge (Speaker) ameonesha "INTEREST KUPITA KIASI" kuhusiana na hawa wabunge 19.???
■ Nchi ina mihimili mitatu. Mihimili miwili tayari (Serikali na Bunge) vimeshakuwa "BIASED". Umebakia mhimili mmoja tu "MAHAKAMA".
■■■ Kwanini nasema "KWA TULIPOFIKIA, GARI LINATAFUTA SABABU TU YA KUANGUKA NA KUUA ABIRIA"???
PRINCIPLE KUU YA UTAWALA
"Binaadamu ana mahitaji makuu, ambayo ni "Chakula, Matibabu na kuijua kesho yake". Binaadamu hawatawaliwi kwa nguvu bila hayo matatu na utawala ukafanikiwa.
Nature ya binaadamu, akiwa "AMESHIBA (Ana chakula/pesa) basi anakua binaadamu na anatawalika kirahisi, ila akiwa na "NJAA (Hana chakula/pesa)" akili inafanya kazi kupita kiasi na anakua mnyama asiekua na uoga wowote na muogope kama Covid-19 au HIV AIDS!!!
Kifupi, binaadamu mwenye njaa hatawaliki na yuko radhi kufanya lolote.
Nchi yetu raia hawana kipato na hawana mwelekeo kwa sasa. Mbele yao ni giza nene. Muda si mrefu hawata tawalika wala kutii serikali.
JIBU.
Sisi kama taifa, asilimia 98% ya raia wanalalamika hali ni ngumu kupita kiasi (Hawana pesa kukidhi "Kupata chakula, matibabu na hawaijui kesho yao). Serikali nayo haina pesa kujiendesha yenyewe kupelekea kuongeza kodi kwa raia wasio na kipato.
Raia wangekua na pesa ya kukidhi mahitaji yao. Basi dereva angefanikiwa kuliweka gari sawa.
Hili ni "TIME BOMB (BOMU)" kwa serikali yetu, bomu hili linalosubiri muda/kiberiti tu liripuke. Kinachochelewesha ni raia kuwa "WAOGA" bado, ila uoga ukitoweka kwa raia bomu linaripuka.
USHAURI KWA CHADEMA.
Wakikaidi na kuachana na "VITISHO VYA A.G na SPEAKER" kisha wakafanya maamuzi ya kuwafukuza "UWANACHAMA" hao 19 waliosaliti, kisha wakaongeza "PRESSURE ZAIDI NA ZAIDI" kwa dereva. Dereva watamchanganya zaidi na kupindua gari ndani ya muda mfupi sana.
Katika mapambano yoyote (hata mpira wa miguu), adui yako mwenye nguvu anapokua na "PRESSURE NA KUJIKANYAGA KANYAGA", usimpe nafasi ya kujipanga, ongeza pressure na mashambulizi zaidi ili aharibu zaidi na umjeruhi zaidi. Na kamwe usilipe fadhila ya kumpunguzia mashambulizi.
CHADEMA wakiamua kufunika kombe ili mwanaharamu apite (Wasipo wafukuza hao wasaliti 19 uwanachama) basi gari litapunguza kasi kidogo, pengine dereva akajitambua na gari litadondoka upande waliokaa wao CHADEMA na kuwaua (Chama kitakufa na kupoteza wanachama kama CUF ya Lipumba).
ZINGATIO
Ili CHADEMA na ACT WAZALENDO kuleta madhara zaidi na zaidi kwa Serikali ya CCM, Chadema "KUWAFUKUZA UWANACHAMA HAO WASALITI 19" haitoshi, japo ndio maamuzi sahihi ya kuchukua.
Baada ya kuwafukuza hao 19, kama vyama vya upinzani vikuu vinapaswa kuongeza "PRESSURE ZAIDI NA ZAIDI (ADD MORE PREESURE AND MORE PRESSURE) kwa serikali na NEC kutoa majibu ya hao waliopeleka hayo majina na kusign hizo form. Isiipe serikali nafasi ya kuvuta pumzi hata kidogo wala nafasi ya kujipanga.
Serikali na NEC isipotoa majibu ya kuridhisha, basi iendelee kupiga "KELELE" katika mataifa yenye nguvu duniani pamoja na AU/UN kuingilia kati.
Maandamano ya kupinga Mdee mnaenda ila ya kupinga matokeo kila mtu anakaa jf tu
Mrefu sana mzee kweli kila mtu ana bei yake. Na Ccm walivyowajanja usikute yule bulaya aliolewa makusudi toka TISS Kuja kumaliza na mdee kamaliza kazi dah hata mdeeMdee inawezekana atakuwa kapewa mlungula mrefu.