mangichogo
JF-Expert Member
- Oct 30, 2023
- 837
- 1,482
Usisahau wa south Africa kila mwaka wanafanya kumbukumbu ya mauaji ya Soweto. Kwenye kupigania haki na uhuru lazima sacrifices za kujitoa muhangaSo is it worth sacrifice life of those kids for that ushindi walio pata kujadiliwa na Dunia nzima Hahaha Man like seriously?
A wise man once said tulipo gundua Amani ni bora kuliko ushindi tuliwapa ushindi tukabaki na Amani
In this madness only kids are suffer the consequences WIN or Lose means nothing compared to casualties and fatalities of innocent people in Palestine
Ktk mgogoro huu wa palestina na Israel, wepi wenye amani na wepi wenye ushindi? Au watu gani wamepewa amani na wepi wamepewa ushindi? BRO. VILEVILE A WISE MAN ONCE SAID, HAKUNA AMANI PASIPO NA HAKIA wise man once said tulipo gundua Amani ni bora kuliko ushindi tuliwapa ushindi tukabaki na Amani
Ok let wait and see itaishia wapiUsisahau wa south Africa kila mwaka wanafanya kumbukumbu ya mauaji ya Soweto. Kwenye kupigania haki na uhuru lazima sacrifices za kujitoa muhanga
Yes upo sawa but don't start war that you can't winKtk mgogoro huu wa palestina na Israel, wepi wenye amani na wepi wenye ushindi? Au watu gani wamepewa amani na wepi wamepewa ushindi? BRO. VILEVILE A WISE MAN ONCE SAID, HAKUNA AMANI PASIPO NA HAKI
Please usiingize masuala ya dini ktk mjadala huu. Ninachojua mimi wapalestina wanapigania haki n uhuru wao. Wewe uliona wapi watu wapo ktk nchi yao laini wanaishi ktk refugees camps. Ungekuwa wewe ungekubali?Ok let wait and see itaishia wapi
But kitu ambacho nimejifunza Hamas don't give a damn about Palestine children's Life they even don't care about their own lives in the name of Islamic ideology
They hatred for Israel is too strong than love for their children
Bro. Sisi ni binadamu na kuna mambo mengi tunaweza tukayavumilia na nayaacha yapite lakini sametimes uvumilivu huwa unafika mwisho na unkuwa tayari kwa lolote lile na bora kufa ukiwa unpigana kwani kifo kipo kwa il kiumbeYes upo sawa but don't start war that you can't win
"You can't stop what you can't see"
Ok samahani Kwa kuingiza dini japo inamchango mkubwa kwenye hili pia Kwa kuamuru wazi wazi kuuwawa kwa Jews but tusiende hukoPlease usiingize masuala ya dini ktk mjadala huu. Ninachojua mimi wapalestina wanapigania haki n uhuru wao. Wewe uliona wapi watu wapo ktk nchi yao laini wanaishi ktk refugees camps. Ungekuwa wewe ungekubali?
Jaribu kuvaa viatu vya wapaleatina alafu uishi west bank alafu ufanyiwe vitimbwi wanavyofanya setters ya kuvunja nyumba, mauwaji na kukamatwa bila kosa lolote na kuswkaw magereza bila kusikilizwa. Ungeweza kuvumilia??Yes upo sawa but don't start war that you can't win
"You can't stop what you can't see"
Ndio tunajua uonezi wa Israel kwa wapalestina Lakini lawama bado Hamas hawawezi kwepa katika hili walilofanya trh 7 kuua Raia ambao hawana hatia sio njia ya kupigania uhuru waoJaribu kuvaa viatu vya wapaleatina alafu uishi west bank alafu ufanyiwe vitimbwi wanavyofanya setters ya kuvunja nyumba, mauwaji na kukamatwa bila kosa lolote na kuswkaw magereza bila kusikilizwa. Ungeweza kuvumilia??
Imagine chukulia mfano huu, CHADEMA wtz tuwakubali na washinde uchaguzi mkuu. Alafu litokee taifa lingine mfano Afrika kusini na Uganda waseme hatuutambui ushindi wa CHADEMA na kuanzia leo tunatangaza Chadema ni kundi la kigaidi. Sasa hivyo ndivyo ilivyotokea Gaza na Hamas.Bro. Sisi ni binadamu na kuna mambo mengi tunaweza tukayavumilia na nayaacha yapite lakini sametimes uvumilivu huwa unafika mwisho na unkuwa tayari kwa lolote lile na bora kufa ukiwa unpigana kwani kifo kipo kwa il kiumbe
Njia ya kupigania uhuru ni ipi ambayo unafikili wapalestina inaweza ikawasaidia, mbona Israel anatumia njia hiyo hiyo kwa kufikili ndio itakayompatia amani ya kudumu? Au na wewe unakubali njia anayotumia Israel ya kuuwa wapalestina ndio itakayompatia amani ya kudumu?Ndio tunajua uonezi wa Israel kwa wapalestina Lakini lawama bado Hamas hawawezi kwepa katika hili walilofanya trh 7 kuua Raia ambao hawana hatia sio njia ya kupigania uhuru wao
Njia ya kupigania uhuru ni ipi ambayo unafikili wapalestina inaweza ikawasaidia, mbona Israel anatumia njia hiyo hiyo kwa kufikili ndio itakayompatia amani ya kudumu? Au na wewe unakubali njia anayotumia Israel ya kuuwa wapalestina ndio itakayompatia amani ya kudumu?Ndio tunajua uonezi wa Israel kwa wapalestina Lakini lawama bado Hamas hawawezi kwepa katika hili walilofanya trh 7 kuua Raia ambao hawana hatia sio njia ya kupigania uhuru wao
Sikubali njia ya kikatili inayo fanywa na Israel Kwa sababu watoto na wanawake ndio wanaolipia zaidi gharama ya hii VitaNjia ya kupigania uhuru ni ipi ambayo unafikili wapalestina inaweza ikawasaidia, mbona Israel anatumia njia hiyo hiyo kwa kufikili ndio itakayompatia amani ya kudumu? Au na wewe unakubali njia anayotumia Israel ya kuuwa wapalestina ndio itakayompatia amani ya kudumu?
Umejibu nusu🤣Sikubali njia ya kikatili inayo fanywa na Israel Kwa sababu watoto na wanawake ndio wanaolipia zaidi gharama ya hii Vita
Kama njia sahihi ni hii ya kupigana Vita so be it acha watoto na wanawake walipie na kusiwe na kelele Kwa sababu ndio njia sahihi ya kupigania uhuru wao
Waisrael wangekuwa waislamu pangekuwa na vita?Palestinà ina shortage ya ardhi kiasi hicho hadi kupigania ardhi hiyo kwa gharama ya maisha ya watu wake.Issue ni coexistance baina ya Muslims and JewsPlease usiingize masuala ya dini ktk mjadala huu. Ninachojua mimi wapalestina wanapigania haki n uhuru wao. Wewe uliona wapi watu wapo ktk nchi yao laini wanaishi ktk refugees camps. Ungekuwa wewe ungekubali?
Kilitokea nini Idd Amini alivyotaka kumega Kagra?? Tz tuna shida ya aridhi? Sadam Hussein alivyokwenda kuimega kueit nini kilitokea?. Dogo acha upumbafuWaisrael wangekuwa waislamu pangekuwa na vita?Palestinà ina shortage ya ardhi kiasi hicho hadi kupigania ardhi hiyo kwa gharama ya maisha ya watu wake.Issue ni coexistance baina ya Muslims and Jews
Hajajibu nusu semaa hajajibu lolote!!!Umejibu nusu[emoji1787]
Matusi ya nini ewe ndugu muislam?Kilitokea nini Idd Amini alivyotaka kumega Kagra?? Tz tuna shida ya aridhi? Sadam Hussein alivyokwenda kuimega kueit nini kilitokea?. Dogo acha upumbafu
Nyie maccm hamnaga akili timamuMatusi ya nini ewe ndugu muislam?
Leo tu Russia walikuwa middle east pale inaonekana strategies za new world order zinaendelea sie tuombee amani tu.Wazee walisema!; chako kula, halahala Jirani!
Iwapo wapalestina wangetaka Amani na Israel kungekuwa na Amani ya Kumwaga Palestine. Iwapo Israel Ingetaka vita na palestina kusingekuwa na Palestina duniani!