Kwanini HAMAS sasa anapigana vita alivyoshindwa?

So is it worth sacrifice life of those kids for that ushindi walio pata kujadiliwa na Dunia nzima Hahaha Man like seriously?

A wise man once said tulipo gundua Amani ni bora kuliko ushindi tuliwapa ushindi tukabaki na Amani

In this madness only kids are suffer the consequences WIN or Lose means nothing compared to casualties and fatalities of innocent people in Palestine
Usisahau wa south Africa kila mwaka wanafanya kumbukumbu ya mauaji ya Soweto. Kwenye kupigania haki na uhuru lazima sacrifices za kujitoa muhanga
 
Ok let wait and see itaishia wapi
But kitu ambacho nimejifunza Hamas don't give a damn about Palestine children's Life they even don't care about their own lives in the name of Islamic ideology

They hatred for Israel is too strong than love for their children
 
Ktk mgogoro huu wa palestina na Israel, wepi wenye amani na wepi wenye ushindi? Au watu gani wamepewa amani na wepi wamepewa ushindi? BRO. VILEVILE A WISE MAN ONCE SAID, HAKUNA AMANI PASIPO NA HAKI
Yes upo sawa but don't start war that you can't win

"You can't stop what you can't see"
 
Ok let wait and see itaishia wapi
But kitu ambacho nimejifunza Hamas don't give a damn about Palestine children's Life they even don't care about their own lives in the name of Islamic ideology

They hatred for Israel is too strong than love for their children
Please usiingize masuala ya dini ktk mjadala huu. Ninachojua mimi wapalestina wanapigania haki n uhuru wao. Wewe uliona wapi watu wapo ktk nchi yao laini wanaishi ktk refugees camps. Ungekuwa wewe ungekubali?
 
Ok samahani Kwa kuingiza dini japo inamchango mkubwa kwenye hili pia Kwa kuamuru wazi wazi kuuwawa kwa Jews but tusiende huko

Vipi mamlaka ya Palestine hawana mamlaka kamili Gaza?
Gaza wanaishi kwenye refugee camp?
hawana government Yao na anae tawala ni Israel?
nieleweshe hapo wanavyo pigania uhuru wao chini ya mkoroni ambae ni muisrael?
 
Jaribu kuvaa viatu vya wapaleatina alafu uishi west bank alafu ufanyiwe vitimbwi wanavyofanya setters ya kuvunja nyumba, mauwaji na kukamatwa bila kosa lolote na kuswkaw magereza bila kusikilizwa. Ungeweza kuvumilia??
Ndio tunajua uonezi wa Israel kwa wapalestina Lakini lawama bado Hamas hawawezi kwepa katika hili walilofanya trh 7 kuua Raia ambao hawana hatia sio njia ya kupigania uhuru wao
 
Bro. Sisi ni binadamu na kuna mambo mengi tunaweza tukayavumilia na nayaacha yapite lakini sametimes uvumilivu huwa unafika mwisho na unkuwa tayari kwa lolote lile na bora kufa ukiwa unpigana kwani kifo kipo kwa il kiumbe
Imagine chukulia mfano huu, CHADEMA wtz tuwakubali na washinde uchaguzi mkuu. Alafu litokee taifa lingine mfano Afrika kusini na Uganda waseme hatuutambui ushindi wa CHADEMA na kuanzia leo tunatangaza Chadema ni kundi la kigaidi. Sasa hivyo ndivyo ilivyotokea Gaza na Hamas.

Sasa unapokuja na hako kaswali kako natamani hata nikutukane
 
Ndio tunajua uonezi wa Israel kwa wapalestina Lakini lawama bado Hamas hawawezi kwepa katika hili walilofanya trh 7 kuua Raia ambao hawana hatia sio njia ya kupigania uhuru wao
Njia ya kupigania uhuru ni ipi ambayo unafikili wapalestina inaweza ikawasaidia, mbona Israel anatumia njia hiyo hiyo kwa kufikili ndio itakayompatia amani ya kudumu? Au na wewe unakubali njia anayotumia Israel ya kuuwa wapalestina ndio itakayompatia amani ya kudumu?
 
Sikubali njia ya kikatili inayo fanywa na Israel Kwa sababu watoto na wanawake ndio wanaolipia zaidi gharama ya hii Vita
Kama njia sahihi ni hii ya kupigana Vita so be it acha watoto na wanawake walipie na kusiwe na kelele Kwa sababu ndio njia sahihi ya kupigania uhuru wao
 
Umejibu nusu🤣
 
Please usiingize masuala ya dini ktk mjadala huu. Ninachojua mimi wapalestina wanapigania haki n uhuru wao. Wewe uliona wapi watu wapo ktk nchi yao laini wanaishi ktk refugees camps. Ungekuwa wewe ungekubali?
Waisrael wangekuwa waislamu pangekuwa na vita?Palestinà ina shortage ya ardhi kiasi hicho hadi kupigania ardhi hiyo kwa gharama ya maisha ya watu wake.Issue ni coexistance baina ya Muslims and Jews
 
Kilitokea nini Idd Amini alivyotaka kumega Kagra?? Tz tuna shida ya aridhi? Sadam Hussein alivyokwenda kuimega kueit nini kilitokea?. Dogo acha upumbafu
 
Wazee walisema!; chako kula, halahala Jirani!
Iwapo wapalestina wangetaka Amani na Israel kungekuwa na Amani ya Kumwaga Palestine. Iwapo Israel Ingetaka vita na palestina kusingekuwa na Palestina duniani!
Leo tu Russia walikuwa middle east pale inaonekana strategies za new world order zinaendelea sie tuombee amani tu.
 
Back
Top Bottom