Kwanini HAMAS sasa anapigana vita alivyoshindwa?

mkuu walidanganywa na kuingizwa mkenge na putin, bada ya putin kuona mambo hayaendi kama alivyodhania akaona alianzishe kule mashariki halafu israel wakijibu nchi nyingine za kiarabu ziingie vitani iwe songomingo ndio maana muda huo huo nae akazidisha vita ukraine akitegemea us watabanwa kule israel hawatatoa misaada ukrain. hivyo kiulaini atashinda vita. waarabu wana mkataba na israel unaitwa ABRAHAM pamoja na kipigo gaza hawajavunja mkataba. Waarabu wao ZILONGWA MBALI ZITENDWA MBALI.
 
Hata idadi ya vifo wanabadilisha takwimu Kila Siku.
Walianza na watu 1400 wakapunguza mpaka 1300 sasa wanasema ni raia 1149 ndio waliofariki.
Sijui kesho watasema wangapi.

Waongo hadi wanajishangaa
 
Unashangaza wewe
Hivi unajua anachokifanya Israel kwa Palestina kimewafanya wasiwe na namna???
NI JELA YA ISRAEL PEKEE DUNIANI YENYE WAFUNGWA WATOTO CHINI YA MIAKA 10 NDANI YA JELA ZA WATU WAZIMA.
FIKIRIA KABLA HUJAONGEA BRO.
HUKO JENIN WAYAHUDI WANACHOMA MOTO MPAKA VITOTO VICHANGA VYA KIPALESTINA.
HUJUI WANAYOFANYIWA WAPALESTINA KIASI WANAKOSA NAMNA

Huwezi kuvamia raia kuua na kuteka halafu wakakuita shujaa sbb hauna tofauti na majambazi.
Hamas wangeonekana mashujaa wangetangaza vita kwa Israel kutangaza vita mbona jambo rahisPalestina
 

Tatizo liko hapa Mkuu:

Israel arrests almost as many Palestinians as it has released during truce

Nini tija ya mabadilishano Haya na hasa kama lengo la Israel ni kuifuta HAMAS?
 

HAMAS wana mgogoro na Israel wa muda mrefu. Sidhani wao kupambana na Israel wanaamrishwa au hata kuhamasishwa. Huo ni wajibu wao #1.
 
Kwa mbinyo alio nao HAMAS hata yeye mwenyewe hawezi kusema hayo.
IDF wamekamuliwa kamasi vibaya mno wewe unadhani mchezo kukubali kukaa meza moja na Hamas .mwanzo si walisema hakuna kuongea na hamas walichokutana nacho ni balaaa tupu. Waombe jumuia za kimataifa ziendelee kusimamisha hii vita mtiti ukiendelea watachinjwa wote hao kama njiwa.
 
Upuuzi
 
Wanaume wametoka majumbani wamekwenda kupambana front, Israel army wako busy kupiga makazi ya raia na mahosipitali na kambi za wakimbizi wakijua kabisa huko wamebaki wamama na watoto na wagonjwa
 
Wanaume wametoka majumbani wamekwenda kupambana front, Israel army wako busy kupiga makazi ya raia na mahosipitali na kambi za wakimbizi wakijua kabisa huko wamebaki wamama na watoto na wagonjwa
Nao wanafanya lile tukio la octoba 7
 
Mwarab hana ubavu kwa Myahudi hata siku moja, wanatunguliwa tu kama mapopo na kuwaishwa motoni kupewa mabikra 72 waliodanganywa na shetani
 
Hamasi ni jeshi kubwa sana. Kuwavimbia Israel sio jambo dogo.
 
Israel hakuwa na moango was kufanya mazungumzo ndiyo maana kufanyishwa mazungumzo ni mafanikio Kwa HAMAS.

Au wewe huoni hivyo ndugu?
Kama alikua hana mpango c angekataa tu au unadhani kuna mtu angemlazmisha???
 
Kwa kutukio walilofanya octoba 7. Ni halali Israel ifanye hivyo kujilinda. Hao wapalestina hawajaanza jana. Hao watoto wa miaka 10 hata Hamas aliwateka
Hao Hamas kwanini waliwateka Wamerekani, Waithailand hadi kumuua mtanzania mwenzetu? Wangewateka waisrael tu
Ili uishi na mwaarabu unatakiwa uwe katili zaidi yake. Ukicheka naye
Utaundiwa vikundi vya kigaidi vya kiislamu vinavyovamia na kuua watu ovyo
  • Ghana, kuna padri alitekwa na kikundi cha kigaidi cha kiislamu zaidi ya mwaka 1 ndiyo ameachiwa juzi.
  • Msumbiji kuna kikundi cha kigaidi cha kiislamu cha Islamic State (IS)
  • Nigeria, kuna kikundi cha kigaidi cha kiislamu cha Boko Haram
  • Sudan, kuna kundi la kigaidi la kiislamu la Janjaweed
  • Somalia kuna kikundi cha kigaidi cha kiislamu cha Al Shabab
  • Libya waislamu wameuana km kuku, nilitegemea hawa ndugu wataishi vizuri
  • Pakistan, kuna kund la kigaidi la kiislamu
Ili uishi na muarabu (muislamu) unatakiwa uwe mkatili zaidi yake ndiyo utaweza kuishi naye. Israel ndiyo inajua kudeal na makundi ya kigaidi ya kiislamu
 
Iran Reginal power gan uliona wap maskin akawa Reginal power,angejib kipindi kile trump alikuwa madarakan alipouwawa suleman ,reginal power ukisema saud arabia ntakuambia Sawa na yeye akishajiunga na Israel Iran ameisha
Alokwambia IRAN ☫ maskini nani wewe kijana
Ulitaka ajibu vipi wakat alizitwanga kambi za Us pale IRAQ [emoji1131] au ulitaka arushe bomu nyuu yoki
 
Yaani kusema ukweli sehemu yenye Waislam hakunaga amani.

Sio kuwakwaza waislam kwa kauli hii lakini ndio uhalisia unaonekana hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…