Kwanini hamtaki kujibu haya maswali kwenye Biblia?

Quran 51:47
And it is We who have constructed the heaven with might,and verily,it is We who are steadily expanding it
 
Hakuna evidence ya evolution babu,ni story za darwin tu ambaye hakua mwanasayansi bali science-fiction story teller
 
Na mtu yupo tayri hata kufa kupigania hizo simulizi , kuna magroup flan iv ya waarabu mchanganyiko , yapo clubhouse ukisikiliza mada zao utagundua washaanza kushtukia mchezo .
Penye ukweli, uongo hujitenga.

Ujue zamani ilikuwa rahisi sana kuwashikia watu akili.

Elimu ilikuwa ndogo, watu walikuwa hata kusoma hawajui. Woga ulitawala.

Hata hivyo vitabu vitakatifu watu walikuwa wanasomewa tu na viongozi wa dini. Watu walikuwa hawajui hata kusoma. Halafu kila jamii ilikuwa imejitenga kivyake.

Siku hizi, kadiri watu wanavyopata elimu, wanavyojua kusoma, teknolojia inavyozidi kuongezeka na mambo yote yanavyowekwa mitandaoni, watu wanavyosafiri au hata kuwasiliana kirahisi na watu walio mbali sana na jamii zao za asili, ndivyo vizazi vipya vinavyoona uongo uliopo katika hadithi za vitabu vya dini.
 
Enzi za hao watu wa zamani akina Kaini na Habili wanawake walikua hawahesabiwi mkuu manaa yake Adamu alikua na watoto wengine wengi tu ila walikua na jinsi ya kike kwahiyo watoto wanaume walikua ni wa wili tu na biblia ina watambua hao kwa idadi. Jibu la swali lako ndio hilo
 
Kabisa mkuu
 
𝐮𝐧𝐚𝐚𝐦𝐛𝐢𝐰𝐚 𝐮𝐤𝐢𝐰𝐚 𝐤𝐚𝐧𝐢𝐬𝐚𝐧𝐢 𝐡𝐮𝐫𝐮𝐡𝐮𝐬𝐢𝐰𝐢 𝐤𝐮𝐡𝐨𝐣𝐢
 
Biblia ina changamoto sana ndio mana kuna mstar katika kitabu cha yeremia 8:8umesema kalamu ya mwandish imepotosha ving.. ikumbukwe biblia iltafsiriwa kutoka katika lugha ya kale kuja kwenye lugha zngne mpka kufka kiswahil hivyo kuba meng yameachwa na meng yametafsriwa tofaut..
Mfano mathayo 21: 2na marko 11: 2 wote walikua wanafunz wa yesu lakin stor zao znakinzana kama pale Kwa marko Yesu akasema nenden mpka mji wa... Utamkuta punda na mwanapunda kisha muwafungue na kunletea hapa apo, apo kwa mathayo inasema kisha yesu akawatuma mpka mji ule watamkuta mwanapunda aliefungwa kisha wamfungue na kumleta uon apo ni vtu viwil tofaut
 
Quran 51:47
And it is We who have constructed the heaven with might,and verily,it is We who are steadily expanding it
🤣So hapo Muhammad alimaanisha universe....ila kwenye protective ceiling heaven ghafla imekuwa sky...🤣Kwa taarifa yako watu wa enzi hiyo including mudi hawakujua universe walijua dunia Ina anga ambayo in jua na mwezi(zinafuatana according to Quran)...alafu siku na usiku zinazunguka dunia ..🤣acha kujikosha Quran tunaijua
 
Hakuna evidence ya evolution babu,ni story za darwin tu ambaye hakua mwanasayansi bali science-fiction story teller
🤣Hivi kitu kisiwe na evidence kipitishwe na serikali tujifunze in history na biology kweli. Ingia utafute evolution ni Nini ndo uelewe maana yake we umeambiwa na walimu wako uchwara evolution ni nyani kuwa binadamu...hii sio evolution na hamna kitu Kama hicho ..soma evolution uelewe afu ndo ubishane ujinga
 
So true ...🤣Ila bongo bado sana makanisa ya mchongo kibao bado yanateka wajinga
 
🤣🤣🤣🤣Why Mungu wako mbaguzi
 
So conclusion ni kwamba sio neno la Mungu Bali ni maneno ya watu
 
Bado ila umejaribu,
 
Ni neno la Mungu lakin limepotoshwa sana Ndio mana kina Pope wanataka kuleta bible new version mana hii ya sasa aiendan na dunia ya sasa mana weng washaijua makosa yake
So conclusion ni kwamba sio neno la Mungu Bali ni maneno ya watu
 
Mfano mwanzo 18:1 inasema bwana akamtokea ibrahim akiwa ameket malangon kwake sindio?? Wakat musa akiwa miliman akiomba alimwomba Mungu amwone japo kwa sura lakn ilsikika sauti acodng to maandiko ikimwambia musa hakuna atakaeweza kuniona na akaishi je Bwana alioonana na ibrahim ni yupi?
Msje sema mm n mpinga krstu nkaja zikwa na halmashaur bure mm n mkrsto mwenzenu tenasafi kabsa🙄
 
Ni neno la Mungu lakin limepotoshwa sana Ndio mana kina Pope wanataka kuleta bible new version mana hii ya sasa aiendan na dunia ya sasa mana weng washaijua makosa yake
Hii ni rumors za uwongo....uwe una fact check usiamini taarifa za kutumwa kwenye magroup ya Facebook na telegram
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…