Kwanini hamtaki kujibu haya maswali kwenye Biblia?

Kwanini hamtaki kujibu haya maswali kwenye Biblia?

Jingine, iweje mwenyezi Mungu asahihishe mtihani na kuweka tick kwenye jibu la swali halafu baadae aseme au aone kuwa aliweka tick kimakosa? Ufafanuzi: siku alipomuumba Adam baada ya uumbaji wa siku hiyo akaweka tick kwamba mambo yako sawa kwa kumuumba Adam tena akiwa pekee yake. Lakini pamoja na kuridhika kuwa alifanya uumbaji wa Adam (pekee yake) na kuridhika nao kwa 100% baadae akagundua kuwa siyo vema (kama alivyoona awali) Adam kukaa pekee yake. Ndipo Kaamua kumleta Eva. Naomba ufafanuzi hapo.
Sijui wewe ulivo elewa hapo kwenye hayo maandishi; again mimi wala hayakunipa shida, nilielewa hivi, yeye kama Mungu aliona kazi yake imempendeza na kumfurahisha BUT alivokua anamuona huyo mtu ni kwamba yupo MPWEKE, hana kampani so ni vema HUYO mtu awe na msaidizi. Ni kama hivi, wewe umemchumbia msichana wako, umeridhika vile alivo lakini wakati mwingine unaona yeye anajisikia vibaya wenzie wanavo kwenda salon na kuongeza sijui UREMBO na wewe unao uwezo then unampa hela ili nae aende. Hicho kitendo hakina maana kwamba mwanzoni hukua umeridhika na mwonekano wake so sometimes unajali hisia za wengine as well. Or mfano mwingine ni hu; mtu akipata say kipato cha Tsh 1.5M+ wenzio wenye hicho kipato kama chako, watoto wao wapo shule za English media, unaona kabisa wenzio ufanye ili tu uendane na wenzio hata kama uliridhika na shule za serikali. So sijaona mahali alipojisahihisha Mungu or else kungekua na matoleo mengi mengi ya binadamu wenye maumbile tofauti na toleo la kwanza
 
Habari zenu,

Naombeni majibu ya haya maswali kwenye maneno ya Biblia:

"Ukisoma mwanzo unaambiwa Adam na Hawa walimzaa Kaini na Habili, baadaye Kaini alimuua nduguye Habili. Baada ya hiyo hali Mungu akamfukuza Kaini (Kaini akatoka mbele za uso wa Bwana akakaa katika nchi ya Nodi mbele ya Edeni). Kaini akamjua mkewe naye akapata mimba akamzaa Henoko."

Swali liko hapo; Huyo mke wa Kaini alitoka wapi wakati Mungu alikuwa ameumba watu wawili tu na walizaa watoto wawili na kati ya hao mmoja alikuwa amefariki? Huyo mke alitoka wapi, embu tupeni majibu?
Mwanzo 5:1-32

ukoo wa Adam umeandikwa hapo,
baada ya Abel kufa ,alizaliwa Sethi wa kike na wakaendela kuzaliwa wa kike wengine.

Adam aliiashi miaka 930 alizaa watoto wa kiume na kike , wakaanza kuona wenyewe kwa wenyewe.
 
.....BUT alivokua anamuona huyo mtu ni kwamba yupo MPWEKE, hana kampani so ni vema HUYO mtu awe na msaidizi.
Kwa hakika nilitegemea Mungu kutokana na uwezo wake kuwa ameliona hili toka awali na siyo baadae. Anyway, Ahsante.
 
Kwa hakika nilitegemea Mungu kutokana na uwezo wake kuwa ameliona hili toka awali na siyo baadae. Anyway, Ahsante.
Biblia huaga unasoma mwenyewe au unasomewa? Sina Biblia hapa, lakini kama kweli hiyo sura ulioinukuu kama ulisoma mwenyewe then siamini kama ingekupa shida kuelewa. Kama ulisoma utagundua kwamba the idea ya kuumba alicho kiumba, aliitamka hata kabla hajafanya hivo. Kabla ya kumuumba Hawa, ipo sehemu imeandikwa, "mtu mke na mtu mume aliwaumba...." cause alitaka kazi ya uumbaji isifanywe na yeye tena, alifanya delegation kwa viumbe wake including binadamu. Soma with positive mind, ukisoma kwa kutaka kukosoa utakutana na vingi tu.
Let me add this as well, coming from my own testimony. Mwaka 1994 kupitia tape za radio cassettes za wakati huo, nilimsikia sheikh mazinge na "askofu" mwaipopo wakisema hivi, "1Wakorinto 15:15 kwamba naamu na sisi tumekua mashahidi wa uongo kwa kumshuhudia Mungu kwamba alimfufua yesu ambaye HAKUFA" Nilistuka sana, kwamba kumbe Yesu hakufa? Na wamesoma kwenye Biblia? Kumbe pasaka sio sherehe ya ukweli? Mimi sikua najua chochote kuhusu Biblia but miezi kadhaa baadae nikakutana na wasoma Biblia, nilitaka kujiridhisha kama hilo andiko lipo na linasema hivo cause niliukariri ule mstari...., baada kusoma kutoka juu hadi baada ya huo mstari wa 15 nilishangaa sana, kwamba inakuaje kiongozi wa dini anakua muongo namna hi? Nilichukia hadi na dini yake. Nakushauri na wewe, usije kua kama kina Mazinge, wanahubiri kwa kutumia uongo ili kumpendeza mungu wao, mungu anaependezwa na uongo nadhani sio mungu wa kweli, huyo atakua shetani
 
Idadai ya Waisrael wakati wanatoka utumwani Misri kwenda Nchi ya Kaanani, walikuwa watu laki 6, bila kuhesabu wanawake na watoto
Yesu aliwalisha kwa samaki mmoja na mikate mitano watu elfu tano, bila kujali wanawake na watoto
Sijui kama nitakuwa nimejibu swali lako
Umejibu sahihi kabisa
 
Biblia huaga unasoma mwenyewe au unasomewa? Sina Biblia hapa, lakini kama kweli hiyo sura ulioinukuu kama ulisoma mwenyewe then siamini kama ingekupa shida kuelewa. Kama ulisoma utagundua kwamba the idea ya kuumba alicho kiumba, aliitamka hata kabla hajafanya hivo. Kabla ya kumuumba Hawa, ipo sehemu imeandikwa, "mtu mke na mtu mume aliwaumba...." cause alitaka kazi ya uumbaji isifanywe na yeye tena, alifanya delegation kwa viumbe wake including binadamu. Soma with positive mind, ukisoma kwa kutaka kukosoa utakutana na vingi tu.
Let me add this as well, coming from my own testimony. Mwaka 1994 kupitia tape za radio cassettes za wakati huo, nilimsikia sheikh mazinge na "askofu" mwaipopo wakisema hivi, "1Wakorinto 15:15 kwamba naamu na sisi tumekua mashahidi wa uongo kwa kumshuhudia Mungu kwamba alimfufua yesu ambaye HAKUFA" Nilistuka sana, kwamba kumbe Yesu hakufa? Na wamesoma kwenye Biblia? Kumbe pasaka sio sherehe ya ukweli? Mimi sikua najua chochote kuhusu Biblia but miezi kadhaa baadae nikakutana na wasoma Biblia, nilitaka kujiridhisha kama hilo andiko lipo na linasema hivo cause niliukariri ule mstari...., baada kusoma kutoka juu hadi baada ya huo mstari wa 15 nilishangaa sana, kwamba inakuaje kiongozi wa dini anakua muongo namna hi? Nilichukia hadi na dini yake. Nakushauri na wewe, usije kua kama kina Mazinge, wanahubiri kwa kutumia uongo ili kumpendeza mungu wao, mungu anaependezwa na uongo nadhani sio mungu wa kweli, huyo atakua shetani
Atakuwa ibilisi
 
Enzi hizo Mungu alikuwa akiwapa watu watoto kwa usawa. Yaani wanawake na wanaume walikuwa sawa na walikuwa wakizaliwa wakipishana au mapacha (Me na Ke). Pili wanawake hawakuwa ktk hesabu ya watu walioripotiwa ktk Biblia mpaka kuwe na sababu maalum. Hivyo Kain kaoa mdogo wake wa kike. Kipindi hicho haijuwa dhambi kuoa dada.
 
Habari zenu,

Naombeni majibu ya haya maswali kwenye maneno ya Biblia:

"Ukisoma mwanzo unaambiwa Adam na Hawa walimzaa Kaini na Habili, baadaye Kaini alimuua nduguye Habili. Baada ya hiyo hali Mungu akamfukuza Kaini (Kaini akatoka mbele za uso wa Bwana akakaa katika nchi ya Nodi mbele ya Edeni). Kaini akamjua mkewe naye akapata mimba akamzaa Henoko."

Swali liko hapo; Huyo mke wa Kaini alitoka wapi wakati Mungu alikuwa ameumba watu wawili tu na walizaa watoto wawili na kati ya hao mmoja alikuwa amefariki? Huyo mke alitoka wapi, embu tupeni majibu?
Atayesumbuka kukujibu swali la kijinga atakuwa anashiriki ujinga naye atakuwa mjinga kama lilivyo swali la kijinga.

Soma Boblia halisi sio ya vijiwe vya gahawa na kashata halafu uje kuhariri swali lako ujibiwe kwa usahihi.
 
Atakuwa ibilisi
Hapo ndipo tatizo linapoanzia. Anaeuliza ili kujifunza anaonekana ni ibilisi. Kwamba nyie "mnaojifanya" kujua kila kitu ni watakatifu sana kuliko hata Yesu aliyeruhusu watu kumuuliza maswali eti kwa sababu tu unajiita mtumishi wa bwana. Shame on you.
 
Back
Top Bottom