Kwanini hamtaki kujibu haya maswali kwenye Biblia?

Ni
Habari zenu,

Naombeni majibu ya haya maswali kwenye maneno ya Biblia:

"Ukisoma mwanzo unaambiwa Adam na Hawa walimzaa Kaini na Habili, baadaye Kaini alimuua nduguye Habili. Baada ya hiyo hali Mungu akamfukuza Kaini (Kaini akatoka mbele za uso wa Bwana akakaa katika nchi ya Nodi mbele ya Edeni). Kaini akamjua mkewe naye akapata mimba akamzaa Henoko."

Swali liko hapo; Huyo mke wa Kaini alitoka wapi wakati Mungu alikuwa ameumba watu wawili tu na walizaa watoto wawili na kati ya hao mmoja alikuwa amefariki? Huyo mke alitoka wapi, embu tupeni majibu?
Iv ndugu Adam na Hawa walizaa watoto mapacha kila kwenye uzao Yan Kaini alizaliwa na pacha wake WA kike na Abeli pia alizaliwa na pacha wake WA kike so wakafanya kubadilishana Kaini akaowa dada WA Abeli na Abeli nae kafanya ivyo!! Amin hii story
 
Habari zenu,

Naombeni majibu ya haya maswali kwenye maneno ya Biblia:

"Ukisoma mwanzo unaambiwa Adam na Hawa walimzaa Kaini na Habili, baadaye Kaini alimuua nduguye Habili. Baada ya hiyo hali Mungu akamfukuza Kaini (Kaini akatoka mbele za uso wa Bwana akakaa katika nchi ya Nodi mbele ya Edeni). Kaini akamjua mkewe naye akapata mimba akamzaa Henoko."

Swali liko hapo; Huyo mke wa Kaini alitoka wapi wakati Mungu alikuwa ameumba watu wawili tu na walizaa watoto wawili na kati ya hao mmoja alikuwa amefariki? Huyo mke alitoka wapi, embu tupeni majibu?
Siyo kila kitu kinasimuliwa kwenye biblia, hivo hadi Kaini na Abel wanakuwa wakubwa lazima walikuwa na wadogo zao au dada zao pia wakubwa kutosha kuolewa
kwa hiyo watakuwa walioana ndugu kwa ndugu. ilikuwa haijakatazwa
 
Habari zenu,

Naombeni majibu ya haya maswali kwenye maneno ya Biblia:

"Ukisoma mwanzo unaambiwa Adam na Hawa walimzaa Kaini na Habili, baadaye Kaini alimuua nduguye Habili. Baada ya hiyo hali Mungu akamfukuza Kaini (Kaini akatoka mbele za uso wa Bwana akakaa katika nchi ya Nodi mbele ya Edeni). Kaini akamjua mkewe naye akapata mimba akamzaa Henoko."

Swali liko hapo; Huyo mke wa Kaini alitoka wapi wakati Mungu alikuwa ameumba watu wawili tu na walizaa watoto wawili na kati ya hao mmoja alikuwa amefariki? Huyo mke alitoka wapi, embu tupeni majibu?
Yule Pastor mpinzani wa chanjo ya covid 19 anayeisemea Kawe ajitokeze kujibu hili
 
Kwa wale waliosomea theology wanajua na wala hawapati shida kulijibu hilo uliloliuliza. Unaposoma biblia, hasa Agano la Kale, unatakiwa ufahamu yafuatayo:
1) Agano la kale kwa sehemu kubwa, taarifa zake zilihifadhiwa vichwani mwa watu, na zilisimliwa kizazi kimoja hadi kingine mpaka wakati wa elimu ya kuandika.

2) Kila andiko lilizingatia zaidi kilicholengwa na mwandishi kuliko kuandika kila kilichotokea.

3) Biblia iliandikwa kwa kuzingatia mazingira ya wayahudi, ndiyo maana ili uweze kuelewa vizuri inakulazimu kuyafahamu mazingira yao, lugha yao na desturi zao kwa nyakati hizo.

4) Biblia haikuandikwa kama kitabu kimoja bali nyaraka zinazojitegemea, na ziliwekwa pamoja kutengeneza kitabu miaka 300 baada ya Kristo.

5) Yesu alipoondoka Duniani, hakuacha kitabu bali aliwaacha mitume, ambao aliwapa maelekezo ya nini cha kufanya ili mwanadamu waufikie ufalme wa Mungu.

Kwenda kwenye swali lako, ukweli ni kwamba kwa desturi za wayahudi wakati huo, katika maamuzi yote, na katika kumbukumbu zote, mkuu wa familia, ndiye pekee alikuwa na maamuzi ya mwisho, na ndiye pekee aliwekwa kwenye kumbukumbu. Hivyo kwa kila familia kwenye biblia akitajwa mwanaume, haimaanishi alikuwa pekee yake. Wanawake, watoto na watumwa waliwakilishwa na baba. Hata nyakati baada ya Kristo, wanaume walipohubiriwa, wakalipokea neno la Mungu, basi hiyo ilitosha kuifanya familia yote kubatizwa, kwa vile tu baba alikuwa amekubali; kwenye biblia mara nyingi utasikia, ..... then him and his households were baptized. Desturi hii kwa kiasi fulani bado inafuatwa na waislam, ndiyo maana kwa upande wao, suala la kufuata mafundisho ya dini, kwa upande wa watoto na mke, hata kama watoto wamefikisha umri wa miaka 18, maadam wapo kwenye himaya yake, siyo suala la hiari, ni lazima. Na baba ana wajibu wa kulisimamia hilo. Nadhani mnakumbuka kisa cha binti wa kiarabu ambaye alikuwa akiishi na wazazi wake kule Ulaya, akamwambia baba yake kuwa yeye ameamua kubadili dini na kuwa mkristo, baba yake hakujibu, badala yake akachukua kisu akamwua binti yake. Mamlaka za serikali zikamkamata na kumshtaki kwa kosa la kuua. Baadhi ya watu kwenye nchi za kiislam wakaandamana kupinga hatua za Serikali wakidai kuwa yule baba alitimiza maagizo ya kiimani, na kumshtaki ni kuingia uhuru wa dini. Haya yapo kwa wale waislam wanaotajwa kuwa na misimamo mikali ya kidini.

Suala la kuumbwa Adam, na kuelezwa kuwa ndiye alikuwa binadamu wa kwanza, lina contradictions nyingi. Sayansi na kumbukumbu za historia zinaonesha kuwa asili ya wanadamu wote ni bara la Africa. Lakini bustani ya Eden kunakotajwa kuwa aliishi Adam na Eva, ipo Iraq. Lakini Kaini baada ya kumwua ndugu yake, na kufukuzwa na Mungu, alisema kuwa huko aendako anahofia watu watamwua. Hii inamaanisha kulikuwepo watu wengine, na bila shaka walikuwa wengi. Yawezekana kuna maneno yamepungua kwenye simulizi ya uumbwaji wa Adam, na yawezekana yalipungua kutokana na kipindi kirefu kupita katika hadi kipindi cha kuweka kumbukumbu za tukio zima katika maandishi.
 
Stori ya Adam na Hawa(Eva) hii ni stori yakubuniwa yenye lengo la kuwabadiri watu wa mwanzo waliokuwa wanaabudu nyoka hivyo ikabidi itenhenezwe stori itakayomwonesha nyoka jinsi alivyo Mbaya
 
Kuna agano la kale na agano jipya sahivi tunajiandaa kutoa Agano la sasa kwenye kitabu cha Agano la Sasa tutaangalia namna ya kusawazisha hilo kosa
 
Habari zenu,

Naombeni majibu ya haya maswali kwenye maneno ya Biblia:

"Ukisoma mwanzo unaambiwa Adam na Hawa walimzaa Kaini na Habili, baadaye Kaini alimuua nduguye Habili. Baada ya hiyo hali Mungu akamfukuza Kaini (Kaini akatoka mbele za uso wa Bwana akakaa katika nchi ya Nodi mbele ya Edeni). Kaini akamjua mkewe naye akapata mimba akamzaa Henoko."

Swali liko hapo; Huyo mke wa Kaini alitoka wapi wakati Mungu alikuwa ameumba watu wawili tu na walizaa watoto wawili na kati ya hao mmoja alikuwa amefariki? Huyo mke alitoka wapi, embu tupeni majibu?
Zamani wanaqake walikua hawahesabiwi wala kutambulika sana,yawezekana walikua ni watoto wa Habili na hivyo.
 
Stori ya Adam na Hawa ni uwongo mweupeee...
Kama story za Adam na Hawa ni uongo Kwa hiyo huo uongo ndio unatuambia kuwa sisi binadamu wote chanzo chetu ni Adam na Hawa

Sasa tuambia wewe mwenye story za ukweli kuhusu binadamu
Binadamu wa kwanza ni nani?
Wewe katika kizazi chako binadamu wa kwanza ni nani?
 
Wewee..
 
Habari zenu,

Naombeni majibu ya haya maswali kwenye maneno ya Biblia:

"Ukisoma mwanzo unaambiwa Adam na Hawa walimzaa Kaini na Habili, baadaye Kaini alimuua nduguye Habili. Baada ya hiyo hali Mungu akamfukuza Kaini (Kaini akatoka mbele za uso wa Bwana akakaa katika nchi ya Nodi mbele ya Edeni). Kaini akamjua mkewe naye akapata mimba akamzaa Henoko."

Swali liko hapo; Huyo mke wa Kaini alitoka wapi wakati Mungu alikuwa ameumba watu wawili tu na walizaa watoto wawili na kati ya hao mmoja alikuwa amefariki? Huyo mke alitoka wapi, embu tupeni majibu?
Habari,ukisoma sura ya 4 -5 ya kitabu cha mwanzo,utagundua kulikuwa na watu wengine kutokana na mjadala kati ya kaini na Mungu,kuhuaiana na adhabu ya kaini. Ukipata kijitabu kinaitwa panorama ya Biblia itakupa mwangaza wa wingi wa miaka katika kipindi huaika. Naaamini nikupa pakuanzia.asamte
 
Kwa wale waliosomea theology wanajua na wala hawapati shida kulijibu hilo uliloliuliza. Unaposoma biblia, hasa Agano la Kale, unatakiwa ufahamu yafuatayo:
1) Agano la kale kwa sehemu kubwa, taarifa zake zilihifadhiwa vichwani mwa watu, na zilisimliwa kizazi kimoja hadi kingine mpaka wakati wa elimu ya kuandika.

2) Kila andiko lilizingatia zaidi kilicholengwa na mwandishi kuliko kuandika kila kilichotokea.

3) Biblia iliandikwa kwa kuzingatia mazingira ya wayahudi, ndiyo maana ili uweze kuelewa vizuri inakulazimu kuyafahamu mazingira yao, lugha yao na desturi zao kwa nyakati hizo.

4) Biblia haikuandikwa kama kitabu kimoja bali nyaraka zinazojitegemea, na ziliwekwa pamoja kutengeneza kitabu miaka 300 baada ya Kristo.

5) Yesu alipoondoka Duniani, hakuacha kitabu bali aliwaacha mitume, ambao aliwapa maelekezo ya nini cha kufanya ili mwanadamu waufikie ufalme wa Mungu.

Kwenda kwenye swali lako, ukweli ni kwamba kwa desturi za wayahudi wakati huo, katika maamuzi yote, na katika kumbukumbu zote, mkuu wa familia, ndiye pekee alikuwa na maamuzi ya mwisho, na ndiye pekee aliwekwa kwenye kumbukumbu. Hivyo kwa kila familia kwenye biblia akitajwa mwanaume, haimaanishi alikuwa pekee yake. Wanawake, watoto na watumwa waliwakilishwa na baba. Hata nyakati baada ya Kristo, wanaume walipohubiriwa, wakalipokea neno la Mungu, basi hiyo ilitosha kuifanya familia yote kubatizwa, kwa vile tu baba alikuwa amekubali; kwenye biblia mara nyingi utasikia, ..... then him and his households were baptized. Desturi hii kwa kiasi fulani bado inafuatwa na waislam, ndiyo maana kwa upande wao, suala la kufuata mafundisho ya dini, kwa upande wa watoto na mke, hata kama watoto wamefikisha umri wa miaka 18, maadam wapo kwenye himaya yake, siyo suala la hiari, ni lazima. Na baba ana wajibu wa kulisimamia hilo. Nadhani mnakumbuka kisa cha binti wa kiarabu ambaye alikuwa akiishi na wazazi wake kule Ulaya, akamwambia baba yake kuwa yeye ameamua kubadili dini na kuwa mkristo, baba yake hakujibu, badala yake akachukua kisu akamwua binti yake. Mamlaka za serikali zikamkamata na kumshtaki kwa kosa la kuua. Baadhi ya watu kwenye nchi za kiislam wakaandamana kupinga hatua za Serikali wakidai kuwa yule baba alitimiza maagizo ya kiimani, na kumshtaki ni kuingia uhuru wa dini. Haya yapo kwa wale waislam wanaotajwa kuwa na misimamo mikali ya kidini.

Suala la kuumbwa Adam, na kuelezwa kuwa ndiye alikuwa binadamu wa kwanza, lina contradictions nyingi. Sayansi na kumbukumbu za historia zinaonesha kuwa asili ya wanadamu wote ni bara la Africa. Lakini bustani ya Eden kunakotajwa kuwa aliishi Adam na Eva, ipo Iraq. Lakini Kaini baada ya kumwua ndugu yake, na kufukuzwa na Mungu, alisema kuwa huko aendako anahofia watu watamwua. Hii inamaanisha kulikuwepo watu wengine, na bila shaka walikuwa wengi. Yawezekana kuna maneno yamepungua kwenye simulizi ya uumbwaji wa Adam, na yawezekana yalipungua kutokana na kipindi kirefu kupita katika hadi kipindi cha kuweka kumbukumbu za tukio zima katika maandishi.
Nilijiunga jf kutokana na watu vichwa kama ninyi.

Hakika umeelezea vizuri sana mkuu, naona umejibu swali la msingi la mtoa mada na ukarnda mbali na kutoa ufafanuzi wa baadhi ya mambo ambayo pia imefanya uelewa wa mtoa mada kuongezeka zaid pai umepa kitu kingine cha kuuliza.

Welldone mkuu
 
zaman mwanamke hakutambulika sana na majukumu ya mwanamke yalikua tofauti kbsa na sasa ndo maana ata katika biblia ni wanawake wachache sana walizungumziwa na umuhimu
Wao na ukienda ktk kitabu kitakatifu cha waislam quran mwanamke pekee alotajwa ktk kitanu icho ni mariam mama wa yesu akuna mwanamke yyte yule mwingne katajwa ktk quran je unazan kipind cha mtume kulikua hakuna wanawake?
 
Maandiko yote ya kidini
"Biblia na Quran" ni maandiko ya kutungwa na kusadikika sawa na Hekaya za Abunuwasi.

Ndio maana yamejaa Contradictions na logical fallacies nyingi sana.
Shida yenu inaanzia hapo. Mungu yupo jueni hilo
 
Ulijuaje huyo Mungu yupo?

Unathibitishaje huyo Mungu yupo?
ÚUpo tayar kujua? Wu nawewe ulishalishwa matango pori yanakusumbua kichwa.
Kama Mungu hayupo
1. Nini asili ya uhai ?
2. Kiu ya kuabudu katika vizazi vyote inatokea wapi?
 
Uhai hauna asili.

Kama kila kitu lazima kiwe na asili, Hata hiyo Asili yenyewe lazima iwe na asili nyingine.

Hivyo hivyo to infinity.

Pasiwepo kitu chochote kile kilicho exist chenyewe pasipo Asili.
2. Kiu ya kuabudu katika vizazi vyote inatokea wapi?
Kukaririshana uongo vizazi kwa vizazi.

Babu yako alikaririshwa kuabudu, baba yako kakuta babu yako ana abudu na yeye hivyo hivyo aka kukaririsha wewe kuabudu.

Na wewe una endeleza chain hiyohiyo ya kukaririsha kuabudu watoto wako, na watoto wako kwa wajukuu zako hivyo hivyo ndivyo hii dhana ya kuabudu ilivyo sambaa.
 
Cha Kwanza watu waelewe Bible ni dira,ramani. Unaposoma LAZIMA ukubari kusafir kiroho ama ubaki kimwil.

Adamu ni mwanadamu wa Kwanza ambaye Mungu alifanya nae Agano.

Mwanzo 1:26 Mungu akasema, Na tumfanye mtu kwa mfano wetu, kwa sura yetu; wakatawale samaki wa baharini, na ndege wa angani, na wanyama, na nchi yote pia, na kila chenye kutambaa kitambaacho juu ya nchi.

TUMFANYE MTU Kwa Mungu kwenyewe wanasema TUMFANYE na sio nimfanye manake napo Kuna serikal imejaa huko ikaona hivo.

BADAE IKAANDIKWA WAKATAWALE(WINGI) HIVYO ANAFANYWA MMOJA KWANZA BAADAE MMOJA ANAWATENGENEZA WENGINE.THEN WANAWEZA KUWATAWALA WATU NA KUWAFUNDISHA NJIA ZA MUNGU(SAMAKI)

HAWA (NI WINGI) HAWA WANAFUNZI,HAWA WALIMU,HAWA WALIOAMINI KATIKA ADAMU.HIVYO IPO KIMWIL NI NDIO LAKIN IPO KI ROHO.

UKIENDELEA KUSIMA UNAONA KAINI ALIPIGWA CHAPA ILI MTU ASIMGUSE AKAENDA NCHI YA NODI AKAOA. NA KAINI NI MTOTO WA NJE YA UTARATIBU NDO HAO WANAJIITA WA ROMA MPAKA LEO MTU YUPO TZ ANASEMA ETI YY NI MROMA HAINA UHAI HATA WW UKISOMA LAKIN ALIPIGWA CHAPA KWENYE PAJI HATA LEO WANAPIGANA CHAPA YA MAJIVU.

NIMEJARIBU KIDOGO KUTOA TONGOTONGO.

TUJITAHIDI SANA KUOMBA MUNGU WW BINAFSI NA KUSOMA BIBILIA VITU VINGI VIPO WAZI. WAKRISTO WENGI HAWANA DIRA(BIBLE) HATA WALIONAZO HAWASOMI NI VIFUNGO HIVO
 
Habari zenu,

Naombeni majibu ya haya maswali kwenye maneno ya Biblia:

"Ukisoma mwanzo unaambiwa Adam na Hawa walimzaa Kaini na Habili, baadaye Kaini alimuua nduguye Habili. Baada ya hiyo hali Mungu akamfukuza Kaini (Kaini akatoka mbele za uso wa Bwana akakaa katika nchi ya Nodi mbele ya Edeni). Kaini akamjua mkewe naye akapata mimba akamzaa Henoko."

Swali liko hapo; Huyo mke wa Kaini alitoka wapi wakati Mungu alikuwa ameumba watu wawili tu na walizaa watoto wawili na kati ya hao mmoja alikuwa amefariki? Huyo mke alitoka wapi, embu tupeni majibu?
Kwa hiyo kwa kuwa biblia hai mention watoto wengine wa Adam hivyo unaamìni kuwa alikuwa na watoto wawili tu? Surely alikuwa na watoto wengi tu na walioana wao kwa wao.
 
Back
Top Bottom