Kwanini hamuutaki huu utawala wa Rais Samia? Nawauliza na mseme ukweli

Kwanini hamuutaki huu utawala wa Rais Samia? Nawauliza na mseme ukweli

Ameua maelfu ya ndugu zetu kuwa hapo, wengi wametekwa hawaonekani walipo hadi sasa, ufisadi wa rasilimali zetu, ukandamizaji wa haki nyingi tu, nadhani unaelewa ila unataka kujitoa ufahamu tu
ongeza na hii,, tunahitaji tume huru ya uchaguzi,, tunahitaji viongozi tulio wapigia kura ili hata wakitugeuka mbeleni tusiwe na mtu wa kumlaumu maan tuliwachagua sisi na sio hivyo walivyo jipachika kama sisimizi kwenye mchuzi
 
Watanzania nini kimewakumba? Kwa nini mnaukataa huu utawala?

Kila kona mnaponda hata kama ameshaapishwa lakini mnaponda tu na mnaona kama vile sio rais wenu.

Tatizo nini?
Mwanae anateka na kuua watu.
Utasema leta ushahidi....Mama yake ameshindwa kulinda raia alioapa kuwalinda ila anaweza kuwapa polisi bunduki wawaue waandamanaji.
 
Watanzania nini kimewakumba? Kwa nini mnaukataa huu utawala?

Kila kona mnaponda hata kama ameshaapishwa lakini mnaponda tu na mnaona kama vile sio rais wenu.

Tatizo nini?

Ufisadi, uuaji, utekaji, utesaji, ufiraji, ubakaji, kuiba chaguzi, kutupa washindani magereza, kuweka familia yake, ndugu na rafiki kutawala bila vigezo.

Kutumia dini, jinsia, ukanda, ukabila kuwagawanya Watanzania.
 
Back
Top Bottom