Watanzania nini kimewakumba? Kwa nini mnaukataa huu utawala?
Kila kona mnaponda hata kama ameshaapishwa lakini mnaponda tu na mnaona kama vile sio rais wenu.
Tatizo nini?
Samia siyo rais halali awe ameapishwa au la, kama internationally kuna maeneo hawamtambui, hawakubaliani na jinsi alivyojipachika madaraka.
-Turudi kwenye swali lako la msingi.
Kwanini utawala wake unakataliwa?
Mauaji na utekaji katika udikteka wa huyu mwanamke haijawahi kutokea tangu ule mkutano wa Berlin uliogawanya mipaka ya nchi za Afrika.
Ufisadi ndiyo mepitiliza, uuzwaji wa kihila wa bandari za Tanganyika huku za Zanzibar zikibaki salama.
Dhulma kama waliyofanyiwa Wamasai kuhamishwa kwa nguvu huku maeneo wakipewa raia wa kigeni.
Nepotism ya kiwango cha lami, kajaza ukoo kwenye baraza la mawaziri.
Sasa hivi serikalini kuanzia kwenye vyombo vya ulinzi na usalama 40% ya nafasi wameachiwa Wazanzibari ambao roughly ni wilaya moja ya Tanganyika bora muungano uvunjike wakatafute ajira kwao huko.
List haiwezi kuisha, kwa kifupi hatumtaki plus hii tabia yake(Samuya) ya kupiga Konyagi daily na kung’ang’ania ving’asti anainajisi ikulu.