mangichogo
JF-Expert Member
- Oct 30, 2023
- 1,229
- 2,414
Hatuutaki kwasababu ni wezi na wauwaji. Ikulu kuna matumizi gani mpaka watumie billion 33 kwa mwaka sawa na Tsh million 91 kwa siku?Watanzania nini kimewakumba? Kwa nini mnaukataa huu utawala?
Kila kona mnaponda hata kama ameshaapishwa lakini mnaponda tu na mnaona kama vile sio rais wenu.
Tatizo nini?