Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 2,268
- 7,119
hizi picha😭😭😭 vijana bado wadogo wamekatishwa ndoto zao dah aende tu
Duh!hizi picha😭😭😭 vijana bado wadogo wamekatishwa ndoto zao dah aende tu
ongeza na hii,, tunahitaji tume huru ya uchaguzi,, tunahitaji viongozi tulio wapigia kura ili hata wakitugeuka mbeleni tusiwe na mtu wa kumlaumu maan tuliwachagua sisi na sio hivyo walivyo jipachika kama sisimizi kwenye mchuziAmeua maelfu ya ndugu zetu kuwa hapo, wengi wametekwa hawaonekani walipo hadi sasa, ufisadi wa rasilimali zetu, ukandamizaji wa haki nyingi tu, nadhani unaelewa ila unataka kujitoa ufahamu tu
Mwanae anateka na kuua watu.Watanzania nini kimewakumba? Kwa nini mnaukataa huu utawala?
Kila kona mnaponda hata kama ameshaapishwa lakini mnaponda tu na mnaona kama vile sio rais wenu.
Tatizo nini?
Ufisadi wa kutishaWatanzania nini kimewakumba? Kwa nini mnaukataa huu utawala?
Kila kona mnaponda hata kama ameshaapishwa lakini mnaponda tu na mnaona kama vile sio rais wenu.
Tatizo nini?
ila zinatisha mno duh,, umewezaje kukaa nazo kwenye gallery yakoDuh!
Naona JF wamepigwa biti na Samia.
Wamezifuta picha.
Tumepoteza ndugu wa kutosha na wasiojulikanaWatanzania nini kimewakumba? Kwa nini mnaukataa huu utawala?
Kila kona mnaponda hata kama ameshaapishwa lakini mnaponda tu na mnaona kama vile sio rais wenu.
Tatizo nini?
Sahihi sana 💯🤝ongeza na hii,, tunahitaji tume huru ya uchaguzi,, tunahitaji viongozi tulio wapigia kura ili hata wakitugeuka mbeleni tusiwe na mtu wa kumlaumu maan tuliwachagua sisi na sio hivyo walivyo jipachika kama sisimizi kwenye mchuzi
Sio kwamba hatuutaki utawala wa Samia. Watanzania tumechoka utawala wa kifisadi wa ccm na mifumo yake yote . Period.Watanzania nini kimewakumba? Kwa nini mnaukataa huu utawala?
Kila kona mnaponda hata kama ameshaapishwa lakini na mnaponda tu na mnaona kama vile sio rais wenu.
Tatizo nini?
Watanzania nini kimewakumba? Kwa nini mnaukataa huu utawala?
Kila kona mnaponda hata kama ameshaapishwa lakini mnaponda tu na mnaona kama vile sio rais wenu.
Tatizo nini?