Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 18,653
- 31,010
Hakuna kiongozi anasifiwa na wananchi wake au popote duniani kwa kupata madaraka ya kughushi na kuua wananchi waku.Watanzania nini kimewakumba? Kwa nini mnaukataa huu utawala?
Kila kona mnaponda hata kama ameshaapishwa lakini mnaponda tu na mnaona kama vile sio rais wenu.
Tatizo nini?
Samia siyo rais halali awe ameapishwa au la, kama internationally kuna maeneo hawamtambui, hawakubaliani na jinsi alivyojipachika madaraka.Watanzania nini kimewakumba? Kwa nini mnaukataa huu utawala?
Kila kona mnaponda hata kama ameshaapishwa lakini mnaponda tu na mnaona kama vile sio rais wenu.
Tatizo nini?
Imebidi nifanye maamuzi magumu kwa ajili ya kutunza ushahidi mpaka pale haki itapotendeka.ila zinatisha mno duh,, umewezaje kukaa nazo kwenye gallery yako
'Raisi ateua tume ya uchaguzi halafu Raisi huyo anagombea uraisi tume ya uchaguzi iliyoteuliwa na Raisi yamtangaza Raisi kuwa mshindi wa uraisi.......'Watanzania nini kimewakumba? Kwa nini mnaukataa huu utawala?
Kila kona mnaponda hata kama ameshaapishwa lakini mnaponda tu na mnaona kama vile sio rais wenu.
Tatizo nini
Haisaidii, tumeshazipakua zote na kuzihifadhi sehemu salama.Duh!
Naona JF wamepigwa biti na Samia.
Wamezifuta picha.
Utekaji, mauaji, ufisadi, wizi wa kura, uonevu kwa wananchi, ukosefu wa haki, nkKwa nini mnaukataa huu utawala?
Swali gani hili?Wewe ni Mtanzania au raia wa nchi gani? Jibu kisha tuendelee
Aliwatuma mkaandamane? Mlipochukua hela za watu mlidhani mzungu anatoa toa Tu hela? Alijua mtacheza na risasi ndo maana alitoa dau nono 2m dollar (5B tshs) aisee watu mna siriAmeua maelfu ya ndugu zetu kuwa hapo, wengi wametekwa hawaonekani walipo hadi sasa, ufisadi wa rasilimali zetu, ukandamizaji wa haki nyingi tu, nadhani unaelewa ila unataka kujitoa ufahamu tu
Mwambegele alituambia huyo Rais haramu alichaguliwa na Watanzania takribani 32 million (98% ya watu waliopiga kura). Sasa wanaompinga kila kona wametoka wapi?Watanzania nini kimewakumba? Kwa nini mnaukataa huu utawala?
Kila kona mnaponda hata kama ameshaapishwa lakini mnaponda tu na mnaona kama vile sio rais wenu.
Tatizo nini?
Watu milioni 31 wanaodaiwa na CCM walimchagua wote ni Waislamu??Tatizo ni uislam wake
Hana uwezo wa kuongozaWatanzania nini kimewakumba? Kwa nini mnaukataa huu utawala?
Kila kona mnaponda hata kama ameshaapishwa lakini mnaponda tu na mnaona kama vile sio rais wenu.
Tatizo nini?
Sio rais wa TanganyikaWatanzania nini kimewakumba? Kwa nini mnaukataa huu utawala?
Kila kona mnaponda hata kama ameshaapishwa lakini mnaponda tu na mnaona kama vile sio rais wenu.
Tatizo nini?