mangichogo
JF-Expert Member
- Oct 30, 2023
- 1,229
- 2,414
Hatuutaki kwasababu ni wezi na wauwaji. Ikulu kuna matumizi gani mpaka watumie billion 33 kwa mwaka sawa na Tsh million 91 kwa siku?Watanzania nini kimewakumba? Kwa nini mnaukataa huu utawala?
Kila kona mnaponda hata kama ameshaapishwa lakini mnaponda tu na mnaona kama vile sio rais wenu.
Tatizo nini?
Wewe unasemaje?
Ambao hawamtaki ni wachache hasa machadema na sababu kubwa ni uislam wake!Watu milioni 31 wanaodaiwa na CCM walimchagua wote ni Waislamu??
Kachaguliwa na wananchi?Watanzania nini kimewakumba? Kwa nini mnaukataa huu utawala?
Kila kona mnaponda hata kama ameshaapishwa lakini mnaponda tu na mnaona kama vile sio rais wenu.
Tatizo nini?
Na hawa JF watakuwa majinga, au kuna moderators mamluki wa ccm miongoni mwao.Duh!
Naona JF wamepigwa biti na Samia.
Wamezifuta picha.
tumuulize Maxence Melo kwanini mna delete picha kwenye post za watu?Duh!
Naona JF wamepigwa biti na Samia.
Wamezifuta picha.
Ni kama vile wanawalinda CCM.Na hawa JF watakuwa majinga, au kuna moderators mamluki wa ccm miongoni mwao.
WAmefungiwa na ccm, tunawaonea huruma, halafu wana anza kusaliti umma.
Na wao tutawaweka kundi la kina mwijaku, wachafu media, kina kikeke, manara na kina ayo.
Kwanini wazifute?
kama kuua Hawajaua wao, au nao wameanza kuimba nyimbo za ma ccm kwamba kuonyesha picha ni kubagaza utu wa marehemu?
Exactly!!tumuulize Maxence Melo kwanini mna delete picha kwenye post za watu?
Au miongoni mwenu kuna mamluki wa ccm?
Waki side na ccm nitawacha jumla.Ni kama vile wanawalinda CCM.
Hizo picha zinafaa kuonyeshwa kila iwezekanapo ili tuweze kukumbushana ushenzi wa CCM.
Maxence Melo
1. Kwanza kapora mchakato wa uchaguziWatanzania nini kimewakumba? Kwa nini mnaukataa huu utawala?
Kila kona mnaponda hata kama ameshaapishwa lakini mnaponda tu na mnaona kama vile sio rais wenu.
Tatizo nini?
Wewe kwa akili yako ya kisoda unaona kabisa pale kuna Rais? Hebu kuwa serious basi!Watanzania nini kimewakumba? Kwa nini mnaukataa huu utawala?
Kila kona mnaponda hata kama ameshaapishwa lakini mnaponda tu na mnaona kama vile sio rais wenu.
Tatizo nini?
Watanzania nini kimewakumba? Kwa nini mnaukataa huu utawala?
Kila kona mnaponda hata kama ameshaapishwa lakini mnaponda tu na mnaona kama vile sio rais wenu.
Tatizo nini?
1. Umepatikana kiharamuWatanzania nini kimewakumba? Kwa nini mnaukataa huu utawala?
Kila kona mnaponda hata kama ameshaapishwa lakini mnaponda tu na mnaona kama vile sio rais wenu.
Tatizo nini?