Kwanini harrier anaconda used hapa bongo zinauzwa sana

Miss_Mariaah

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2022
Posts
2,326
Reaction score
5,374
Habari za weekend Team,
Nimegundua harrier anaconda zinauzwa sana yani ile mtu ananunua anakaa nayo miaka miwili mitatu anaiuza kwani zina changamoto gani pia hata mitandaon kwenye zile page wanazouza magari lazima utazikuta anaconda zinauzwa ambazo zimetumika hapa bongo miaka miwili,tatu mtu anapiga bei .kwani zina changamoto gani inayopelekea watu kukaa nazo kidogo na kuziuza
 
Mshaanza na harrier sasa.

Mlianza na Nissan dualis kwamba zinawaka moto......
Lkn watu bado wanadunda nazo.

Ubovu wa gari unasababishwa na matunzo mabovu.

Kwahiyo wewe nunua tu.
 
Betri yake ni Bei ya IST namba E
 
XU-60 labda sababu kubwa iwe mafuta, ila 2.0L ya kawaida au turbo ziko poa, na gearbox yake ya kawaida au CVT pia reliable.

Haina consumption nzuri sana, avg 10-12 km/L sio nzuri kwa maisha ya sasa.

Atleast hybrid ya 2.5L iko nzuri kwenye mafuta.
IMG_8719.jpeg

Nipo nayo hapa foleni tunateseka wote.
 
View attachment 3593416
Nipo nayo hapa foleni tunateseka wote.
Unamchora tuu
 
Mshaanza na harrier sasa.

Mlianza na Nissan dualis kwamba zinawaka moto......
Lkn watu bado wanadunda nazo.

Ubovu wa gari unasababishwa na matunzo mabovu.

Kwahiyo wewe nunua tu.
Mimi sijasema mbovu nimekua curious tu kujua why huenda kuna negative au positive side inayopelekea ivo
 
XU-60 labda sababu kubwa iwe mafuta, ila 2.0L ya kawaida au turbo ziko poa, na gearbox yake ya kawaida au CVT pia reliable.

Haina consumption nzuri sana, avg 10-12 km/L sio nzuri kwa maisha ya sasa.

Atleast hybrid ya 2.5L iko nzuri kwenye mafuta.
View attachment 3593416
Nipo nayo hapa foleni tunateseka wote.
Mkuuu nakuomba inbox
 
Habari za weekend Team,
Nimegundua harrier anaconda zinauzwa sana yani ile mtu ananunua anakaa nayo miaka miwili mitatu anaiuza kwani zina changamoto gani pia hata mitandaon kwenye zile page wanazouza magari lazima utazikuta anaconda zinauzwa ambazo zimetumika hapa bongo miaka miwili,tatu mtu anapiga bei .kwani zina changamoto gani inayopelekea watu kukaa nazo kidogo na kuziuza
Kitu pekee ambacho naweza kujibu kwa hapa na kwa uzoefu wangu wa magari ni hiki.

1. Changamoto kubwa ni kwamba watu wananunua magari ila linapokuja swala la matunzo hatuko tayari kuyapatia huduma stahiki.
2. Gari nyingi na kusemwa vibaya hapa bongo ubovu unaanzia kwenye kuweka oili mbovu zisizo na ubora na sio za kiwango cha gari husika.

3. Kwenye oil hapa ndipo tunachemka mno mfano mdogo niliona siku moja garage gari aina ya rav 4 new model petrol injini inawekwa oil ya 10w 50 hapa unataka tu kuua gari na kuharibu ulaji wa mafuta wakati gari la namna hii linahitaji 5w 30 au kama km chache sana basi 5w 20 na sio oili za ajabu zinahitaji oili orijino tu
 
Back
Top Bottom