Kwanini harrier anaconda used hapa bongo zinauzwa sana

Habari za weekend Team,
Nimegundua harrier anaconda zinauzwa sana yani ile mtu ananunua anakaa nayo miaka miwili mitatu anaiuza kwani zina changamoto gani pia hata mitandaon kwenye zile page wanazouza magari lazima utazikuta anaconda zinauzwa ambazo zimetumika hapa bongo miaka miwili,tatu mtu anapiga bei .kwani zina changamoto gani inayopelekea watu kukaa nazo kidogo na kuziuza
Resale value ni kubwa Maana yake zina soko
 
Habari za weekend Team,
Nimegundua harrier anaconda zinauzwa sana yani ile mtu ananunua anakaa nayo miaka miwili mitatu anaiuza kwani zina changamoto gani pia hata mitandaon kwenye zile page wanazouza magari lazima utazikuta anaconda zinauzwa ambazo zimetumika hapa bongo miaka miwili,tatu mtu anapiga bei .kwani zina changamoto gani inayopelekea watu kukaa nazo kidogo na kuziuza
Ukitaka kununua gari bongo ,,ni carina, escudo,Pajero,,an mininga ya kizaman ndio utaona watu wanasifia kwamba ana miaka kumi anaweka wese tu,,lakini haya ya kisasa inabidi uzibe masikio uchukue tu kimaana mtu inamshinda huduma harafu ana generalize tu gari zote toleo Hilo
 
Back
Top Bottom