Miss_Mariaah
JF-Expert Member
- Nov 9, 2022
- 2,326
- 5,374
Mshaanza na harrier sasa.Habari za weekend Team,
Nimegundua harrier anaconda zinauzwa sana yani ile mtu ananunua anakaa nayo miaka miwili mitatu anaiuza kwani zina changamoto gani pia hata mitandaon kwenye zile page wanazouza magari lazima utazikuta anaconda zinauzwa ambazo zimetumika hapa bongo miaka miwili,tatu mtu anapiga bei .kwani zina changamoto gani inayopelekea watu kukaa nazo kidogo na kuziuza
Betri yake ni Bei ya IST namba EHabari za weekend Team,
Nimegundua harrier anaconda zinauzwa sana yani ile mtu ananunua anakaa nayo miaka miwili mitatu anaiuza kwani zina changamoto gani pia hata mitandaon kwenye zile page wanazouza magari lazima utazikuta anaconda zinauzwa ambazo zimetumika hapa bongo miaka miwili,tatu mtu anapiga bei .kwani zina changamoto gani inayopelekea watu kukaa nazo kidogo na kuziuza
Battery ya kusukuma gari au ya kuwasha gari?Betri yake ni Bei ya IST namba E
Wewe Tu mkuu Ila ndio hiyo Mzee wangu.Battery ya kusukuma gari au ya kuwasha gari?
Hujajibu swali. Battery ya Hybrid au ile ya kuwasha gari kama gari za kawaida?Wewe Tu mkuu Ila ndio hiyo Mzee wangu.
Ukinunua Gari Kwa mhemko kitakulamba tu
Unamchora tuuXU-60 labda sababu kubwa iwe mafuta, ila 2.0L ya kawaida au turbo ziko poa, na gearbox yake ya kawaida au CVT pia reliable.
Haina consumption nzuri sana, avg 10-12 km/L sio nzuri kwa maisha ya sasa.
Atleast hybrid ya 2.5L iko nzuri kwenye mafuta.
View attachment 3593416
Nipo nayo hapa foleni tunateseka wote.
Mimi sijasema mbovu nimekua curious tu kujua why huenda kuna negative au positive side inayopelekea ivoMshaanza na harrier sasa.
Mlianza na Nissan dualis kwamba zinawaka moto......
Lkn watu bado wanadunda nazo.
Ubovu wa gari unasababishwa na matunzo mabovu.
Kwahiyo wewe nunua tu.
Mkuuu nakuomba inboxXU-60 labda sababu kubwa iwe mafuta, ila 2.0L ya kawaida au turbo ziko poa, na gearbox yake ya kawaida au CVT pia reliable.
Haina consumption nzuri sana, avg 10-12 km/L sio nzuri kwa maisha ya sasa.
Atleast hybrid ya 2.5L iko nzuri kwenye mafuta.
View attachment 3593416
Nipo nayo hapa foleni tunateseka wote.
KuumbeBetri yake ni Bei ya IST namba E
Kama mtu anaogopa hybrid si aende 2.0L tena engine ya Rav 4 ile. Itadumu kuliko maisha yake.Hujajibu swali. Battery ya Hybrid au ile ya kuwasha gari kama gari za kawaida?
Kitu pekee ambacho naweza kujibu kwa hapa na kwa uzoefu wangu wa magari ni hiki.Habari za weekend Team,
Nimegundua harrier anaconda zinauzwa sana yani ile mtu ananunua anakaa nayo miaka miwili mitatu anaiuza kwani zina changamoto gani pia hata mitandaon kwenye zile page wanazouza magari lazima utazikuta anaconda zinauzwa ambazo zimetumika hapa bongo miaka miwili,tatu mtu anapiga bei .kwani zina changamoto gani inayopelekea watu kukaa nazo kidogo na kuziuza
HybridHujajibu swali. Battery ya Hybrid au ile ya kuwasha gari kama gari za kawaida?
Hahah jibu lake sijalielewaHujajibu swali. Battery ya Hybrid au ile ya kuwasha gari kama gari za kawaida?
🤣🤣🤣Battery ya kusukuma gari au ya kuwasha gari?