Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Mkuu,Usiende mbali kote huko ila jiulize ni Zana gani tumetengeneza ili kutupunguzia mda na kutumia nguvu za ziada
Kama bado tuko kwenye jembe la mkono kwa miaka Mia tano unategemea miujiza gani
Kama hatuna wataalam bali wakariri na tushahada basi hata akili za kuwaza nazo hatuna?
Wenzetu wanafunzi wa high school wanatengeza dawa
Majuzi nilikuwa nasajili kampuni ya utalii huko brela. Aisee acha tu!China waliweka sera rafiki ya Kodi makampuni makubwa yakaenda wekeza china through contract manufacturing baada ya mda wakawa na viwanda vingi automatic watu watajifunza kwenye viwanda jinsi ya kufanya uzalishaji lakin Tanzania ni ngumu sana mwekezaji kuja kuwekeza sababu sheria ya Kodi ni ngumu na kila uchwao inabadilika na urasimu uliopo brela
Hata wasomi wengi wa kitanzania motives yao ni kupata elimu ili wawatambie watu, ndo maana ni nadra sana kukuta mzungu anavimba kwa sababu ya PhD aliyonayo mda mwingine hata kwenye jinaa lake haweki sababu motives yao ya kusoma ni kuleta changes kwenye jamii iliyowazunguka
Asante kwa ufafanuzi huoMkuu,
Watanzania wengi wana uwezo mkubwa
Sio wanafunzi wazungu pekee wanaweza kutengeneza dawa, watanzania wanaweza kuliko wazungu
Juzi tu wanafunzi wa Sekondari Arusha wametengeneza gari na linatembea
Mwaka 1971 (kama sijakosea mwaka) Ifunda technical walitengeneza ndege na ikaweza kuruka
Mzee mmoja Morogoro ametengeneza gobore akakamatwa na kutaka kufungwa
Diamond platnumz alijaribu kutangaza vivutio vya utalii Tanzania akatishiwa maisha
Namfahamu mzee mmoja wa Kilimanjaro anatengeneza umeme kwa Sumaku na anakufungia nyumbani unawaka bila matatizo, umeme ambao unaweza kutumika hata viwandani lakini ameishia kutishiwa maisha na amekimbilia mafichoni.
Ipo mifano mingi sana lakini ni lazima tujue hii sio bahati mbaya ni MAKUSUDI.
Kwa mifano hiyo ni dhahiri tatizo sio wabunifu, tatizo ni Sirikali badala ya kuwasaidia wabunifu wanatishiwa maisha, wanakamatwa na wanaoonesha uwezo wa kujisogeza na kuanzisha viwanda vidogo wanapigwa kodi kubwa za kuwakomoa na wanashindwa kuendelea.
Tukitaka kujikwamua kiteknolojia ni lazima tujue ni kwanini wabunifu na wagunduzi wanatendewa haya nadhani tuanzie hapa.
Kwa kweli ni jambo la kusikitisha sana. Nikiwaangalia hata wanafunzi walio kwenye vyou vikuu vyetu ukikaa nao huko mtaani ukawa na maongezi nao huoni chochote cha maana walicho nacho zaidi ya ile akili ya kuazima wanayokaririshwa kule vyuoni. Inananisikitisha sana. Yaani kila kitu ni ubongo wa mzungu umetengeneza then sisi ndio tuende kukariri alichofikiri mzungu!Usiende mbali kote huko ila jiulize ni Zana gani tumetengeneza ili kutupunguzia mda na kutumia nguvu za ziada
Kama bado tuko kwenye jembe la mkono kwa miaka Mia tano unategemea miujiza gani
Kama hatuna wataalam bali wakariri na tushahada basi hata akili za kuwaza nazo hatuna?
Wenzetu wanafunzi wa high school wanatengeza dawa
Uwezi zungumzia innovation bila mmiliki.Sawa ndugu. ila nimeuliza kuhusu ubunifu (innovation). Hilo la umiliki tutaliongea baadae. Kwani ukibuni ni lazima uimiliki? Nani nani anamiliki teknolojia ya kutengeza taa ya umeme (electric bulb) aliyobuni Edison?
Ndio maana nimesema wahusika wapo hapa na sisi tuna nia njema tu ya kufanya Tanzania iendelee. Natumaini wanasoma haya tunayoaandika and hopefully watayafanyia kaziMkuu,
Watanzania wengi wana uwezo mkubwa
Sio wanafunzi wazungu pekee wanaweza kutengeneza dawa, watanzania wanaweza kuliko wazungu
Juzi tu wanafunzi wa Sekondari Arusha wametengeneza gari na linatembea
Mwaka 1971 (kama sijakosea mwaka) Ifunda technical walitengeneza ndege na ikaweza kuruka
Mzee mmoja Morogoro ametengeneza gobore akakamatwa na kutaka kufungwa
Diamond platnumz alijaribu kutangaza vivutio vya utalii Tanzania akatishiwa maisha
Namfahamu mzee mmoja wa Kilimanjaro anatengeneza umeme kwa Sumaku na anakufungia nyumbani unawaka bila matatizo, umeme ambao unaweza kutumika hata viwandani lakini ameishia kutishiwa maisha na amekimbilia mafichoni.
Ipo mifano mingi sana lakini ni lazima tujue hii sio bahati mbaya ni MAKUSUDI.
Kwa mifano hiyo ni dhahiri tatizo sio wabunifu, tatizo ni Sirikali badala ya kuwasaidia wabunifu wanatishiwa maisha, wanakamatwa na wanaoonesha uwezo wa kujisogeza na kuanzisha viwanda vidogo wanapigwa kodi kubwa za kuwakomoa na wanashindwa kuendelea.
Tukitaka kujikwamua kiteknolojia ni lazima tujue ni kwanini wabunifu na wagunduzi wanatendewa haya nadhani tuanzie hapa.
Naelewa mkuu. Ila ni hiyari ya mgunduzi kupata patent rights kwa sababu za kibiashara. Kuna watu watu wanafanya innovations kwa roho ya hisani tu na wanaweka innovations zao kwenye public domainUwezi zungumzia innovation bila mmiliki.
Pitia ujue jinsi Patent right inavyofanya kazi Tanzania na Duniani
Unamaanisha umeme ambao unatumia sumaku inayozungukwa na nyaya (electromagnetic induction) kama dynamo au sumaku ki vipi??Mkuu,
Watanzania wengi wana uwezo mkubwa
Sio wanafunzi wazungu pekee wanaweza kutengeneza dawa, watanzania wanaweza kuliko wazungu
Juzi tu wanafunzi wa Sekondari Arusha wametengeneza gari na linatembea
Mwaka 1971 (kama sijakosea mwaka) Ifunda technical walitengeneza ndege na ikaweza kuruka
Mzee mmoja Morogoro ametengeneza gobore akakamatwa na kutaka kufungwa
Diamond platnumz alijaribu kutangaza vivutio vya utalii Tanzania akatishiwa maisha
Namfahamu mzee mmoja wa Kilimanjaro anatengeneza umeme kwa Sumaku na anakufungia nyumbani unawaka bila matatizo, umeme ambao unaweza kutumika hata viwandani lakini ameishia kutishiwa maisha na amekimbilia mafichoni.
Ipo mifano mingi sana lakini ni lazima tujue hii sio bahati mbaya ni MAKUSUDI.
Kwa mifano hiyo ni dhahiri tatizo sio wabunifu, tatizo ni Sirikali badala ya kuwasaidia wabunifu wanatishiwa maisha, wanakamatwa na wanaoonesha uwezo wa kujisogeza na kuanzisha viwanda vidogo wanapigwa kodi kubwa za kuwakomoa na wanashindwa kuendelea.
Tukitaka kujikwamua kiteknolojia ni lazima tujue ni kwanini wabunifu na wagunduzi wanatendewa haya nadhani tuanzie hapa.
Kweli ni maajabu sana wengine wanaishia kudanganya watu kwa elimu uchwara eti mfuko mmoja wa mbegu utapata 90m ukivunaKwa kweli ni jambo la kusikitisha sana. Nikiwaangalia hata wanafunzi walio kwenye vyou vikuu vyetu ukikaa nao huko mtaani ukawa na maongezi nao huoni chochote cha maana walicho nacho zaidi ya ile akili ya kuazima wanayokaririshwa kule vyuoni. Inananisikitisha sana. Yaani kila kitu ni ubongo wa mzungu umetengeneza then sisi ndio tuende kukariri alichofikiri mzungu!
Najua hayo yote mkuu. Patent ipo kwa ajili ya biashara. Unaweza ukabuni kitu usikiwekee patent rights watu wakatengeneza bila kukulipa. Yapo hata maandishi mengi kama vitabu yapo kwenye puliblic domain tangu siku ya publishing. Nani anamiliki innovationa ya kutengeneza ndege kwa mfano?Uwezi zungumzia innovation bila mmiliki.
Pitia ujue jinsi Patent right inavyofanya kazi Tanzania na Duniani
Ni Wright Brothers wana hiyo patent right?!!Najua hayo yote mkuu. Patent ipo kwa ajili ya biashara. Unaweza ukabuni kitu usikiwekee patent rights watu wakatengeneza bila kukulipa. Yapo hata maandishi mengi kama vitabu yapo kwenye puliblic domain tangu siku ya publishing. Nani anamiliki innovationa ya kutengeneza ndege kwa mfano?
Naomba niongee kidogo kuhusu suala la vyuo na Technology tunayo itaka, kiukweli tanzania ya sasa tumesha haribiwa kiakili, sio kwamba elimu tunayopewa haifai la hasha ila wanaopewa elimu ndio matatizo, dronedrake nadhani utakuwa shahidi kwa upande wa career ambayo upo ni wanafunzi wangapi wanamaliza hawajui hata resistor na nini na wanatoa pesa kufanyiwa projects za mwaka wa mwisho. Kingine nimeshiriki sana baadhi ya mashindani ya Makisatu, Feed the Future na mengine na ni watu kibao wanapewa mapesa kibao lakini after hapo wanapotea na hawasikiki tena, kikubwa kwa upande wangu ninachokiona ni vijana hatutaki kujishughurisha na wazee hawataki tujishughulishe na wanafunzi hawataki kujifunza wao wanachotaka ni cheti tu. Kuna watu ukiwaambia wanasingizia vifaa ila kiukweli uzembe wa kujifunza na kufatilia ndio unafanya tuone upatikanaji wa vifaa ni mgumu. Ila vifaa upatikanaji ni rahisi na wa gharama nafuu kama una nia na unachotaka kukifanya. Hayo ni maoni yangu tuKwa kweli ni jambo la kusikitisha sana. Nikiwaangalia hata wanafunzi walio kwenye vyou vikuu vyetu ukikaa nao huko mtaani ukawa na maongezi nao huoni chochote cha maana walicho nacho zaidi ya ile akili ya kuazima wanayokaririshwa kule vyuoni. Inananisikitisha sana. Yaani kila kitu ni ubongo wa mzungu umetengeneza then sisi ndio tuende kukariri alichofikiri mzungu!
kitambo nilifanya kazi kama fundi-umeme, kiwanda flani maarufu tu DarNaomba niongee kidogo kuhusu suala la vyuo na Technology tunayo itaka, kiukweli tanzania ya sasa tumesha haribiwa kiakili, sio kwamba elimu tunayopewa haifai la hasha ila wanaopewa elimu ndio matatizo, dronedrake nadhani utakuwa shahidi kwa upande wa career ambayo upo ni wanafunzi wangapi wanamaliza hawajui hata resistor na nini na wanatoa pesa kufanyiwa projects za mwaka wa mwisho. Kingine nimeshiriki sana baadhi ya mashindani ya Makisatu, Feed the Future na mengine na ni watu kibao wanapewa mapesa kibao lakini after hapo wanapotea na hawasikiki tena, kikubwa kwa upande wangu ninachokiona ni vijana hatutaki kujishughurisha na wazee hawataki tujishughulishe na wanafunzi hawataki kujifunza wao wanachotaka ni cheti tu. Kuna watu ukiwaambia wanasingizia vifaa ila kiukweli uzembe wa kujifunza na kufatilia ndio unafanya tuone upatikanaji wa vifaa ni mgumu. Ila vifaa upatikanaji ni rahisi na wa gharama nafuu kama una nia na unachotaka kukifanya. Hayo ni maoni yangu tu
Uzuri wa nyakati hizi,kila kitu kipo,hakuna nchi inaweza kukupa tekinolojia Bure,una njia mbili za kuipata,uinunue,au uicopy,uibe,Habari wakuu. Kuna huu usemi wa siku nyingi ambao huwa unanikera. Kwa mfano hatuwezi kutengeneza simu za mkononi, computer, ndege za abiria au za kijeshi, roketi na kadhalika. Kisa...? Hatuna teknolojia. Hao wanaotengeneza hivi vitu hiyo teknolojia waliipata wapi? Kwa muono wangu teknolojia ni zao la akili ya binadamu. Wenzetu wameshughulisha ubongo wao vizuri wakapata teknolojia hizo. Sisi tunakwama wapi na tumekopa elimu za wenzetu na tuna degree chungu tele za matawi yote ya sayansi??? Hebu tujadili hili.
China India Singapore na Wengine walianza endelea kiteknolojia baada ya kuweka Siasa pembeni.Sisi Bado Siasa zinatawala kila kitu hapa nchini so ni ngumu kuendelea. Serikali ndo inajukumu la kuzalisha na kuendeleza vipaji so kama ipo bize na Siasa atuwezi kufanikiwa: hapa majuzi Masud kipanya alizinduwa gari yake ya Umeme! Je mpaka leo Serikali na taasisi zake zimempa mchango gani wa kumwezesha kuanzisha kiwanda?? Ila Chadema bado wanazuiliwa kufanya mikutano ata ile ya ndaniš¤£Habari wakuu. Kuna huu usemi wa siku nyingi ambao huwa unanikera. Kwa mfano hatuwezi kutengeneza simu za mkononi, computer, ndege za abiria au za kijeshi, roketi na kadhalika. Kisa...? Hatuna teknolojia. Hao wanaotengeneza hivi vitu hiyo teknolojia waliipata wapi? Kwa muono wangu teknolojia ni zao la akili ya binadamu. Wenzetu wameshughulisha ubongo wao vizuri wakapata teknolojia hizo. Sisi tunakwama wapi na tumekopa elimu za wenzetu na tuna degree chungu tele za matawi yote ya sayansi??? Hebu tujadili hili.
Yes. Tena vyenye kuzalisha faida kubwa tuKwa nini kenya wanaviwanda vingi kuliko Tz?
Naomba niongee kidogo kuhusu suala la vyuo na Technology tunayo itaka, kiukweli tanzania ya sasa tumesha haribiwa kiakili, sio kwamba elimu tunayopewa haifai la hasha ila wanaopewa elimu ndio matatizo, dronedrake nadhani utakuwa shahidi kwa upande wa career ambayo upo ni wanafunzi wangapi wanamaliza hawajui hata resistor na nini na wanatoa pesa kufanyiwa projects za mwaka wa mwisho. Kingine nimeshiriki sana baadhi ya mashindani ya Makisatu, Feed the Future na mengine na ni watu kibao wanapewa mapesa kibao lakini after hapo wanapotea na hawasikiki tena, kikubwa kwa upande wangu ninachokiona ni vijana hatutaki kujishughurisha na wazee hawataki tujishughulishe na wanafunzi hawataki kujifunza wao wanachotaka ni cheti tu. Kuna watu ukiwaambia wanasingizia vifaa ila kiukweli uzembe wa kujifunza na kufatilia ndio unafanya tuone upatikanaji wa vifaa ni mgumu. Ila vifaa upatikanaji ni rahisi na wa gharama nafuu kama una nia na unachotaka kukifanya. Hayo ni maoni yangu tu