Kwanini hatuna teknolojia?

Kwanini hatuna teknolojia?

Usiende mbali kote huko ila jiulize ni Zana gani tumetengeneza ili kutupunguzia mda na kutumia nguvu za ziada

Kama bado tuko kwenye jembe la mkono kwa miaka Mia tano unategemea miujiza gani
Kama hatuna wataalam bali wakariri na tushahada basi hata akili za kuwaza nazo hatuna?

Wenzetu wanafunzi wa high school wanatengeza dawa
 
Mkuu,
Watanzania wengi wana uwezo mkubwa
Sio wanafunzi wazungu pekee wanaweza kutengeneza dawa, watanzania wanaweza kuliko wazungu
Juzi tu wanafunzi wa Sekondari Arusha wametengeneza gari na linatembea
Mwaka 1971 (kama sijakosea mwaka) Ifunda technical walitengeneza ndege na ikaweza kuruka

Mzee mmoja Morogoro ametengeneza gobore akakamatwa na kutaka kufungwa
Diamond platnumz alijaribu kutangaza vivutio vya utalii Tanzania akatishiwa maisha

Namfahamu mzee mmoja wa Kilimanjaro anatengeneza umeme kwa Sumaku na anakufungia nyumbani unawaka bila matatizo, umeme ambao unaweza kutumika hata viwandani lakini ameishia kutishiwa maisha na amekimbilia mafichoni.
Ipo mifano mingi sana lakini ni lazima tujue hii sio bahati mbaya ni MAKUSUDI.

Kwa mifano hiyo ni dhahiri tatizo sio wabunifu, tatizo ni Sirikali badala ya kuwasaidia wabunifu wanatishiwa maisha, wanakamatwa na wanaoonesha uwezo wa kujisogeza na kuanzisha viwanda vidogo wanapigwa kodi kubwa za kuwakomoa na wanashindwa kuendelea.
Tukitaka kujikwamua kiteknolojia ni lazima tujue ni kwanini wabunifu na wagunduzi wanatendewa haya nadhani tuanzie hapa.
 
China waliweka sera rafiki ya Kodi makampuni makubwa yakaenda wekeza china through contract manufacturing baada ya mda wakawa na viwanda vingi automatic watu watajifunza kwenye viwanda jinsi ya kufanya uzalishaji lakin Tanzania ni ngumu sana mwekezaji kuja kuwekeza sababu sheria ya Kodi ni ngumu na kila uchwao inabadilika na urasimu uliopo brela

Hata wasomi wengi wa kitanzania motives yao ni kupata elimu ili wawatambie watu, ndo maana ni nadra sana kukuta mzungu anavimba kwa sababu ya PhD aliyonayo mda mwingine hata kwenye jinaa lake haweki sababu motives yao ya kusoma ni kuleta changes kwenye jamii iliyowazunguka
Majuzi nilikuwa nasajili kampuni ya utalii huko brela. Aisee acha tu!
 
Mkuu,
Watanzania wengi wana uwezo mkubwa
Sio wanafunzi wazungu pekee wanaweza kutengeneza dawa, watanzania wanaweza kuliko wazungu
Juzi tu wanafunzi wa Sekondari Arusha wametengeneza gari na linatembea
Mwaka 1971 (kama sijakosea mwaka) Ifunda technical walitengeneza ndege na ikaweza kuruka

Mzee mmoja Morogoro ametengeneza gobore akakamatwa na kutaka kufungwa
Diamond platnumz alijaribu kutangaza vivutio vya utalii Tanzania akatishiwa maisha

Namfahamu mzee mmoja wa Kilimanjaro anatengeneza umeme kwa Sumaku na anakufungia nyumbani unawaka bila matatizo, umeme ambao unaweza kutumika hata viwandani lakini ameishia kutishiwa maisha na amekimbilia mafichoni.
Ipo mifano mingi sana lakini ni lazima tujue hii sio bahati mbaya ni MAKUSUDI.

Kwa mifano hiyo ni dhahiri tatizo sio wabunifu, tatizo ni Sirikali badala ya kuwasaidia wabunifu wanatishiwa maisha, wanakamatwa na wanaoonesha uwezo wa kujisogeza na kuanzisha viwanda vidogo wanapigwa kodi kubwa za kuwakomoa na wanashindwa kuendelea.
Tukitaka kujikwamua kiteknolojia ni lazima tujue ni kwanini wabunifu na wagunduzi wanatendewa haya nadhani tuanzie hapa.
Asante kwa ufafanuzi huo
Kwa kweli wapo wabunifu na wanaoweeza kutengeneza kitu
Kwa mfano huo nilioutoa wa vijana waliotengeneza dawa
Kweli dawa hiyo ilikuwa ghali sana USA na mbunifu alikuwa anauza bei isioingia akilini kwa dozi $200

Ila vijana wa [emoji636] waliteneza na kupata mfadhili na kuziuza kwa £2 tu

Kuwa na wabunifu tunao ila hata akibuni kwama la umeme ataishia kutengeneza moja tu basi na Ubunifu unaishia hapo

Sio kila kitu serikali itakubana hapana bali ukiingilia maslahi ya wengine
By saying that huko nyuma kuna mtu alibuni gari kutembea kwa maji Staney Meyyer kama sikosei ila hakupata nafasi kwani mafuta yangedorora

Tatizo ni wafadhili hapo nitaelewa ila na sisi hatuna malengo ya mda mrefu
Tunataka michongo tu na utapeli

Kweli Serikali pia inachangia kwa kutokuwasaidia vijana wenye maarifa makubwa
Wapo wengi wenye hela ila wanaogopa kuingiza kwenye miradi ya hivyo kama ubunifu kwa sababu za uaminifu

Mkuu hela wengine tunazo ila ukitaka kumpa mtu afanyie kazi anakuzika
Ni ngumu kufanyakazi na watu asilimia kubwa
 
Usiende mbali kote huko ila jiulize ni Zana gani tumetengeneza ili kutupunguzia mda na kutumia nguvu za ziada

Kama bado tuko kwenye jembe la mkono kwa miaka Mia tano unategemea miujiza gani
Kama hatuna wataalam bali wakariri na tushahada basi hata akili za kuwaza nazo hatuna?

Wenzetu wanafunzi wa high school wanatengeza dawa
Kwa kweli ni jambo la kusikitisha sana. Nikiwaangalia hata wanafunzi walio kwenye vyou vikuu vyetu ukikaa nao huko mtaani ukawa na maongezi nao huoni chochote cha maana walicho nacho zaidi ya ile akili ya kuazima wanayokaririshwa kule vyuoni. Inananisikitisha sana. Yaani kila kitu ni ubongo wa mzungu umetengeneza then sisi ndio tuende kukariri alichofikiri mzungu!
 
Tatizo lilianzia pale tulipodhani kuwa democracy na maendeleo vinakaa sahani moja
 
Sawa ndugu. ila nimeuliza kuhusu ubunifu (innovation). Hilo la umiliki tutaliongea baadae. Kwani ukibuni ni lazima uimiliki? Nani nani anamiliki teknolojia ya kutengeza taa ya umeme (electric bulb) aliyobuni Edison?
Uwezi zungumzia innovation bila mmiliki.
Pitia ujue jinsi Patent right inavyofanya kazi Tanzania na Duniani
 
Mkuu,
Watanzania wengi wana uwezo mkubwa
Sio wanafunzi wazungu pekee wanaweza kutengeneza dawa, watanzania wanaweza kuliko wazungu
Juzi tu wanafunzi wa Sekondari Arusha wametengeneza gari na linatembea
Mwaka 1971 (kama sijakosea mwaka) Ifunda technical walitengeneza ndege na ikaweza kuruka

Mzee mmoja Morogoro ametengeneza gobore akakamatwa na kutaka kufungwa
Diamond platnumz alijaribu kutangaza vivutio vya utalii Tanzania akatishiwa maisha

Namfahamu mzee mmoja wa Kilimanjaro anatengeneza umeme kwa Sumaku na anakufungia nyumbani unawaka bila matatizo, umeme ambao unaweza kutumika hata viwandani lakini ameishia kutishiwa maisha na amekimbilia mafichoni.
Ipo mifano mingi sana lakini ni lazima tujue hii sio bahati mbaya ni MAKUSUDI.

Kwa mifano hiyo ni dhahiri tatizo sio wabunifu, tatizo ni Sirikali badala ya kuwasaidia wabunifu wanatishiwa maisha, wanakamatwa na wanaoonesha uwezo wa kujisogeza na kuanzisha viwanda vidogo wanapigwa kodi kubwa za kuwakomoa na wanashindwa kuendelea.
Tukitaka kujikwamua kiteknolojia ni lazima tujue ni kwanini wabunifu na wagunduzi wanatendewa haya nadhani tuanzie hapa.
Ndio maana nimesema wahusika wapo hapa na sisi tuna nia njema tu ya kufanya Tanzania iendelee. Natumaini wanasoma haya tunayoaandika and hopefully watayafanyia kazi
 
Uwezi zungumzia innovation bila mmiliki.
Pitia ujue jinsi Patent right inavyofanya kazi Tanzania na Duniani
Naelewa mkuu. Ila ni hiyari ya mgunduzi kupata patent rights kwa sababu za kibiashara. Kuna watu watu wanafanya innovations kwa roho ya hisani tu na wanaweka innovations zao kwenye public domain
 
Mkuu,
Watanzania wengi wana uwezo mkubwa
Sio wanafunzi wazungu pekee wanaweza kutengeneza dawa, watanzania wanaweza kuliko wazungu
Juzi tu wanafunzi wa Sekondari Arusha wametengeneza gari na linatembea
Mwaka 1971 (kama sijakosea mwaka) Ifunda technical walitengeneza ndege na ikaweza kuruka

Mzee mmoja Morogoro ametengeneza gobore akakamatwa na kutaka kufungwa
Diamond platnumz alijaribu kutangaza vivutio vya utalii Tanzania akatishiwa maisha

Namfahamu mzee mmoja wa Kilimanjaro anatengeneza umeme kwa Sumaku na anakufungia nyumbani unawaka bila matatizo, umeme ambao unaweza kutumika hata viwandani lakini ameishia kutishiwa maisha na amekimbilia mafichoni.
Ipo mifano mingi sana lakini ni lazima tujue hii sio bahati mbaya ni MAKUSUDI.

Kwa mifano hiyo ni dhahiri tatizo sio wabunifu, tatizo ni Sirikali badala ya kuwasaidia wabunifu wanatishiwa maisha, wanakamatwa na wanaoonesha uwezo wa kujisogeza na kuanzisha viwanda vidogo wanapigwa kodi kubwa za kuwakomoa na wanashindwa kuendelea.
Tukitaka kujikwamua kiteknolojia ni lazima tujue ni kwanini wabunifu na wagunduzi wanatendewa haya nadhani tuanzie hapa.
Unamaanisha umeme ambao unatumia sumaku inayozungukwa na nyaya (electromagnetic induction) kama dynamo au sumaku ki vipi??
 
Kwa kweli ni jambo la kusikitisha sana. Nikiwaangalia hata wanafunzi walio kwenye vyou vikuu vyetu ukikaa nao huko mtaani ukawa na maongezi nao huoni chochote cha maana walicho nacho zaidi ya ile akili ya kuazima wanayokaririshwa kule vyuoni. Inananisikitisha sana. Yaani kila kitu ni ubongo wa mzungu umetengeneza then sisi ndio tuende kukariri alichofikiri mzungu!
Kweli ni maajabu sana wengine wanaishia kudanganya watu kwa elimu uchwara eti mfuko mmoja wa mbegu utapata 90m ukivuna
Yeye ana andaa semina na kutapeli watu hilo ndio wanajua

Unaweza kusema umsaidie mtu aliekuomba kitu na kumuwezesha anaishia kukuibia tu
 
Uwezi zungumzia innovation bila mmiliki.
Pitia ujue jinsi Patent right inavyofanya kazi Tanzania na Duniani
Najua hayo yote mkuu. Patent ipo kwa ajili ya biashara. Unaweza ukabuni kitu usikiwekee patent rights watu wakatengeneza bila kukulipa. Yapo hata maandishi mengi kama vitabu yapo kwenye puliblic domain tangu siku ya publishing. Nani anamiliki innovationa ya kutengeneza ndege kwa mfano?
 
Ni Wright Brothers wana hiyo patent right?!!
 
Kwa kweli ni jambo la kusikitisha sana. Nikiwaangalia hata wanafunzi walio kwenye vyou vikuu vyetu ukikaa nao huko mtaani ukawa na maongezi nao huoni chochote cha maana walicho nacho zaidi ya ile akili ya kuazima wanayokaririshwa kule vyuoni. Inananisikitisha sana. Yaani kila kitu ni ubongo wa mzungu umetengeneza then sisi ndio tuende kukariri alichofikiri mzungu!
Naomba niongee kidogo kuhusu suala la vyuo na Technology tunayo itaka, kiukweli tanzania ya sasa tumesha haribiwa kiakili, sio kwamba elimu tunayopewa haifai la hasha ila wanaopewa elimu ndio matatizo, dronedrake nadhani utakuwa shahidi kwa upande wa career ambayo upo ni wanafunzi wangapi wanamaliza hawajui hata resistor na nini na wanatoa pesa kufanyiwa projects za mwaka wa mwisho. Kingine nimeshiriki sana baadhi ya mashindani ya Makisatu, Feed the Future na mengine na ni watu kibao wanapewa mapesa kibao lakini after hapo wanapotea na hawasikiki tena, kikubwa kwa upande wangu ninachokiona ni vijana hatutaki kujishughurisha na wazee hawataki tujishughulishe na wanafunzi hawataki kujifunza wao wanachotaka ni cheti tu. Kuna watu ukiwaambia wanasingizia vifaa ila kiukweli uzembe wa kujifunza na kufatilia ndio unafanya tuone upatikanaji wa vifaa ni mgumu. Ila vifaa upatikanaji ni rahisi na wa gharama nafuu kama una nia na unachotaka kukifanya. Hayo ni maoni yangu tu
 
kitambo nilifanya kazi kama fundi-umeme, kiwanda flani maarufu tu Dar

na kulikua hao 'injiniaz' wa kutosha kadhaa , umeme na mekaniko

kilichonishangaza ni kwamba, ukimuita ni lazima ( by-law ) uanze na neno Eng. flani or ana haki ya kutoikia wito na wewe ukawajibishwa

aisee, kilichonishangaza zaidi, output za hao 'injiniaz' hakuna, hata ku-solder hajui, kushika 'screw-driver' hajui, zaidi ya ku jaza log-book kila mda wa kuondoka,

likitokea tatizo siriaz sana kwenye 'mashine', engineers wa kikenya wanakua 'contracted' kuja kutatua

nikabaki nasikitika sana
 
Kwa nini kenya wanaviwanda vingi kuliko Tz?
 
Habari wakuu. Kuna huu usemi wa siku nyingi ambao huwa unanikera. Kwa mfano hatuwezi kutengeneza simu za mkononi, computer, ndege za abiria au za kijeshi, roketi na kadhalika. Kisa...? Hatuna teknolojia. Hao wanaotengeneza hivi vitu hiyo teknolojia waliipata wapi? Kwa muono wangu teknolojia ni zao la akili ya binadamu. Wenzetu wameshughulisha ubongo wao vizuri wakapata teknolojia hizo. Sisi tunakwama wapi na tumekopa elimu za wenzetu na tuna degree chungu tele za matawi yote ya sayansi??? Hebu tujadili hili.
Uzuri wa nyakati hizi,kila kitu kipo,hakuna nchi inaweza kukupa tekinolojia Bure,una njia mbili za kuipata,uinunue,au uicopy,uibe,
Maaana kama una wahandisi waliosoma,ni Swala la kununua cm,ifungue,harafu jaribu kutengeneza kama hiyo,Swala ni kucopy tu.
Wachina,wahindi,Pakistan wote wametumia hizo mbinu
 
Habari wakuu. Kuna huu usemi wa siku nyingi ambao huwa unanikera. Kwa mfano hatuwezi kutengeneza simu za mkononi, computer, ndege za abiria au za kijeshi, roketi na kadhalika. Kisa...? Hatuna teknolojia. Hao wanaotengeneza hivi vitu hiyo teknolojia waliipata wapi? Kwa muono wangu teknolojia ni zao la akili ya binadamu. Wenzetu wameshughulisha ubongo wao vizuri wakapata teknolojia hizo. Sisi tunakwama wapi na tumekopa elimu za wenzetu na tuna degree chungu tele za matawi yote ya sayansi??? Hebu tujadili hili.
China India Singapore na Wengine walianza endelea kiteknolojia baada ya kuweka Siasa pembeni.Sisi Bado Siasa zinatawala kila kitu hapa nchini so ni ngumu kuendelea. Serikali ndo inajukumu la kuzalisha na kuendeleza vipaji so kama ipo bize na Siasa atuwezi kufanikiwa: hapa majuzi Masud kipanya alizinduwa gari yake ya Umeme! Je mpaka leo Serikali na taasisi zake zimempa mchango gani wa kumwezesha kuanzisha kiwanda?? Ila Chadema bado wanazuiliwa kufanya mikutano ata ile ya ndani🤣
 
Naomba niongee kidogo kuhusu suala la vyuo na Technology tunayo itaka, kiukweli tanzania ya sasa tumesha haribiwa kiakili, sio kwamba elimu tunayopewa haifai la hasha ila wanaopewa elimu ndio matatizo, dronedrake nadhani utakuwa shahidi kwa upande wa career ambayo upo ni wanafunzi wangapi wanamaliza hawajui hata resistor na nini na wanatoa pesa kufanyiwa projects za mwaka wa mwisho. Kingine nimeshiriki sana baadhi ya mashindani ya Makisatu, Feed the Future na mengine na ni watu kibao wanapewa mapesa kibao lakini after hapo wanapotea na hawasikiki tena, kikubwa kwa upande wangu ninachokiona ni vijana hatutaki kujishughurisha na wazee hawataki tujishughulishe na wanafunzi hawataki kujifunza wao wanachotaka ni cheti tu. Kuna watu ukiwaambia wanasingizia vifaa ila kiukweli uzembe wa kujifunza na kufatilia ndio unafanya tuone upatikanaji wa vifaa ni mgumu. Ila vifaa upatikanaji ni rahisi na wa gharama nafuu kama una nia na unachotaka kukifanya. Hayo ni maoni yangu tu

Kitu kikiwa kimetengenezwa Tanzania watu awawezi kukiamini mtu ni kheri avae nguo kutoka china lakini sio cha ya Tanzania
 
Back
Top Bottom