Kwanini hatuna teknolojia?

Kwanini hatuna teknolojia?

raslimali

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2014
Posts
1,958
Reaction score
1,744
Habari wakuu.

Kuna huu usemi wa siku nyingi ambao huwa unanikera. Kwa mfano hatuwezi kutengeneza simu za mkononi, computer, ndege za abiria au za kijeshi, roketi na kadhalika kisa, hatuna teknolojia.

Hao wanaotengeneza hivi vitu hiyo teknolojia waliipata wapi? Kwa maono yangu teknolojia ni zao la akili ya binadamu.

Wenzetu wameshughulisha ubongo wao vizuri wakapata teknolojia hizo. Sisi tunakwama wapi na tumekopa elimu za wenzetu na tuna degree chungu tele za matawi yote ya sayansi?

Hebu tujadili hili.
 
Una maelfu ya technical engineers and technicians graduates wapo kitaa wanafanya umachinga na Hakuna initiatives zozote Kwa serikali kuhakikisha hawa watu wanatumika katika fani zao halafu unategemea technological development nchi hii ,aisee
Ni Tanzania pekee ndio maendeleo tunafikiri yanakuja kimiujiza ,there is no such a thing .
 
Habari wakuu. Kuna huu usemi wa siku nyingi ambao huwa unanikera. Kwa mfano hatuwezi kutengeneza simu za mkononi, computer, ndege za abiria au za kijeshi, roketi na kadhalika. Kisa...? Hatuna teknolojia. Hao wanaotengeneza hivi vitu hiyo teknolojia waliipata wapi? Kwa muono wangu teknolojia ni zao la akili ya binadamu. Wenzetu wameshughulisha ubongo wao vizuri wakapata teknolojia hizo. Sisi tunakwama wapi na tumekopa elimu za wenzetu na tuna degree chungu tele za matawi yote ya sayansi??? Hebu tujadili hili.
Teknologia zote duniani zinamilikiwa na watu pia kampuni

Swali unalotakiwa kujiuliza wewe mleta mada ni kuwa wewe unamiliki teknologia gani?

Nasio kuja na muhemko
 
Hata Mimi hiliswali nimewahi kujiuliza sana ila mwisho wa siku nilipata majibu yafatayo

1) unaweza kupata tecnologia kwa kununua kama mwenye nayo yupo tayari kukuuzia baadae utakuwa unaiongezea taratibu kadiri maendeleo ya Dunia yanavyo badirika

2) unaweza kupata tecnologia kwa kuiba Yani ukajiingiza jikoni kabisa vitu vinapopikwa ukaiba ujuzi

3) kuumiza kichwa wewe mwenyewe kubumi kutengeneza kitu ambacho kitarahisisha kutatua changamoto zako za maisha ya Kila siku

Nikirudi katika hi nchi yetu Tanzania
Hi nchi ni ngumu sana kuwa na tecnologia yetu kwa sababu hatuna maono ya kutaka hiyo tecnologia iwe kwa kuumiza vichwa vyetu au kwa kuiba katika nchi zingine

Elimu yetu ndio kabisa imetuchimbia kaburi na kutuzika katika hiyo ndoto

Kwa mfano mwanafunzi anasoma physic anakutana na topic inayofundisha Transistor ataisoma Transistor jinsi inavyofanya kazi katika vifaa vya kielectronics

Lakini hataweza kusoma Wala kuuona mtambo unaotumika kuzalisha hizo Transistors na hili sio kama limetokea kwa bahati mbaya ila wazungu wamefanya kusudi kutuficha maana hiyo ndio tecnologia yenyewe

Kwa hiyo hapa ujanja sio Kujua Transistors inafanya kazi vipi ila ujanja ni Kujua jisi ya kutengeneza Transistors
 
Sawa ndugu. ila nimeuliza kuhusu ubunifu (innovation). Hilo la umiliki tutaliongea baadae. Kwani ukibuni ni lazima uimiliki? Nani nani anamiliki teknolojia ya kutengeza taa ya umeme (electric bulb) aliyobuni Edison?
 
Habari wakuu. Kuna huu usemi wa siku nyingi ambao huwa unanikera. Kwa mfano hatuwezi kutengeneza simu za mkononi, computer, ndege za abiria au za kijeshi, roketi na kadhalika. Kisa...? Hatuna teknolojia. Hao wanaotengeneza hivi vitu hiyo teknolojia waliipata wapi? Kwa muono wangu teknolojia ni zao la akili ya binadamu. Wenzetu wameshughulisha ubongo wao vizuri wakapata teknolojia hizo. Sisi tunakwama wapi na tumekopa elimu za wenzetu na tuna degree chungu tele za matawi yote ya sayansi??? Hebu tujadili hili.
Motives ya wewe au watanzania wengi kupata elimu ni ipi hiyo ndo itajibu maswali yako yote, waafrika ndo watu tunaopenda vitu vizuri na hatuko tayari kuvipigania
 
Kosa namba 1 Africa tulilolifanya ni kutumia lugha zisizo zetu katika kujipatia maarifa.uvumbuzi wa technology inaanza kwenye bongo-whites walihakikisha wanaharibu Bongo zetu,ukiangalia mataiga yanayoongoza kwa vumbuzi nyingi mataiga hayo yanatumia lugha zao katika kujipatia maatifa mfano Germany,Russia,Swartzland,Japan,Chines,Korea,Italy na mengineyo mengi.
 
Hata Mimi hiliswali nimewahi kujiuliza sana ila mwisho wa siku nilipata majibu yafatayo

1) unaweza kupata tecnologia kwa kununua kama mwenye nayo yupo tayari kukuuzia baadae utakuwa unaiongezea taratibu kadiri maendeleo ya Dunia yanavyo badirika

2) unaweza kupata tecnologia kwa kuiba Yani ukajiingiza jikoni kabisa vitu vinapopikwa ukaiba ujuzi

3) kuumiza kichwa wewe mwenyewe kubumi kutengeneza kitu ambacho kitarahisisha kutatua changamoto zako za maisha ya Kila siku

Nikirudi katika hi nchi yetu Tanzania
Hi nchi ni ngumu sana kuwa na tecnologia yetu kwa sababu hatuna maono ya kutaka hiyo tecnologia iwe kwa kuumiza vichwa vyetu au kwa kuiba katika nchi zingine

Elimu yetu ndio kabisa imetuchimbia kaburi na kutuzika katika hiyo ndoto

Kwa mfano mwanafunzi anasoma physic anakutana na topic inayofundisha Transistor ataisoma Transistor jinsi inavyofanya kazi katika vifaa vya kielectronics

Lakini hataweza kusoma Wala kuuona mtambo unaotumika kuzalisha hizo Transistors na hili sio kama limetokea kwa bahati mbaya ila wazungu wamefanya kusudi kutuficha maana hiyo ndio tecnologia yenyewe

Kwa hiyo hapa ujanja sio Kujua Transistors inafanya kazi vipi ila ujanja ni Kujua jisi ya kutengeneza Transistors
umenena vema mkuu. Shukran!
 
Ma daktari wetu wanafanya ni application, hatuwezi hata kutengeneza dawa mbalimbali
 
Kosa namba 1 Africa tulilolifanya ni kutumia lugha zisizo zetu katika kujipatia maarifa.uvumbuzi wa technology inaanza kwenye bongo-whites walihakikisha wanaharibu Bongo zetu,ukiangalia mataiga yanayoongoza kwa vumbuzi nyingi mataiga hayo yanatumia lugha zao katika kujipatia maatifa mfano Germany,Russia,Swartzland,Japan,Chines,Korea,Italy na mengineyo mengi.
Hii ni point dhaifu sana maprofesor na PhD holder wa kitanzania kwanin wasiandike vitabu kwa lugha ya kiswahili kwani wamekatazwa, kwani vitabu vingi kila uchwao vinaandikwa na wazungu

Kama PhD holder na professor wa kitanzania wako bize na Siasa unategemea nini
 
Wewe unadhani nini kinasababisha wanafunzi wetu wasijifunze kwa lugha ya Kiswahili? Kuanzia chekechea mpaka chuo kikuu?
Darasani penyewe unajibu mtihani kwa kiingereza lakini unawaza kwa kiswahili.
 
Habari wakuu. Kuna huu usemi wa siku nyingi ambao huwa unanikera. Kwa mfano hatuwezi kutengeneza simu za mkononi, computer, ndege za abiria au za kijeshi, roketi na kadhalika. Kisa...? Hatuna teknolojia. Hao wanaotengeneza hivi vitu hiyo teknolojia waliipata wapi? Kwa muono wangu teknolojia ni zao la akili ya binadamu. Wenzetu wameshughulisha ubongo wao vizuri wakapata teknolojia hizo. Sisi tunakwama wapi na tumekopa elimu za wenzetu na tuna degree chungu tele za matawi yote ya sayansi??? Hebu tujadili hili.
Mungu hakutaka tuwe sawa, sisi akatufanya weusi na akili katunyima, wale kawafanya weupe na akili kawapa. Ndo hayo tuu.
 
Kosa namba 1 Africa tulilolifanya ni kutumia lugha zisizo zetu katika kujipatia maarifa.uvumbuzi wa technology inaanza kwenye bongo-whites walihakikisha wanaharibu Bongo zetu,ukiangalia mataiga yanayoongoza kwa vumbuzi nyingi mataiga hayo yanatumia lugha zao katika kujipatia maatifa mfano Germany,Russia,Swartzland,Japan,Chines,Korea,Italy na mengineyo mengi.
Umenena vema. majuzi nilikuwa napitia youtube nione kama kuna videos za computer programming kwa kiswahili. Nilishangaa kuona jinsi gani mtu anaweza kujifunza programming kwa kiswahili kwa urahisi abisa. Nina mavitabu ya computer science ya kiingereza hapa nyumbani ila wa kweli kwa mtu anayeanza kusoma mabo hayo itakuwa tabu kuelewa chochote!
 
haha, zipi, degree hizi za makaratasi ?

angalia michango ya hao wapiga first class, wanaishia kua TAs na wanasi-hasa

bure kabisa
Na kweli nyingi ni degree za makaratasi tu. Hazina mchango wowote kwenye maendeleo ya kiteknolojia.
 
Kosa namba 1 Africa tulilolifanya ni kutumia lugha zisizo zetu katika kujipatia maarifa.uvumbuzi wa technology inaanza kwenye bongo-whites walihakikisha wanaharibu Bongo zetu,ukiangalia mataiga yanayoongoza kwa vumbuzi nyingi mataiga hayo yanatumia lugha zao katika kujipatia maatifa mfano Germany,Russia,Swartzland,Japan,Chines,Korea,Italy na mengineyo mengi.
Ni kweli. Kuna wakati nilitaka wenda kusoma Ujerumani nikaambiwa lazima nisome kijerumani. Nashukuru mpaka leo nimekijua vema🙂🙂
 
Back
Top Bottom