Habari wakuu.
Kuna huu usemi wa siku nyingi ambao huwa unanikera. Kwa mfano hatuwezi kutengeneza simu za mkononi, computer, ndege za abiria au za kijeshi, roketi na kadhalika kisa, hatuna teknolojia.
Hao wanaotengeneza hivi vitu hiyo teknolojia waliipata wapi? Kwa maono yangu teknolojia ni zao la akili ya binadamu.
Wenzetu wameshughulisha ubongo wao vizuri wakapata teknolojia hizo. Sisi tunakwama wapi na tumekopa elimu za wenzetu na tuna degree chungu tele za matawi yote ya sayansi?
Hebu tujadili hili.