Kwanini hawa Matajiri Ndugu Wawili Gharib na GSM na Saalah na Silent Ocean yake Wameliteka mno Soko la Tanzania Kibiashara?

Kwanini hawa Matajiri Ndugu Wawili Gharib na GSM na Saalah na Silent Ocean yake Wameliteka mno Soko la Tanzania Kibiashara?

Hiyo so mada ya kujadili kwa sasa mhimu kuelimishana na kujifunza kutoka kwa hao ambao wamefanikiwa kiuchumi
Umepata wapi Mamlaka ya kunipangia Mimi GENTAMYCINE cha Kuandika na Kujadili hapa JamiiForums?

Pumbavu.
 
Poor mind discuss people. Huyu mtoa mada mm nahisi wenzake Wana mgonga. Sio kwa pumba anazo andika hapa
Unavyoweka muda wako vizuri wa Kuvizia kila Thread yangu ninayoianzisha hapa JamiiForums au Post ninayoichangia ili uje Kunidhihaki, Kunichokoza, Kunishambulia ukiwa na Lengo la Kuuchafua Uzi wangu kwa Majibizano yetu yenye Maneno Makali ( ukiwa na Agenda yako Maalum ) ni Kielelezo tosha kuwa Unanifuatilia, Unanikubali na unateswa mno na Umaarufu wangu wa Kutukuka hapa.

Kabla ya Kuuanza huu Mkakati wako wa Kipumbavu na Kiuwendawazimu dhidi yangu nilikuwa na Jumla ya Followers 117 ila baada ya Kuuanzisha huu Mkakati wako huku mara nyingine ukitumia Multiple ID's zako umenisaidia kuwa na Jumla ya Followers 127 sasa huku wakizidi Kuongezeka tu, hivyo Nikushukuru kwa Kusaidia Kunipaisha hivi GENTAMYCINE hapa JamiiForums sawa?

Mwisho nikuambie kwa Kukusaidia kuwa Nishambulie uwezavyo, Nidhihaki uwezavyo na Nitukane uwezavyo ila kamwe hutoweza Kuipunguza Kasi yangu, Kuushusha Umaarufu wangu mkubwa hapa JamiiForums na kunifanya nisiwe 'Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer' hivi nilivyo.

Ushauri wangu mkubwa Kwako kila ukiwa unampigia Goti Mwenyezi Mungu jitahidi sana Umlalamikie ni kwanini hakukubariki na Shani ( Tunu ) nyingi ambazo amenibariki nazo Mimi GENTAMYCINE ikiwemo ya kunipa hii 'Natural Charm' niliyonayo ambayo ndiyo inakutesa Wewe na Wapumbavu wenzako Wote mnaonichukia hapa JamiiForums utadhani labda nimeshawahi Kulala na Mama zenu Wazazi au hata Kuwaingilia Kinyume na Maumbile ( Kuwanukudi ) hivyo nyie Watoto zao mna Hasira na Machungu nami.

Sadism is inevitable when the situation is alarming.
 
Kwasababu hatuna Rais.
Tunae ila bila Kujijua ( na kutosikia Ushauri wa Watu makini na Wazalendo wa Kweli wa Tanzania ) kawa fixed hadi kajikuta kawakumbatia 99% ya Mafia wa Tanzania hivyo hana jinsi zaidi ya Kuwatii huku akiwaogopa pia yale ya tarehe 17 Machi, 2021 yasijirejee ( yasirejee ) tena.
 
Najua mengi kwakuwa nina Akili nyingi pia sasa ulitegemea kweli Mpumbavu Mwandamizi kama Wewe hapa JamiiForums uwe Mjuaji kama Mimi GENTAMYCINE ambaye Kutwa tu mnahubiri Kunichukia lakini 24/7 mki Log In hapa ni lazima mpitie Threads zangu mbalimbali?

Mimi ndiyo GENTAMYCINE The Great!!!
Nani akuchukie mtoto mdogo kama wewe, maybe machoko wenzako.

Huna u_great wowote zaidi ya kujichoresha kwa matusi unayoandika humu, "mwenye hekima akiambiwa jambo ... "
 
Na GENTAMYCINE naendelea Kuuliza kwanini hawakuwika wala Kutamba Kipindi cha Rais Hayati Dk. Magufuli na badala yake Wameibuka kwa Kasi mno, ya Ajabu na ya Kushtua katika Awamu hii ya Daktari wa Falsafa (PhD) ya Utu na Huruma kutoka UDSM?
Ivi haina connection na home shopping centre kweli?
 
Nani akuchukue mtoto mdogo kama wewe, maybe machoko wenzako.

Huna u_great wowote zaidi ya kujichoresha kwa matusi unayoandika humu, "mwenye hekima akiambiwa jambo ... "
Mbona hata Babaako ni Choko na hushangai?
 
Unajisikiaje pale unapokuwa na tabia kama za mtoto wa miaka 5!
Wewe unajisikiaje kila mara Kutoroka Milembe Mental Hospital Mkoani Dodoma ambako huwa unapata Matibabu ya Uwendawazimu wako Uliokutukuka?
 
Hawa walitamba kipindi Cha mzee wa msoga, alipoingia tingatinga wakapotea sasa wamerejea baada ya PhD holder kufungua nchi.
Acha uongo. Umaarufu wao uliongezeka maradufu baada ya kujihusisha na Yanga! Kwahiyo unataka kusema waliingia pale Utopoloni kipindi cha Mzee wa Msoga?! Wakati ule inaoneshwa ofisi ya Bashite inayosemekana ilikarabatiwa na GSM ilikuwa enzi za Mzee wa Msoga? Kile kiwanja ambacho kimeibua mgogoro kati ya GSM na Bashite kilitolewa wakati za Mzee wa Msoga?

Wakati wa Mzee wa Msoga kulikuwa na Home Shopping Center lakini GSM ilianza enzi za Magu! Na ni GSM ndiyo kubwa maradufu compared to HSC.
 
Kwa biashara kama ya Salah lazima tu itakutengenezea pesa, unachotakiwa ni kuji-position tu!

Asilimia kubwa ya bidhaa za Tanzania zinatoka China lakini changamoto kubwa ni logistic. So, kwa biashara kama ya Salah, hata kama unaifanya kwa utakatifu wa 100% bado itakutajirisha tu kwa sababu product husika ipo kwenye demand. Wewe leo ukisema uagize bidhaa za kufikia angalau Tani 1 tu kutoka China, busara itakuelekeza utafute kampuni kama ya Salaah. Sasa ingawaje wapo wengine wanaofanya biashara za logistics, Salaah anajulikana kirahisi zaidi kwavile kwa muda mrefu amekuwa akiji-associate na celebrities, na baada ya kaka yake kuingia Utopoloni, imemfanya afahamike zaidi mbali na marketing anayofanya.

So, hakuna uchawi pale. Ukiji-associate na Simba na Utopolo, lazima utajenga tu jina la biashara! Hata wewe umeleta hii mada kwa sababu tu hao jamaa ni Utopolo! Leo hii ukisema utaje majina ya Wahindi 10 maarufu, usikute 8 yote yanakuwa associated na Simba na Utopolo!
 
Na ambaye alikoswakoswa pia kuwa 'Assassinated' mwaka 2020 baada ya kuwahiwa Kutonywa na wana Mfumo wa 'Museum' waliompenda, Ila nao walikuwa ni sehemu ya Mkakati huo.
huwa una stori za vijiweni alafu za kijinga jinga
 
Kwa biashara kama ya Salah lazima tu itakutengenezea pesa, unachotakiwa ni kuji-position tu!

Asilimia kubwa ya bidhaa za Tanzania zinatoka China lakini changamoto kubwa ni logistic. So, kwa biashara kama ya Salah, hata kama unaifanya kwa utakatifu wa 100% bado itakutajirisha tu kwa sababu product husika ipo kwenye demand. Wewe leo ukisema uagize bidhaa za kufikia angalau Tani 1 tu kutoka China, busara itakuelekeza utafute kampuni kama ya Salaah. Sasa ingawaje wapo wengine wanaofanya biashara za logistics, Salaah anajulikana kirahisi zaidi kwavile kwa muda mrefu amekuwa akiji-associate na celebrities, na baada ya kaka yake kuingia Utopoloni, imemfanya afahamike zaidi.

So, hakuna uchawi pale. Ukiji-associate na Simba na Utopolo, lazima utajenga tu jina la biashara! Hata wewe umeleta hii mada kwa sababu tu hao jamaa ni Utopolo! Leo hii ukisema utaje majina ya Wahindi 10 maarufu, usikute 8 yote yanakuwa associated na Simba na Utopolo!
umenena poa we shabiki wa kolo
 
Back
Top Bottom