GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
- #101
Wewe zaidi ya Upumbavu ulionao unajua nini tena kingine chini ya Jua na Mwezi?mleta mada hawajui hao majamaa,mgeni ktk baadhi ya mambo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe zaidi ya Upumbavu ulionao unajua nini tena kingine chini ya Jua na Mwezi?mleta mada hawajui hao majamaa,mgeni ktk baadhi ya mambo
Umepata wapi Mamlaka ya kunipangia Mimi GENTAMYCINE cha Kuandika na Kujadili hapa JamiiForums?Hiyo so mada ya kujadili kwa sasa mhimu kuelimishana na kujifunza kutoka kwa hao ambao wamefanikiwa kiuchumi
Muulize Rais wako Samia Suluhu Hassan sawa?Hivi wanalipa tozo kweli?
Na ni Sifa ya 'Manukudi' Wakomavu 'Kusapotiana' kama hivi ulivyomsapoti 'Mnukudiwa' Mwenzako. Heko....!!Sifa ya masikini hiyo kuwachukia matajiri
Unavyoweka muda wako vizuri wa Kuvizia kila Thread yangu ninayoianzisha hapa JamiiForums au Post ninayoichangia ili uje Kunidhihaki, Kunichokoza, Kunishambulia ukiwa na Lengo la Kuuchafua Uzi wangu kwa Majibizano yetu yenye Maneno Makali ( ukiwa na Agenda yako Maalum ) ni Kielelezo tosha kuwa Unanifuatilia, Unanikubali na unateswa mno na Umaarufu wangu wa Kutukuka hapa.Poor mind discuss people. Huyu mtoa mada mm nahisi wenzake Wana mgonga. Sio kwa pumba anazo andika hapa
Tunae ila bila Kujijua ( na kutosikia Ushauri wa Watu makini na Wazalendo wa Kweli wa Tanzania ) kawa fixed hadi kajikuta kawakumbatia 99% ya Mafia wa Tanzania hivyo hana jinsi zaidi ya Kuwatii huku akiwaogopa pia yale ya tarehe 17 Machi, 2021 yasijirejee ( yasirejee ) tena.Kwasababu hatuna Rais.
Nani akuchukie mtoto mdogo kama wewe, maybe machoko wenzako.Najua mengi kwakuwa nina Akili nyingi pia sasa ulitegemea kweli Mpumbavu Mwandamizi kama Wewe hapa JamiiForums uwe Mjuaji kama Mimi GENTAMYCINE ambaye Kutwa tu mnahubiri Kunichukia lakini 24/7 mki Log In hapa ni lazima mpitie Threads zangu mbalimbali?
Mimi ndiyo GENTAMYCINE The Great!!!
Ivi haina connection na home shopping centre kweli?Na GENTAMYCINE naendelea Kuuliza kwanini hawakuwika wala Kutamba Kipindi cha Rais Hayati Dk. Magufuli na badala yake Wameibuka kwa Kasi mno, ya Ajabu na ya Kushtua katika Awamu hii ya Daktari wa Falsafa (PhD) ya Utu na Huruma kutoka UDSM?
Mbona hata Babaako ni Choko na hushangai?Nani akuchukue mtoto mdogo kama wewe, maybe machoko wenzako.
Huna u_great wowote zaidi ya kujichoresha kwa matusi unayoandika humu, "mwenye hekima akiambiwa jambo ... "
Unajisikiaje pale unapokuwa na tabia kama za mtoto wa miaka 5!Kama Mamaako.
Wewe unajisikiaje kila mara Kutoroka Milembe Mental Hospital Mkoani Dodoma ambako huwa unapata Matibabu ya Uwendawazimu wako Uliokutukuka?Unajisikiaje pale unapokuwa na tabia kama za mtoto wa miaka 5!
Kikaragosi siku zote hucheza vile kinavyochezeshwa na anayekichezesha.Duuh!Kikaragosi aisee! mbona si lugha sahihi.!?
Acha uongo. Umaarufu wao uliongezeka maradufu baada ya kujihusisha na Yanga! Kwahiyo unataka kusema waliingia pale Utopoloni kipindi cha Mzee wa Msoga?! Wakati ule inaoneshwa ofisi ya Bashite inayosemekana ilikarabatiwa na GSM ilikuwa enzi za Mzee wa Msoga? Kile kiwanja ambacho kimeibua mgogoro kati ya GSM na Bashite kilitolewa wakati za Mzee wa Msoga?Hawa walitamba kipindi Cha mzee wa msoga, alipoingia tingatinga wakapotea sasa wamerejea baada ya PhD holder kufungua nchi.
Yaani unaona sifa kumwaga matusi?!Ukijaa katika 18 zangu Mimi nakurarua tu. Mpaka mnyooke na mtanyooka tu Kudadadeki.
Ikibidi.Yaani unaona sifa kumwaga matusi?!
huwa una stori za vijiweni alafu za kijinga jingaNa ambaye alikoswakoswa pia kuwa 'Assassinated' mwaka 2020 baada ya kuwahiwa Kutonywa na wana Mfumo wa 'Museum' waliompenda, Ila nao walikuwa ni sehemu ya Mkakati huo.
umenena poa we shabiki wa koloKwa biashara kama ya Salah lazima tu itakutengenezea pesa, unachotakiwa ni kuji-position tu!
Asilimia kubwa ya bidhaa za Tanzania zinatoka China lakini changamoto kubwa ni logistic. So, kwa biashara kama ya Salah, hata kama unaifanya kwa utakatifu wa 100% bado itakutajirisha tu kwa sababu product husika ipo kwenye demand. Wewe leo ukisema uagize bidhaa za kufikia angalau Tani 1 tu kutoka China, busara itakuelekeza utafute kampuni kama ya Salaah. Sasa ingawaje wapo wengine wanaofanya biashara za logistics, Salaah anajulikana kirahisi zaidi kwavile kwa muda mrefu amekuwa akiji-associate na celebrities, na baada ya kaka yake kuingia Utopoloni, imemfanya afahamike zaidi.
So, hakuna uchawi pale. Ukiji-associate na Simba na Utopolo, lazima utajenga tu jina la biashara! Hata wewe umeleta hii mada kwa sababu tu hao jamaa ni Utopolo! Leo hii ukisema utaje majina ya Wahindi 10 maarufu, usikute 8 yote yanakuwa associated na Simba na Utopolo!