Kwanini hawa Matajiri Ndugu Wawili Gharib na GSM na Saalah na Silent Ocean yake Wameliteka mno Soko la Tanzania Kibiashara?

Kwanini hawa Matajiri Ndugu Wawili Gharib na GSM na Saalah na Silent Ocean yake Wameliteka mno Soko la Tanzania Kibiashara?

Katika watu walio jipatia umaarufu humu ila nawaona lama wapuuzi moja ni GENTAMYCINE .

We jamaa kwasasa Usha kua wa kupuuzwa.
Ningepuuzwa 99% ya Wapumbavu Waandamizi ( nawe ukiwemo ) mngekuwa kila 24/7 mki Log In hapa JamiiForums ni lazima tu msome Mada zangu mbalimbali ninazoanzisha na hata Posts zangu ninazochangia?

Pumbavu.

Mimi ndiyo GENTAMYCINE The Great!!!
 
Kuna jamaa anadai wao ni wasimamizi tu wa hizo biashara. Ila mwenye mali ni jamaa ambaye Ndiye Rais wa kweli wa Tz. Achana na huyu kikaragosi wake
Na ambaye alikoswakoswa pia kuwa 'Assassinated' mwaka 2020 baada ya kuwahiwa Kutonywa na wana Mfumo wa 'Museum' waliompenda, Ila nao walikuwa ni sehemu ya Mkakati huo.
 
Jamaa amekuwa kama wanaoshinda vijiwe vya kahawa au draft.
Mbona hata 'Anayekuweka' nae huwa nashinda nae Kutwa hapo hapo katika Vijiwe vya Kahawa na wala hushangai?

Pumbavu.
 
Back
Top Bottom