MAWEED
JF-Expert Member
- Oct 11, 2016
- 3,550
- 12,239
GENTAMYCINE punguza mizozo mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yule baba keshaifanya hii nchi ni yake.Na Yeye ndiyo Mmiliki kwa 85% Mkuu.
Maskini bwana akiona tajiri anafikiri ndio kachukua hela zake. fanya kazi we maskini na wewe upate hela kama GSM acha kulilia kwenye key board.Wanawafanya Watanzania wengi kuwa Masikini ( kwa Kuwanyonya ) zaidi na kuwa Wapumbavu kama ulivyo.
Jamaa amekuwa kama wanaoshinda vijiwe vya kahawa au draft.Acha kujadili watu Dude, jadili ideas and concepts tafuta pesa zako, kama huna mada za maendeleo soma tu mada za wengine tu.
DuhKuna jamaa anadai wao ni wasimamizi tu wa hizo biashara. Ila mwenye mali ni jamaa ambaye Ndiye Rais wa kweli wa Tz. Achana na huyu kikaragosi wake
Sogeza ushahid sio kuropokwa tuNa Yeye ndiyo Mmiliki kwa 85% Mkuu.
We umenyonywa nini hadi sasa?Wanawafanya Watanzania wengi kuwa Masikini ( kwa Kuwanyonya ) zaidi na kuwa Wapumbavu kama ulivyo.
Ningepuuzwa 99% ya Wapumbavu Waandamizi ( nawe ukiwemo ) mngekuwa kila 24/7 mki Log In hapa JamiiForums ni lazima tu msome Mada zangu mbalimbali ninazoanzisha na hata Posts zangu ninazochangia?Katika watu walio jipatia umaarufu humu ila nawaona lama wapuuzi moja ni GENTAMYCINE .
We jamaa kwasasa Usha kua wa kupuuzwa.
'Mkurudungu' wangu huu Uliotukuka.We umenyonywa nini hadi sasa?
Nilionao ni ule wa jinsi 'Unavyokandamizwa' nao bila ya Huruma / Kuhurumiwa.Sogeza ushahid sio kuropokwa tu
Idiot.Hao walikuwepo tangu enzi za magu wanatamba ACHA kujadili dili UJINGA HAPA KISA UPO SIMBA UNATAKA UJADILI UPUUZI USIO NA KICHWA WALA MIGUU SO SHUT UP GENTAMICIN
Na ambaye alikoswakoswa pia kuwa 'Assassinated' mwaka 2020 baada ya kuwahiwa Kutonywa na wana Mfumo wa 'Museum' waliompenda, Ila nao walikuwa ni sehemu ya Mkakati huo.Kuna jamaa anadai wao ni wasimamizi tu wa hizo biashara. Ila mwenye mali ni jamaa ambaye Ndiye Rais wa kweli wa Tz. Achana na huyu kikaragosi wake
Mbona hata 'Anayekuweka' nae huwa nashinda nae Kutwa hapo hapo katika Vijiwe vya Kahawa na wala hushangai?Jamaa amekuwa kama wanaoshinda vijiwe vya kahawa au draft.