Kwanini hawa Matajiri Ndugu Wawili Gharib na GSM na Saalah na Silent Ocean yake Wameliteka mno Soko la Tanzania Kibiashara?

Kwanini hawa Matajiri Ndugu Wawili Gharib na GSM na Saalah na Silent Ocean yake Wameliteka mno Soko la Tanzania Kibiashara?

Mimi nampenda sana uyu gentamicine sijui kwaninišŸ˜
Asante na hujakosea huko Kunipenda kwani Mwenyezi Mungu amenibariki na Shani ( Tunu ) nyingi.

Usiache kabisa huko Kunipenda Oky?
 
Hiyo so mada ya kujadili kwa sasa mhimu kuelimishana na kujifunza kutoka kwa hao ambao wamefanikiwa kiuchumi
 
Kuna jamaa anadai wao ni wasimamizi tu wa hizo biashara. Ila mwenye mali ni jamaa ambaye Ndiye Rais wa kweli wa Tz. Achana na huyu kikaragosi wake

Duuh!Kikaragosi aisee! mbona si lugha sahihi.!?
 
Na GENTAMYCINE naendelea Kuuliza kwanini hawakuwika wala Kutamba Kipindi cha Rais Hayati Dk. Magufuli na badala yake Wameibuka kwa Kasi mno, ya Ajabu na ya Kushtua katika Awamu hii ya Daktari wa Falsafa (PhD) ya Utu na Huruma kutoka UDSM?
Hivi wanalipa tozo kweli?
 
Acha kujadili watu Dude, jadili ideas and concepts tafuta pesa zako, kama huna mada za maendeleo soma tu mada za wengine tu.
Poor mind discuss people. Huyu mtoa mada mm nahisi wenzake Wana mgonga. Sio kwa pumba anazo andika hapa
 
Anzisha App yako itakusaidia kuondoa usichopenda ila hapa jf utachapwa tu, unakuwa kero sana wkt mwingine!.

Punguza ujuaji kijana wangu!.
Najua mengi kwakuwa nina Akili nyingi pia sasa ulitegemea kweli Mpumbavu Mwandamizi kama Wewe hapa JamiiForums uwe Mjuaji kama Mimi GENTAMYCINE ambaye Kutwa tu mnahubiri Kunichukia lakini 24/7 mki Log In hapa ni lazima mpitie Threads zangu mbalimbali?

Mimi ndiyo GENTAMYCINE The Great!!!
 
Na GENTAMYCINE naendelea Kuuliza kwanini hawakuwika wala Kutamba Kipindi cha Rais Hayati Dk. Magufuli na badala yake Wameibuka kwa Kasi mno, ya Ajabu na ya Kushtua katika Awamu hii ya Daktari wa Falsafa (PhD) ya Utu na Huruma kutoka UDSM?
Kwasababu hatuna Rais.
 
Back
Top Bottom