Kwanini Hayati Dkt John Pombe Magufuli aliwafuta uongozi Humphrey Polepole na Dkt Bashiru Ally?

Ni kweli mtu mmoja kofia moja

Hili Jiwe alilisimamia hata serikalini. Ilikuwa akimteua mtu kwenye nafasi fulani alikuwa anahakikisha kuwa hana wadhifa mwingine na hili alilielezea kuwa kwa Kuwa kuna WATANZANIA wengi wenye uwezo haileti maana kumrundikia mtu mmoja vyeo!!!

Itakuwa vyema kama Rais Samia ataendeleza sera hiyo ya cheo kimoja mtu mmoja tofauti na anavyofanya katika teuzi zake!! Hivi karibuni kamteua Mwenyekiti wa bodi ya ATCL lakini licha ya kazi zake nyingine huyu aliyeteuliwa ni makamu Mwenyekiti wa bodi ya benki ya CRDB!! Pia alimteua naibu Gavana wa benki kuu kuwa mwenyekiti wa bodi ya shirik la Maendeleo [NDC]!!!
Inaelekea washauri wake are taking advantage of what they perceive as lack of attention to detail!!!

Ingemsaidia Rais Samia sometimes to seek advice kwa watu manguli wa uchumi kama Professor Lipumba anapofanya teuzi zinazohusu uendeshaji uchumi wa nchi badala ya kumtegemea Blandina pekee ambae mara zote anapendekeza wakina mama wenzie aliokutana nao kweye Repoa seminars hata pale wasipostahili!!
 
Yatima unateseka ukiwa wapi?
Mimi siwezi kuteseka kwa vitu vya kipuuzi maisha yangu yako vilevile tu haijalishi ni Magufuli au Samia, sasa kama wewe ulikuwa unateseka kwa uwepo wa Magufuli na sasa ndio unaona una furaha basi usifikiri kila mtu yupo hivyo.
 
Kweli kabisa hii
 
Kofia moja mtu mmoja nimeipenda sana,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…