Kwanini Hayati Dkt John Pombe Magufuli aliwafuta uongozi Humphrey Polepole na Dkt Bashiru Ally?

Kwani nani amekwambia wao wanalalamikia hizo nafasi
Wewe na wenzako mdo mnatabili uongo kuwa waliondolewa kwenye nafasi sasa wanahasila.
Uongo wenu mnautak uwe ndio mawazo yao huku wao hana hanali hizo.
 
Kwani nani amekwambia wao wanalalamikia hizo nafasi
Wewe na wenzako mdo mnatabili uongo kuwa waliondolewa kwenye nafasi sasa wanahasila.
Uongo wenu mnautak uwe ndio mawazo yao huku wao hana hanali hizo.
Sasa Chama kimewakosea nini?
 
Hawa chawa wanaumia Sana kukosa pa kufyonza chama kimerudi kwa waliowakejeli,
 
Baada ya uchunguzi mkuu ambao ulilamikiwa na vyama vya upinzani kwa kutokuwa huru na haki, polepole akuondolewa nafasi ya k/mwenezi, bali aliongezewa ubunge wa kuteuliwa, na kakurwa yeye alipanda cheo na kuwa balozi na kuteuliwa kuwa katibu kiongozi. Vyote vilifanyika kipindi cha jiwe, chifu alivyoingia alitengua nafasi ya katibu kiongozi na kumpa ubunge wa kuteuliwa. Sasa ueleweki unachokisema hapa!
 
Mbowe nae anapaswa kutuambia kuhusu utaratibu uliotumika mpaka yule tulieaminishwa na chama kuwa fisad papa kupewa nafas ya kugombea urais kwa njia ya kubadil gia angani au kwel jamaa hiyo nafas aliinunua???
Anzisha uzi wako juu ya hilo utajibiwa kisawa sawa acha kuchanganya mada.
 
Mwandishi wewe kiboko,
 
Najaribu kuwaza kwa Sauti kama sio Rais Samia Suluhu leo Tanzania tungekuwa wapi?
 
Eti kofia moja, kwa utaratibu wa chama chetu.
Tuanze na Mwenyekiti ajivue au mmvue cheo kimojawapo

Ajaribu mtu mwakani kwenye uchaguzi ndani ya chama angalau kuonesha nia ya kuuta Uwenyekiti Taifa uone atakavyo papurwa. Hata kama anao uwezo wa Kiuongozi kuliko mkt atambiwa ni msaliti namba moja.
 
Team JF,


MERRY CHRISTMAS AND HAPPY NEW YEAR 2022.

#TUENDELEE KUMUUNGA MKONO RAIS WETU,
 
Happy Boxing Day kwa hisani ya Mhe Samia Suluhu Hassan
 
Miradi yote iliyoachwa na Hayati Dkt John John Joseph Pombe Magufuli Rais Samia Suluhu Hassan anaitekeleza kwa 100%

Sihiyo tu tayari mingine mipya inaendelea na Ujenzi,

Tunawajibu wa kumwombea Mama huyu,
 
Ndio tuseme koti la Magufuli ni kubwa sana??

Au kuna maajabu gani yanaendelea??

Kuna nini awamu hii haitulii.

Sioni haja ya kumuingiza Magufuli katika kila jambo linalofanyika sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…