Kwanini Hayati Dkt John Pombe Magufuli aliwafuta uongozi Humphrey Polepole na Dkt Bashiru Ally?

#2025Fever itawapotezea muda wenu bure,hakuna wakumuangusha Rais Samia Suluhu Hassan kwa kazi hizi kubwa na nzuri anazozifanya,

#KAZIIENDELEE NA MAMA
 
Tuendelee kuchapa kazi,
 
Hakika kama mambo yataendelea kuwa hivi Rais Samia Suluhu Hassan atashinda Uchaguzi Huru na Haki wa 2025 kwa zaidi ya 76%
 
Kama mambo ndio haya basi Tanzania kama kuna wakati tumepata Rais bora na wa kweli nadhani ni sasa,Tufanye kazi kwa bidii sana,

Hakika huyu Mama ni Mpango wa Mungu,

#WATANZANIA TUFANYE KAZI KWA BIDII
 
" Kwa mwendo huu Tanzania tutafika tunakotaka kwenda tena kwa kuwahi sana, Hongera Mama Samia, Watanzania tuko nyuma yako We chapa kazi achana na Wasio na jema "
 
Watata sana hawa mabwana,
 
Kazi iendelee
 
Siku zinakwenda mbio sana,
 
Hiv wewe hata hujiulizi??? Katibu kiongozi mlinganishe na Katibu Mkuu wa ccm?? Katibu kiongozi mkubwa sana Sana Ndo ingine ya nchi
 
Utata mtupu, Karma
 
Aliyewavua Uongozi hawa mabwana wala sio Rais Samia Suluhu Hassan
 
Mzee aliwasoma mapema
 
Vugu-Vugu swali lako na hoja yako kwa ujumla ni nzuri. Lakini hili ni suala la wasomi au waandishi wa habari za uchambuzi kulifanyia uchunguzi wenye data na siyo kutoa majibu yanayotokana na hisia! Hata hivyo ningependa nikufikirishe. Kama wewe ungekuwa Marehemu Rais Magu wakati wa uzima wake, ukashinda uchaguzi mkuu karibu asilimia 100, je hungependa kuwapa hongera na likizo watendaji wako wakuu kwa kuwabadilishia majukumu yao? Unawabakiza kwenye Chama wafanye nini ikiwa kwa miaka 5 inayofuata Serikali ni yenu? Pili je huko walikopelekwa si ndiyo kazi kuu inakofanyika kwa miaka 5 ijayo? Je ukiwa na watu wako hao huko haikupi uhakika wa unachotaka kifanyike kikafanyika kwa mujibu wa rekodi ya utendaji wao hata kama hukubaliani na mbinu zao!? Fikiria!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…