Kwanini Hayati Dkt Magufuli aliichukia sana Kaskazini lakini sasa Rais Samia anaipenda sana hii Kanda?

Ni kweli ubaguzi kwani maendeleo yaliwa bagua Lindi kwa mfano kuwa na shule ya serikali iliyofanana na klabu pombe haramu ya gongo.
Magufuli hakuichukia kaskazini wala ni nini....
Acheni kuitenga tenga
Tatizo Jamaa alikua na maamuzi binafsi kwa hiyo yeye hakujua km yanaiharibu Nchi au kuigawa
kitendo cha kulazimisha Waziri wa Maliasili akawabebe Twiga na wanyama wengine kwa gari kuwapeleka Burigi au Chato ili tu watalii waende huko kuna siu angeuhamisha Mlima Kilimanjaro uende Chato.
Mama katumia akili sana asili ya wanyama na uoto wa maeneo hayo ya Milima hiyo miwili ni tofauti kabisa na Chato hivyo ni kuwaelekeza watalii ni wapi vivutio vipo sio kuwadanganya
chato-beach-resort.jpeg
twitter_ExL7pCSVkAIacJw.jpg
 
Tatizo Jamaa alikua na maamuzi binafsi kwa hiyo yeye hakujua km yanaiharibu Nchi au kuigawa
kitendo cha kulazimisha Waziri wa Maliasili akawabebe Twiga na wanyama wengine kwa gari kuwapeleka Burigi au Chato ili tu watalii waende huko kuna siu angeuhamisha Mlima Kilimanjaro uende Chato.
Mama katumia akili sana asili ya wanyama na uoto wa maeneo hayo ya Milima hiyo miwili ni tofauti kabisa na Chato hivyo ni kuwaelekeza watalii ni wapi vivutio vipo sio kuwadanganya

Vipi wale walio lazimisha twiga/wanyama mwitu kuingia ndani ya ndege na kupelekwa Uarabuni na Pakistan?
 
Hayo ni makosa Ila huko wakiwekwa kwenye Zoo watapona, kuliko wale waliipeleka kwenye ukame na fisi.
tuje kwa Mama, angekuwa na tamaa angewahamishia visiwani, lkn ametangaza utalii na eneo lake, huko visiwani amepatangaza vizuri sana na ongezeko tutaliona.
Mleta Mada Jesusie kwanini jamaa aliichukia maeneo km Lindi akawamwagia korosho baharini, lkn kwake akajenga uwanja wa Ndege, Mpira nk NI akili kweli?
1651134788467.png
 
View attachment 2203354
Tanzania tangu kuasisiwa kwa mfumo wa vyama vingi miongo mitatu iliyopita,

Kanda yote ya kaskazini imeanguakia kwenye mikono ya Upinzani na wapinzani,

Hayati Rais Dkt Benjamin William Mkapa ndio Rais wa kwanza kuonja shubiri ya Upinzani na Wapinzani Tanzania,

Mpinzani wa kwanza strong wa CCM alitoka kanda ya kaskazini Mkoa wa Kilimanjaro,

Mhe Dkt Augustine Lyatonga Mrema Mchaga wa Kiraracha Vunjo ndio Mtanzania wa kwanza aliyeitikisa CCM vilivyo,

Mhe Dkt Augustine Lyatonga Mrema Mchaga wa Kiraracha Vunjo aliwahi kuwa mgombea tishio wa Urais wa JMT kupitia Chama cha NCCR -Mageuzi,

Tangu enzi za Mchaga Dkt Augustino Lyatonga Mrema hadi sasa kwa akina Freeman Mbowe wa CHADEMA mchaga wa Machame Vyama vyote 19 vya Upinzani 83% vinaongozwa na watu kutoka Kanda ya kaskazi,

Kanda nzima ya kaskazini imekuwa ikionesha Upinzani mkubwa kwa CCM karibu katika kila chaguzi tangu Uchaguzi wa mwaka 1995,

Marais wote walioiongoza Tanzania baada ya mfumo wa Vyama vingi walichagua zaidi kuitenga kaskazini licha ya kaskazini kuwa mbele kimaendeleo kulikofanya na wamisionari hata kabla ya Tanzania kupata Uhuru,

Hali ilikuwa mbaya zaidi awamu ya tano pale ambapo Hayati Dkt John John Joseph Pombe Magufuli alipotamka hadharani kuwa kaskazini inapashwa kusubiri ili na maeneo mengine nayo yapate maendeleo,

Leo mambo ni tofauti sana kwa Rais Samia Suluhu Hassan kwani amemwaga miradi ambayo haijawahi kushuhudiwa huko kaskazini tangu Uhuru wa nchi hii,

Kuhusu miradi lukuki ya mabilioni inayojengwa na Rais Samia Suluhu Hassan kanda ya kaskazini nadhani kila anayeishi mikoa ya Tanga, K'njaro,Arusha na Manyara atakuwa shahidi wa yeye mwenyewe,

Nilipoona Rais Samia tena ameichagua na kuiheshimisha Arusha ya kaskazini kwa kuipa heshima kubwa ya Uzinduzi wa "Tanzania Royal Tour Film " hapa Tanzania,

Huu ukawa ushahidi wangu mwingine ulioondoa chembe ya shaka kuwa Rais wa Awamu ya Sita Mhe Samia Suluhu Hassan anaipenda sana kanda ya kaskazini kuliko Marais wote waliowahi kuiongoza Tanzania baada ya mfumo wa Vyama vingi mwaka 1992,

Mtakumbuka Rais Samia baada tu ya kuapishwa alikwenda Arusha na akatoa zaidi ya TZS 500BL sawa 80% ya bajeti nzima ya Wizara ya Maji ya Tanzania nzima akawapatia Arusha kwaajili ya Mradi mkubwa wa maji uliokwama tangu enzi za Rais Jakaya Kikwete,

Haya yote yawafungue macho wananchi wa mikoa ya Tanga, K'njaro, Arusha na Manyara kuwa CCM ya Awamu ya Sita Chini ya Mkt wake na Rais wetu Mhe Samia Suluhu Hassan inawapenda sana,

Lazima Wafahamu kuwa hivi vyama vya Upinzani wanavyovikumbatia ndio haswa mchawi wao kwenye maendeleo yao hasa wakati huu wa mfumo wa vyama vingi,

Kaskazini msipomuunga mkono huyu Mama itawachukua miaka mingi sana kupata mtu wa msaada kwenu kama huyu Mama,

NB, Ifikapo 2025 kaskazini haina chaguo zaidi ya Rais Samia Suluhu Hassan hii ni ndani na nje ya CCM, Kama kweli tunatamani kuiona kaskazini yetu inamea kwa kasi,
Alikuwa anatuogopa maana tuna akili sana.
 
Magu alifikiri watu wa Kasikazini waliendea mapema kwa kuwaibia watanzania wenzao, lakini kumbe sivyo ; Maendeleo ya watu wa kaskazini ni juhudi yao wenyewe.

Mfano mdogo tu Miaka ya 1980 wao walikuwa na shule ya sekondary kila kata, walikuwa na zahanati kila kata - wakati wilaya za mkoa kama singida unakula wilaya nzima shule mbili za Sec.
 
Kumlinganisha Rais Samia na Rais Magufuli kwenye kuipenda kaskazini ni kumuonea sana Rais Samia,

Huyu mama anatupenda sana watu wa kaskazini na kwakweli CHADEMA inakufa kabisa huku,
Utakufa wewe na ukoo wenu woote lkn cdm itazidi kushine
 
Hayo ni makosa Ila huko wakiwekwa kwenye Zoo watapona, kuliko wale waliipeleka kwenye ukame na fisi.
tuje kwa Mama, angekuwa na tamaa angewahamishia visiwani, lkn ametangaza utalii na eneo lake, huko visiwani amepatangaza vizuri sana na ongezeko tutaliona.
Mleta Mada Jesusie kwanini jamaa aliichukia maeneo km Lindi akawamwagia korosho baharini, lkn kwake akajenga uwanja wa Ndege, Mpira nk NI akili kweli?
View attachment 2203492

Upeleke Twiga Zanzibar au Simba wananchi huko wataishi kwenye ardhi ipi na hao wanyama mwitu kwenye ardhi gani? Kwani twiga si fedha kama fedha zinazo pelekwa huko hivi sasa mpaka kuzushwa maswali? Ama wewe ukiangalia twiga kumbe unaingalia kama mnyama pori wengine wanaingalia kama fedha bwashee/ amii.
 
Ukiondoa Dar na Dom.

Arusha ndiyo mkoa unaofuatia kutembelewa na Rais Samia.

Kimsingi huwezi itenga kanda ya kaskazini na ukawa na uongozi bora.

Kaskazini ni moja ya kanda yenye watu walioelimika zaidi. Hapa sihitaji kutoa faida za elimu, nadhani tunaelewa mishe zao.

Tazama idara za serikali, taasisi binafsi, vyuoni hata katika kada za kawaida kabisa makazini.

Kwa akili na uwezo anaoutumia Samia nategemea atapata uungwaji mkono sana kupitia ushawishi wao.

Tufurahie Royal Tour. Ni zawadi katika kuitangaza nchi yetu na vivutio vyake.
 
Huo mradi wa maji ulikuwepo kitambo na fedha zilishatoka.

Ndio mwaka huu katembelea Arusha mara nyingi ila hakuna mradi mpya wa awamu ya sita uliofanyika zaidi ya mradi wa kuwahamisha wamasai toka ngorongoro.
 
View attachment 2203354
Tanzania tangu kuasisiwa kwa mfumo wa vyama vingi miongo mitatu iliyopita,

Kanda yote ya kaskazini imeanguakia kwenye mikono ya Upinzani na wapinzani,

Hayati Rais Dkt Benjamin William Mkapa ndio Rais wa kwanza kuonja shubiri ya Upinzani na Wapinzani Tanzania,

Mpinzani wa kwanza strong wa CCM alitoka kanda ya kaskazini Mkoa wa Kilimanjaro,

Mhe Dkt Augustine Lyatonga Mrema Mchaga wa Kiraracha Vunjo ndio Mtanzania wa kwanza aliyeitikisa CCM vilivyo,

Mhe Dkt Augustine Lyatonga Mrema Mchaga wa Kiraracha Vunjo aliwahi kuwa mgombea tishio wa Urais wa JMT kupitia Chama cha NCCR -Mageuzi,

Tangu enzi za Mchaga Dkt Augustino Lyatonga Mrema hadi sasa kwa akina Freeman Mbowe wa CHADEMA mchaga wa Machame Vyama vyote 19 vya Upinzani 83% vinaongozwa na watu kutoka Kanda ya kaskazi,

Kanda nzima ya kaskazini imekuwa ikionesha Upinzani mkubwa kwa CCM karibu katika kila chaguzi tangu Uchaguzi wa mwaka 1995,

Marais wote walioiongoza Tanzania baada ya mfumo wa Vyama vingi walichagua zaidi kuitenga kaskazini licha ya kaskazini kuwa mbele kimaendeleo kulikofanya na wamisionari hata kabla ya Tanzania kupata Uhuru,

Hali ilikuwa mbaya zaidi awamu ya tano pale ambapo Hayati Dkt John John Joseph Pombe Magufuli alipotamka hadharani kuwa kaskazini inapashwa kusubiri ili na maeneo mengine nayo yapate maendeleo,

Leo mambo ni tofauti sana kwa Rais Samia Suluhu Hassan kwani amemwaga miradi ambayo haijawahi kushuhudiwa huko kaskazini tangu Uhuru wa nchi hii,

Kuhusu miradi lukuki ya mabilioni inayojengwa na Rais Samia Suluhu Hassan kanda ya kaskazini nadhani kila anayeishi mikoa ya Tanga, K'njaro,Arusha na Manyara atakuwa shahidi wa yeye mwenyewe,

Nilipoona Rais Samia tena ameichagua na kuiheshimisha Arusha ya kaskazini kwa kuipa heshima kubwa ya Uzinduzi wa "Tanzania Royal Tour Film " hapa Tanzania,

Huu ukawa ushahidi wangu mwingine ulioondoa chembe ya shaka kuwa Rais wa Awamu ya Sita Mhe Samia Suluhu Hassan anaipenda sana kanda ya kaskazini kuliko Marais wote waliowahi kuiongoza Tanzania baada ya mfumo wa Vyama vingi mwaka 1992,

Mtakumbuka Rais Samia baada tu ya kuapishwa alikwenda Arusha na akatoa zaidi ya TZS 500BL sawa 80% ya bajeti nzima ya Wizara ya Maji ya Tanzania nzima akawapatia Arusha kwaajili ya Mradi mkubwa wa maji uliokwama tangu enzi za Rais Jakaya Kikwete,

Haya yote yawafungue macho wananchi wa mikoa ya Tanga, K'njaro, Arusha na Manyara kuwa CCM ya Awamu ya Sita Chini ya Mkt wake na Rais wetu Mhe Samia Suluhu Hassan inawapenda sana,

Lazima Wafahamu kuwa hivi vyama vya Upinzani wanavyovikumbatia ndio haswa mchawi wao kwenye maendeleo yao hasa wakati huu wa mfumo wa vyama vingi,

Kaskazini msipomuunga mkono huyu Mama itawachukua miaka mingi sana kupata mtu wa msaada kwenu kama huyu Mama,

NB, Ifikapo 2025 kaskazini haina chaguo zaidi ya Rais Samia Suluhu Hassan hii ni ndani na nje ya CCM, Kama kweli tunatamani kuiona kaskazini yetu inamea kwa kasi,

Mama anatupenda watanzania wote na sio kaskazini pekee mzehe,,, na uisilamu unatutaka tupendane, tuhurumiane na amani iwepo, Viongozi wa kiislamu wana huruma, utu, upendo n.k,, kuna wakristo pia wanatambua hili.

Turudi nyuma, umesema
Tangu enzi za Mchaga Dkt Augustino Lyatonga Mrema hadi sasa kwa akina Freeman Mbowe wa CHADEMA mchaga wa Machame Vyama vyote 19 vya Upinzani 83% vinaongozwa na watu kutoka Kanda ya kaskazini 😁 Hata mchanga ni mwingi kuliko almasi, lakini yenye thamani zaidi ya mwenzie ni almasi upo hapo!!,,,,sasa tuvyama twenu %83 tumeshindwa kumng'oa ccm miaka yote hiyo, kweli!! Alafu unajisifu mnamiliki vyama vingi 😁 hivyo vyama vingelikua ndiyo usukumani n.k naamini vingeleta upinzani mkubwa sana na hata kuing'oa ccm. So, hapa tatizo kubwa naloliona ni (UCHAGGA) ubinafsi mwingi sana ila wachache wanajitambua.

Naahene nkoi, dugwisanga
 
Ukiondoa Dar na Dom.

Arusha ndiyo mkoa unaofuatia kutembelewa na Rais Samia.

Kimsingi huwezi itenga kanda ya kaskazini na ukawa na uongozi bora.

Kaskazini ni moja ya kanda yenye watu walioelimika zaidi. Hapa sihitaji kutoa faida za elimu, nadhani tunaelewa mishe zao.

Tazama idara za serikali, taasisi binafsi, vyuoni hata katika kada za kawaida kabisa makazini.

Kwa akili na uwezo anaoutumia Samia nategemea atapata uungwaji mkono sana kupitia ushawishi wao.

Tufurahie Royal Tour. Ni zawadi katika kuitangaza nchi yetu na vivutio vyake.

Mkoa upi unaongoza kwa ukatili, wizi, ujambazi na roho mbaya??? Ingawa co wote.
 
View attachment 2203354
Tanzania tangu kuasisiwa kwa mfumo wa vyama vingi miongo mitatu iliyopita,

Kanda yote ya kaskazini imeanguakia kwenye mikono ya Upinzani na wapinzani,

Hayati Rais Dkt Benjamin William Mkapa ndio Rais wa kwanza kuonja shubiri ya Upinzani na Wapinzani Tanzania,

Mpinzani wa kwanza strong wa CCM alitoka kanda ya kaskazini Mkoa wa Kilimanjaro,

Mhe Dkt Augustine Lyatonga Mrema Mchaga wa Kiraracha Vunjo ndio Mtanzania wa kwanza aliyeitikisa CCM vilivyo,

Mhe Dkt Augustine Lyatonga Mrema Mchaga wa Kiraracha Vunjo aliwahi kuwa mgombea tishio wa Urais wa JMT kupitia Chama cha NCCR -Mageuzi,

Tangu enzi za Mchaga Dkt Augustino Lyatonga Mrema hadi sasa kwa akina Freeman Mbowe wa CHADEMA mchaga wa Machame Vyama vyote 19 vya Upinzani 83% vinaongozwa na watu kutoka Kanda ya kaskazi,

Kanda nzima ya kaskazini imekuwa ikionesha Upinzani mkubwa kwa CCM karibu katika kila chaguzi tangu Uchaguzi wa mwaka 1995,

Marais wote walioiongoza Tanzania baada ya mfumo wa Vyama vingi walichagua zaidi kuitenga kaskazini licha ya kaskazini kuwa mbele kimaendeleo kulikofanya na wamisionari hata kabla ya Tanzania kupata Uhuru,

Hali ilikuwa mbaya zaidi awamu ya tano pale ambapo Hayati Dkt John John Joseph Pombe Magufuli alipotamka hadharani kuwa kaskazini inapashwa kusubiri ili na maeneo mengine nayo yapate maendeleo,

Leo mambo ni tofauti sana kwa Rais Samia Suluhu Hassan kwani amemwaga miradi ambayo haijawahi kushuhudiwa huko kaskazini tangu Uhuru wa nchi hii,

Kuhusu miradi lukuki ya mabilioni inayojengwa na Rais Samia Suluhu Hassan kanda ya kaskazini nadhani kila anayeishi mikoa ya Tanga, K'njaro,Arusha na Manyara atakuwa shahidi wa yeye mwenyewe,

Nilipoona Rais Samia tena ameichagua na kuiheshimisha Arusha ya kaskazini kwa kuipa heshima kubwa ya Uzinduzi wa "Tanzania Royal Tour Film " hapa Tanzania,

Huu ukawa ushahidi wangu mwingine ulioondoa chembe ya shaka kuwa Rais wa Awamu ya Sita Mhe Samia Suluhu Hassan anaipenda sana kanda ya kaskazini kuliko Marais wote waliowahi kuiongoza Tanzania baada ya mfumo wa Vyama vingi mwaka 1992,

Mtakumbuka Rais Samia baada tu ya kuapishwa alikwenda Arusha na akatoa zaidi ya TZS 500BL sawa 80% ya bajeti nzima ya Wizara ya Maji ya Tanzania nzima akawapatia Arusha kwaajili ya Mradi mkubwa wa maji uliokwama tangu enzi za Rais Jakaya Kikwete,

Haya yote yawafungue macho wananchi wa mikoa ya Tanga, K'njaro, Arusha na Manyara kuwa CCM ya Awamu ya Sita Chini ya Mkt wake na Rais wetu Mhe Samia Suluhu Hassan inawapenda sana,

Lazima Wafahamu kuwa hivi vyama vya Upinzani wanavyovikumbatia ndio haswa mchawi wao kwenye maendeleo yao hasa wakati huu wa mfumo wa vyama vingi,

Kaskazini msipomuunga mkono huyu Mama itawachukua miaka mingi sana kupata mtu wa msaada kwenu kama huyu Mama,

NB, Ifikapo 2025 kaskazini haina chaguo zaidi ya Rais Samia Suluhu Hassan hii ni ndani na nje ya CCM, Kama kweli tunatamani kuiona kaskazini yetu inamea kwa kasi,
Wewe ni mtumwa wa akili; JPM hajawahi kuichukia Kaskazini hata siku moja nenda mitaani uzungumze na wenyeji halisi watakupa mrejesho walionao. Watakwambia walivyokuwa wanaaminishwa na wanasiasa sivyo alivyokuwa, maana wamejionea wenyewe kilnachotokea sasa kwa kulinganisha na hapo kabla kwamba kumbe walikuwa wanafundishwa kujipatia kipato kwa njia za halali, kuendelea kufanya kazi kwa ubunifu na kuachana na dhana za mbinu za zamani kwatika kujiletea maendeleo.

Kuzinduliwa filamu ambayo juna hata hati miliki nayo unaanza kujitapa. Wewe unavyoonekana ndiye mmojawapo uliyekuwa unamchukia JPM kwa kukoksa fursa hewa kama hizi unatoa sifa ambazo hazipo.

Nikuulize swali; je, ni lini watu walianza kuandika Mbowe sio gaidi kama sio zama hizi? Kwenye hospitali ya Mawenzi kuliandikwa Mbowe hakuna gaidi, Iringa kila mahali pameandikwa Mbowe sio gaidi, baadhi ya maeneo Morogoro waliandika Mbowe sio gaidi kwenye mawe, kuta, barabara nk halafu leo unataka kuwadanganya huyo anawapenda!!!! Kitu gani kakifanya mpaka sasa stendi na soko kuu Moshi mjini hapaeleweki, Arusha hapaeleweki. Hata ukimpamba namna gani hapambiki kamwe
 
Za chinichini b.mkubwa nasikia kawekeza hatari huko Arusha vitalu mahoteli etc
 
Huo mradi wa maji wa Arusha unaosemwa Sana ulianza kwa Kikwete na kudaiwa ametoa hizi bil 500, Kwenye ziara ya kwanza ya Magu Arusha aliuzindua mradi huo na kudai ametoa tena hizo bil500 ,sasa unatuambia Samia ndio katoa hizo bil 500.
Hekaya za Abuu Nuwas
 
Huenda hufahamu chochote kuhusu huu mradi wa Maji, ni bora sana ungekaa kimya,
 
View attachment 2203354
Tanzania tangu kuasisiwa kwa mfumo wa vyama vingi miongo mitatu iliyopita,

Kanda yote ya kaskazini imeanguakia kwenye mikono ya Upinzani na wapinzani,

Hayati Rais Dkt Benjamin William Mkapa ndio Rais wa kwanza kuonja shubiri ya Upinzani na Wapinzani Tanzania,

Mpinzani wa kwanza strong wa CCM alitoka kanda ya kaskazini Mkoa wa Kilimanjaro,

Mhe Dkt Augustine Lyatonga Mrema Mchaga wa Kiraracha Vunjo ndio Mtanzania wa kwanza aliyeitikisa CCM vilivyo,

Mhe Dkt Augustine Lyatonga Mrema Mchaga wa Kiraracha Vunjo aliwahi kuwa mgombea tishio wa Urais wa JMT kupitia Chama cha NCCR -Mageuzi,

Tangu enzi za Mchaga Dkt Augustino Lyatonga Mrema hadi sasa kwa akina Freeman Mbowe wa CHADEMA mchaga wa Machame Vyama vyote 19 vya Upinzani 83% vinaongozwa na watu kutoka Kanda ya kaskazi,

Kanda nzima ya kaskazini imekuwa ikionesha Upinzani mkubwa kwa CCM karibu katika kila chaguzi tangu Uchaguzi wa mwaka 1995,

Marais wote walioiongoza Tanzania baada ya mfumo wa Vyama vingi walichagua zaidi kuitenga kaskazini licha ya kaskazini kuwa mbele kimaendeleo kulikofanya na wamisionari hata kabla ya Tanzania kupata Uhuru,

Hali ilikuwa mbaya zaidi awamu ya tano pale ambapo Hayati Dkt John John Joseph Pombe Magufuli alipotamka hadharani kuwa kaskazini inapashwa kusubiri ili na maeneo mengine nayo yapate maendeleo,

Leo mambo ni tofauti sana kwa Rais Samia Suluhu Hassan kwani amemwaga miradi ambayo haijawahi kushuhudiwa huko kaskazini tangu Uhuru wa nchi hii,

Kuhusu miradi lukuki ya mabilioni inayojengwa na Rais Samia Suluhu Hassan kanda ya kaskazini nadhani kila anayeishi mikoa ya Tanga, K'njaro,Arusha na Manyara atakuwa shahidi wa yeye mwenyewe,

Nilipoona Rais Samia tena ameichagua na kuiheshimisha Arusha ya kaskazini kwa kuipa heshima kubwa ya Uzinduzi wa "Tanzania Royal Tour Film " hapa Tanzania,

Huu ukawa ushahidi wangu mwingine ulioondoa chembe ya shaka kuwa Rais wa Awamu ya Sita Mhe Samia Suluhu Hassan anaipenda sana kanda ya kaskazini kuliko Marais wote waliowahi kuiongoza Tanzania baada ya mfumo wa Vyama vingi mwaka 1992,

Mtakumbuka Rais Samia baada tu ya kuapishwa alikwenda Arusha na akatoa zaidi ya TZS 500BL sawa 80% ya bajeti nzima ya Wizara ya Maji ya Tanzania nzima akawapatia Arusha kwaajili ya Mradi mkubwa wa maji uliokwama tangu enzi za Rais Jakaya Kikwete,

Haya yote yawafungue macho wananchi wa mikoa ya Tanga, K'njaro, Arusha na Manyara kuwa CCM ya Awamu ya Sita Chini ya Mkt wake na Rais wetu Mhe Samia Suluhu Hassan inawapenda sana,

Lazima Wafahamu kuwa hivi vyama vya Upinzani wanavyovikumbatia ndio haswa mchawi wao kwenye maendeleo yao hasa wakati huu wa mfumo wa vyama vingi,

Kaskazini msipomuunga mkono huyu Mama itawachukua miaka mingi sana kupata mtu wa msaada kwenu kama huyu Mama,

NB, Ifikapo 2025 kaskazini haina chaguo zaidi ya Rais Samia Suluhu Hassan hii ni ndani na nje ya CCM, Kama kweli tunatamani kuiona kaskazini yetu inamea kwa kasi,
Rais Samia ndo mtu sahihi wa kuongoza hii nchi mpaka yesu arudi.
 
Back
Top Bottom