Kwanini Hayati Dkt Magufuli aliichukia sana Kaskazini lakini sasa Rais Samia anaipenda sana hii Kanda?

Kwahiyo kama pato halilingani na Ilala unaona ni sawa wao kunyimwa maendeleo? Chato ni ya ngapi kwa mapato?
Hiyo mikoa Ina lami na shule nyingi siku nyingi wakati sehemu zingine lami ikiwa hadithi ya kusadikika,unasemaje wamenyimwa maendeleo!?
 
CHADEMA TUPA KULE,
 
Kaskazini
kaskazini tunaenda na mama ,umetibu majeraha kwa kiasi kikubwa ,ubarikiwe sana mama yetu mpendwa
 
kwani kutochagua chama tawala ndo iwe sababu ya serikali kutopeleka maendeleo????nn maana ya vyama vingi kama hamtaki kupingwa??????
 
Unaposema "Tangu uhuru wa nchi hii" unataka kumaanisha nini??

Sent from my SM-A115AZ using JamiiForums mobile app
 
watu wa kaskazini sasa wanamkubali Rais Samia kwa moyo mmoja bila hiyana.
 
Tunakuhakikishia 2025 hali ya upinzani itarudi kama ilivyokuwa 2015. Watu wa kaskazini hawawezi kukubaliana na uozo wa CCM.
 
Aliyekuambia duniani kuna uwiano ni nani? Unajua maana ya vidole kupishana urefu? Hatulingani. Hata nchi zilizoendekea yako majimbo ni tajiri kuliko mengine. Halafu Kilimanjaro utajiri wao ni wa kupambana. Utamlinganisha na Mndengereko? Hata hivyo pamoja na kuwa Yule Shetani anayeeoza ardhini alikandamiza Kilimanjaro ikiwemo hata Mtangulizi wake lakini bado Kilimanjaro iko vizuri. Walichofanya baada ya Hizo awamu mbili kuwabagua waliunda Umoja wa Maendeleo kila Eneo wakaanza kujichangisha wakajenga barabara zao au kuongezea nguvu TARURA ili waongeze kilometer za barabara. Sasa hawa watu wapambanaji unataka eti kuwaambia mambo ya uniformity. Chuki ya Magufuli kaskazini ilikuwa ya ajabu mno. Msoga aliichukia lakini kwa kiasi.

Huyu Mh. Rais Samia anajua umuhimu wa Kilimanjaro na Arusha ndiyo maana anazitendea haki.

Lile Jitu life mara Saba.
 

Vidole havilingani lakini vinaitwa vidole sio? Na ndio hiyo uniformity yenyewe inayolengwa. Walichangishana wapi bwana wee wakati kuna eneo wametawaliwa na ulevi mpaka wake zao wanatamani kuvuka kwenda Kenya kutimiza haja za miili yao.

Kama kulijengwa barabara yeyote kipindi hiko jua ni serikali ya JPM ilifanya lakini kwa roho za kutu za baadhi yao wenye hiyo chuki na kuhakikishia kamwe they will never appriciate that, wataendelea kupotosha as long as wanayo maslahi na huo upotoshaji.
 

Utalii ni 17% ya pato la taifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…