Kwanini Hayati Magufuli alikosa ujasiri kama wa Museveni kipindi kile Makonda anapambana na mashoga?

Kwa mimi mtetezi wa legasi huu uzi unatia uchungu nimejikaza kisabuni kuja kucomment kuwakilisha chama letu.
 
Mbona Clips zipo mtandaoni Magu akilaani ushoga
 
Umesahau mzee magu alikuwa anakemea sana kuhusu ushoga hadi siku moja akatoa mfano hata wa wanyama na kusema, huwa hawakosei na kuingiza kwenye tundu ambalo silo.
 
Umesahau mzee magu alikuwa anakemea sana kuhusu ushoga hadi siku moja akatoa mfano hata wa wanyama na kusema, huwa hawakosei na kuingiza kwenye tundu ambalo silo.
Kukemea kwa maneno haitoshi, Makonda alianza kupigana na ushoga kwa vitendo, Serikali ya Magufuli ikamkana
 
Museven Kashajichokea kwa uzee ndio maana anaona hata akiadhibiwa na mabeberu haina shida kwa sababu siku zake za kuelekea kwenye moto wa milele zimekaribia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…