Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alikuwa msema kweli na mpenzi wa MunguNdio ulivyopigwa fix si ndio?
Magufuli alikuwa mwoga kumbe?Saiz Kuna uhuru wa mataifa kujiamria mambo yake. Marekani na west hawaogopwi kama zamani. Hii vita imeleta uhuru flan hiv.
Kama tunavyokumbuka awamu ya 5, aliyekuwa mkuu wa Mkoa wa Dar Paul Makonda alianzisha vita kali dhidi ya ushoga.
Baada ya muda kidogo vyombo mbalimbali habari nje ya nchi vikaripoti kuwa mashoga hawako salama Tanzania.
Serikali ya Magufuli kupitia waziri wake wa mambo ya nje wakasema mashoga wapo salama Tanzania na kuwa vita ya makonda haikuwa na baraka za serikali kuu na Makonda kupewa karipio kali.
Nauliza kwa nini Magufuli alikosa ujasiri kama wa Museveni wa kukaza kuhusu mashoga? Yaani akatoa uhakika kuwa mashoga wapo salama Tanzania?
RubbishAlikuwa msema kweli na mpenzi wa Mungu
Mbona Clips zipo mtandaoni Magu akilaani ushogaKama tunavyokumbuka awamu ya 5, aliyekuwa mkuu wa Mkoa wa Dar Paul Makonda alianzisha vita kali dhidi ya ushoga.
Baada ya muda kidogo vyombo mbalimbali habari nje ya nchi vikaripoti kuwa mashoga hawako salama Tanzania.
Serikali ya Magufuli kupitia waziri wake wa mambo ya nje wakasema mashoga wapo salama Tanzania na kuwa vita ya makonda haikuwa na baraka za serikali kuu na Makonda kupewa karipio kali.
Nauliza kwa nini Magufuli alikosa ujasiri kama wa Museveni wa kukaza kuhusu mashoga? Yaani akatoa uhakika kuwa mashoga wapo salama Tanzania?
Umesahau mzee magu alikuwa anakemea sana kuhusu ushoga hadi siku moja akatoa mfano hata wa wanyama na kusema, huwa hawakosei na kuingiza kwenye tundu ambalo silo.Kama tunavyokumbuka awamu ya 5, aliyekuwa mkuu wa Mkoa wa Dar Paul Makonda alianzisha vita kali dhidi ya ushoga.
Baada ya muda kidogo vyombo mbalimbali habari nje ya nchi vikaripoti kuwa mashoga hawako salama Tanzania.
Serikali ya Magufuli kupitia waziri wake wa mambo ya nje wakasema mashoga wapo salama Tanzania na kuwa vita ya makonda haikuwa na baraka za serikali kuu na Makonda kupewa karipio kali.
Nauliza kwa nini Magufuli alikosa ujasiri kama wa Museveni wa kukaza kuhusu mashoga? Yaani akatoa uhakika kuwa mashoga wapo salama Tanzania?
Sasa mbona kipindi kile waziri wake alisema mashoga wapo salama Tanzania?Mbona Clips zipo mtandaoni Magu akilaani ushoga
Kukemea kwa maneno haitoshi, Makonda alianza kupigana na ushoga kwa vitendo, Serikali ya Magufuli ikamkanaUmesahau mzee magu alikuwa anakemea sana kuhusu ushoga hadi siku moja akatoa mfano hata wa wanyama na kusema, huwa hawakosei na kuingiza kwenye tundu ambalo silo.
Hapo sasa sijui😆😂Kukemea kwa maneno haitoshi, Makonda alianza kupigana na ushoga kwa vitendo, Serikali ya Magufuli ikamkana
Magufuli aliogopa nini?Museven Kashajichokea kwa uzee ndio maana anaona hata akiadhibiwa na mabeberu haina shida kwa sababu siku zake za kuelekea kwenye moto wa milele zimekaribia View attachment 2571291
Ni hatariHapo sasa sijui😆😂
😄😄Ngoja kwanza vijana walinzi wa ligasi waje, utaoga kila aina ya matusi
😂😂😂Ni hatari
Kwa nini?Muda kidogo utasikia Museveni akisema "ndio Mzee" kwa Marekani.
😕😕😂Ngoja kwanza vijana walinzi wa ligasi waje, utaoga kila aina ya matusi