Kwanini Hayati Magufuli alikuwa hapendwi jimboni kwake?

Uchaguzi gani wa 2022?!, aliunajisia wapi wakati alikuwa tayari yuko 6ft under?!.
I know you ment uchaguzi wa 2020!, kiukweli sio yeye ni yale majinga kule 'sehemu' yalimponza!.
P.

Sio kweli maana tabia ya wizi wa kura anayo toka akiwa mbunge. Hakuna ubunge aliwahi kushinda kihalali. Tabia zake binafsi ndio alizihamishia kwenye cheo chake cha urais. Hao wajinga unaowasema walitekeleza alichotoka yeye.
 
Duuuh
 
Nimecheka kama mazuri vile
 
Hakika Mungu anaipenda Tanzania
 
Uongo umekuwa mwingi kwenye huu uzi,,
Huyo Goro enzi za ndg yake hadi tiss walikuwa na zamu ya kumlinda eti leo alinyanyaswa watu ni waongo kinoma
Nachojua mapenzi kww mama yake yalitokana na historia yake, mama yake aligombana na mumewe(Joseph) akaamua kurudi kwao visiwani nkome katika kipindi hicho akapata hawara (baba mzazi wa hayati na inasemekana alikuwa muhaya) ndipo kupata ujauzito wa hayati John, akarudi kww mumewe akiwa mjamzito mume haikumpendeza ikawa magomvi juu ya ujauzito, ila hakuwa na namna akampokea mimba ikalelewa mtoto akazaliwa na maisha mengine yakaendelea, akaongeza watoto wengine, kwahiyo Magufuli hapo ni kwa baba yake wa kambo, sio baba mzazi, katika makuzi hayati alibaguliwa na huyo baba wa kambo ni mama yake tu ndiye alikuwa mtetezi wake hata shule mama yake ndie alipambana asome sababu baba yake wa kambo hakutaka hayati aende shule hivyo alikuwa akimtuma sana kwenda machungani,, hata wakati wa kugawa ardhi hayati hakugawiwa ardhi ya urithi ikabidi mama amfanyie mpango kijana wake kununua ardhi katika familia hiyo hiyo maana kanda hiyo pasipo urithi wa ardhi unaonekana km huna kwenu, ndipo hayati kupata ardhi na akawa km mmoja wa wanafamilia na akauziwa shamba la pembeni huko km kumtupa(Rubambangwe),

Huyo ndugu aliyemfanyia ukatili ni moja ya wale waliokuwa wakimbagua na kumkataa enzi akiwa mdogo hata mie ningekuwa kwenye nafasi hiyo ningemuonesha tu kuwa mi ni nani

Punguzeni uongo uongo, mara uchawi wa mama yake,, kww hadithi hiyo kwanini asimpende mama yake ndo ndg yake wa kweli aliyempambania ktk mazingira magumu mpaka kufikia uraisi,, kifo cha dada yake kilimuumiza sana sababu ndiye ndg aliyekuwa akimuhudumia mama yake kwa ukaribu na hata alivyofariki mama yake alitetereka sana kiafya
 
Na bado kwenye uchaguzi mkawapa ccm kura za kutosha. Wamakonde kwa ccm hampindui
Uchaguzi upi tuliwapa CCM kura au unajiongelesha tu? Hebu nikuhesabie jimbo la mtwara mjini tulitumia nguvu mno ya kulinda matokeo mpaka usiku wa manane mbunge wa upinzani akatangazwa,,, jimbo la tandahimba watu walikuwa tayari kwa lolote ilimradi mpinzani atangazwe na kweli wakamtangaza,jimbo la ndanda hali ni hiyo watu walikaba mpaka mpinzani akatangazwA,jimbo la newala ukawa waliongoza kila kitu kuanzia madiwani mpaka kura za raisi na mbunge ila ukatumika ubabe sana captain mkuchika akajitangaza mwenyewe
 
Kapeace we unaonekana ni mwanafamilia ya jiwe usibishe,hizi info ni za kweli na wanaozifajamu ni wachache sana
 
Inashangaza kina Kikwete walitukosea Sana Kama Taifa kumfanya Rais mtu asiye na maadili na mhuni Kama Magufuli.
 
Kapeace, mpigie simu mayeka simon mayeka, dc wa chunya akupe kisa cha shem wake goro kusulubiwa na joni.

tiss kulinda familia ya rais ni kawaida, hata mkwe wa maza mchengelwa analindwa.

je, wajua kuwa joni aliwalamba mateke wajukuu wa joseph siku ya msiba wa joseph?

je wajua mtoto wa kwanza wa john, suz, mke wa jaji ali.....
 
😁😁😁😁 Yule jamaa alikuwa na Laana sio bure 😜😜
 
Hilo la namba 2 Ni uongo sio kwa wote labda jamii duni na ambazo hazijastaarabika.
 
Kwenye kuamini uchawi tu unajianika wewe ni mtu wa aina gani, huwa sinaga muda kujibizana na mburula, mie niwaulize ili? Itanisaidia nini??
Hivi ndugu aliyezaliwa kwa mazingira hayo unategemea ndugu zake wa kambo walimtreat vipi au unadhani ndg zake walijisikije ndg waliyemkataa na kumbagua ndie kawa mwenye nafasi kubwa na mbeba jina la ukoo(na jina asilo na mahusiano nalo ya kidamu) kwamba wampende!!!,, yani maswali mengine hayahitaji kuingia darasani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…