Kwanini Hayati Magufuli alikuwa hapendwi jimboni kwake?

Nimeongelea jimbo lenye makabila ,sio mkoa,na hayo unayoita makabira huko mara ni koo,kitaalamu hazijagraduate kuwa makabila,wanyanchari,wanyanchoka etc
Chato kuna waha wengi? Uongo uongo tu usio na tija! Chato jamii kubwa ni Wasubi ,wasukuma na wahangaza!
 
Alishindwa Ubunge kila mwaka! Kwani uchaguzi ukifanyika kila mwaka huko Chato? 1990 ndiyo kila mwaka? 1995 vip? 2000, 2005, 2010 vip alishindwa pia?
Tunaanza na 1985 alichapika haijapata kutokea ikabidi arudi kufundisha sengerema AKAJA Tena 1990 akachezea Tena za uso Toka Kwa stleka matata failes Kabuye pona yake 1995 Jimbo liligawika ikabidi akimbilie chato ambako Nako hata sio Kwao kama alivokua akijitangaza ushamba wananzengo ukambeba akapita bila kupigwa kwa ujumla haziweza siasa za ushindani.
 
Wewe sio mshamba Mwananzengo?
 
Mimi ni msukuma hakuna msukuma mwenye asili ya chato kumbuka chato wenyeji ni wahaya wanyambo na ilikua Kagera mleba DC upoo?
Mimi sijazungumzia wenyeji wa chato jamii nyingi hata geita katoro na Kahama sio ya wasukuma kwa asili ila majority kwa sasa ni wasukuma!
Mimi nakushangaa Kusema Chato waha ni wengi lakini ukweli ni kwamba waha chato ni wachache sana maana shughuli nyingi za waha hasa wanapokuwa wahamiaji ni biashara ndogo ndogo sio uvuvi wala kilimo!
Waha wengi wapo mjini wakifanya biashara hasa ya maduka na masokoni!
Kwa chato wapo ila sio wengi wakuweza Kusema ni majority!
 
Pale alipojenga ni ardhi ya baba yake, hii ilizua ugomvi na mdogo wake kwa nini ajenge katika ardhi ya familia kabla hawajagawana, wakati huo dogo alikuwa mwanasheria musoma, JPM (akianza ukatiki na dhulma zamani) akamtumia difenda la polisi likamtoa musoma mpaka Chato, hapo ndio wanachato walipomchukia zaidi kwa kuwa walijua anamuonea. Hakuishia hapo, alimbania sana katika mambo mengi.

Pale rubambangwe Kuna mlima, pale palijengwa makazi ya mkuu wa wilaya, lakini tangu yajengwe, hapajawahi kukaliwa na mkuu wa wilaya, baadae JPM akawapa PCCB.

Ukweli ni kwamba maeneo yale ni gambushi(Kijiji Cha wachawi). Kuna habari kwamba zamani enzi ya shida ya usafiri, watu kuamka usiku wa manane kusubiri mabasi, kuna mabasi ya kichawi yalikuwa yanapita pale yakifanana kwa Kila kitu na mabasi ya kawaida na makondakta wale wale wakiita abiria wa mwanza/bukoba, ukipanda tu, unajikuta uko gambushi.

Chato Ina gambushi zaidi ya tano, moja iko makurugusi, hiyo ni kitongoji kabisa, na Serikali imekisajili, kinaitwa gambushi.

JPM enzi ya kampeni ya ubunge alikuwa lazima aende na mama yake mzazi katika kampeni, inasemekana mama yake ni "master sana" kwenye yale mambo yetu. Wengine wanasema ndio maana afya ya mama ilipoyumba, mwamba aliyumba sana kiakili, akabeba mashine za oksijeni za serikali popote zilipo mama akawekewa nyumbani, na daktari bingwa kabisa. Kwa hiyo akawa hawezi kuupiga u-master, yaani beki zikawa hazikabi, fowadi zikawa zinatumbukiza magoli tu kumlenga JPM.

Mara sister naye, nadhani alikuwa kaimu master akadanja, mwamba ilabidi acheze mpira peke yake dhidi ya timu ya watu 11. Kuna video moja ilitembea ya JPM akilia sana, wataalamu walielewa maana yake nini, kwamba Sasa ukuta wa Berlin umevunjika, na wanyama wakali waleee wanaunguruma kwa hasira wakisubiri chakula yao

Mwanzoni alikiwa hakosi kwenda Chato, jioni anazama ndani ya Ile midude mi V8, faster kibirizi, anageuka, kazi ikawa mingi, ikashindikana........basi ndio hivyo tena.

Aliwahi kuwashusha watu na maiti katika gari hoteli yake. Mdogo wake Gordian aliwapa msaada wa usafiri kwe da kuzika, wanaanza safari, wakafika mbali, mwamba akapata taarifa, akawaambia shusha hao watu hapohapo gari zirudi nyumbani.

Alikuwa anawachapa viboko dada zake wakubwa wameolewa kabisaa.
..............
 
Una asili ya kaubishi MHA kaijua biashara miaka ya kalibuni kazi ya MHA ni vibalua vya kulima na kuchunga ng'ombe wa wasukuma hicho neicho kimefanya KUWA wengi ukanda huo hata baba yake magufuli kafika huko kufanya vibalua vya kulima na kuchunga ng'ombe wa wasukuma
 
Ni kweli cos ata mwenyewe alishasema kuwa hajaja kuuza sura, ye kaja kufanya kazi! Lakini ili lakusema wazee wanye mavi yao wayafanye Lami huyu kamsingizia.
Kama aliweza kuwaambia huko pwani bakini na mavi yenu atashindwa nini kuwaambia hao wazee wanye mavi yao iwe lami? Mzee alikua anapenda sana mavi hatuelewi kwanini.
 
Hakuwahi chaguliwa alijipitisha bila kupingwa
Kuna mgombea mwenzake alimuahidi Hela ili asirudishe fomu yeye apite bila kupingwa. Siku ya mwisho kurudisha fomu akamwambia afate Hela Dsm, akamtafutia hotel , muda wa kurudisha fomu unafika, JPM haonekani, na jamaa hajapewa Hela.

Mwingine alikuwa Mwenyekiti wa jinery ya Chato, alimpa changamoto sana, baadae jamaa Figo zake zote zikafeli(inadhaniwa JPM aliinginia mpango wa kumuwekea sumu). Jamaa kapata Kibali Cha kwenda India kwa matibabu, Kila ikifika siku ya safari faili linapotea, Kila ikifika tarehe ya safari, faili linapotea, mpaka JK alipiingilia kati.

Mmoja alikuwa diwani baada ya kugombea, alifungiwa Dili zote za biashara, akafikisika, tenda za mgodini zikazimwa.

Mwingine alikuwa mwanasheria wa shirika la serikali, yeye aliandamwa na kesi balaa.
 
Huyo DIWANI sio yule wa pale buseresere kweli kipindi hicho Crispin Ben kagoma
 
Yeah, hii kauli ilimgharimu, na kama asingepenya katika urais, alikuwa anapoteza ubunge.
 
Alikua na roho mbaya sana yule mzee. Mungu amuweke panapostahili.
 
Hapo hamna kauli mbaya ila kawachana ukweli
 
Dah yule na mjani alikuwa anatumia bila shaka sio kwa vituko hivyo,nimecheka na kuhuzunika kwa hivi viroja,makurugusi napajua kwa hiyo sifa ya ugambushi,yote uliyoandika yana ukweli
 
Dah jamaa alikuwa noma sana
 
Ni kauli za kawaida zinazotolewa na wanasiasa kwasababu hata mzee mkapa aliwahi kujibu kuwa yeye sio raisi wa wamakua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…