frankkilulya
JF-Expert Member
- Apr 6, 2022
- 590
- 1,494
Ukiangalia Hela/Pesa mpya zinazotoka za noti Bado kuna sain ya waziri wa fedha Na gavana ambao kwa sasa hawapo kwenye nafsi zao.
Prof. Philip mpango alikua waziri wa fedha lakini kwa sasa ni Makamu wa rais
prof. Florens luoga Alikua gavana wa bank kuu
Kwa sasa kuna waziri mpya wa fedha na gavana mpya wa BOT
kwanini majina yao na sain zao bado zipo kwenye fedha zinazotoka mpaka sasa!?
Na kama huwa zinabadilika je zinachukua mda gani!?
Nawasilisha