Kwanini historia ya Zanzibar ya kweli haisomeshwi?

Nguruvi 3,
Mimi huwa sishinikizwi.
Hupenda kufanya mjadala wa kistaarabu.

Wala sioni shida kujibu swali lolote kwani kama sijui nitakwambia.
Na mjadala upo kistaarabu kabisa. Ghadhabu za nini?

Ni hoja tu zimewekwa kwa namba ili kusaidia mawasiliano

Tafadhali karibu bandiko#158 tuyazungumze
 
Nguruvi 3,
Mimi huwa sishinikizwi.
Hupenda kufanya mjadala wa kistaarabu.

Wala sioni shida kujibu swali lolote kwani kama sijui nitakwambia.
Mkuu Maalim Mohammed Said, kwenye hili la kutoshinikizwa, naunga mkono hoja, watu humu tuko free kuchangia hoja yoyote, kutochagia, kuuliza swali lolote, kujibu au kutokujibu chochote, ila pale unapoleta hoja ikawa challenged na kuwa labelled ni urongo, ili kulinda integrity yako, unawajibu wa kufafanua, japo hata unapokaa kimya nalo ni jibu, kama ulivyolikalia kimya post No. 39 ya Mwalimu Nyerere kutambulishwa kwa wazee wa Dar es Salaam na wazee wako miaka ya 50s wakati Mwalimu alikaa kikao na wazee hao mwaka 1948, sijui kama wazee wako hawakuhudhuria.

Hata mimi kuna mabandiko yangu humu nikiisha bandika, sirudi kujibu hoja yoyote ili kuepusha shari.
Hivyo hilo la kutoshinikizwa, nasimama na wewe Mkuu Maalim Mohammed Said.
P
 
Tena MS anaandika kwa ''semantics' kiasi kwamba ni wachache wanamwelewa
Hivi Pasco unajua'Mzanzibar Khalisi'' kwamba, wapo Wazanzibar halafu wapo ''khalisi'
Sasa sijui kama khalisi ni hawa wa kawaida au ni Sultan ! Nauliza tu
Unajua kwanini ameleta picha ya Okello ?
 
Mkuu sidhani kama kuna kushinikizwa. Hoja ameleta yeye , hakuna hata moja iliyotungwa nje ya maandiko yake. Katika mjadala na hasa inayosomwa kama huu ''10K'' busara kutumbukiza hoja halafu mitini. Hapo ndipo tunapoita ngano, inabaki kama hekaya

Picha ya Okello alileta na ku challenge kama hao ni wazanzibar khalisi
Ninataka ku challenge, lakini pia nataka kujua picha ilipigwa lini, wapi na hao ni akina nani
Tukishapata majibu tunaweza kujua ni khalisi au ni fake

Pili, kasema Abdallah K Hanga ndiye aliyepanga mapinduzi. Huko nyuma alisema Nyerere alichukua watu Kipumbwi. Kwa maana hiyo, Nyerere amekuwa ''exonerated and vindicated''

Ndiyo mana tunamuuuliza, je, wazee wake wa Dar walijua pia? Maana Hanga alikuwa mmoja wao na kwa mujibu wa MS ndiye aliyepanga mapinduzi bila shaka ndiye aliyewachukua wamakonde wa Kipumbwi.

Mkuu P, huu ujanja wa kukwepa hoja kwa kuweka mambo nje ya mada tumeushtukia tunaka hoja kwa hoja, na anayeleta hoja ahakikishe anajua analeta nini

Wapo watakao kaa jamvini na kumeza si wote wa aina hiyo!
 

Zanzibar iliendelea kwa siri vipi na ilikuwa chini ya mwingereza ?? Au vipi ?? Missionaries wa kiengereza sio hao walifanya hiyo biashara ?? hizi siasa za kipropaganda za makanisa msitudanganye

PESA WAMELIPWA MAKANISA SIO WATUMWA


Church apologises for slave trading!


2006: The General Synod of the Church of England apologises for its own direct involvement in the slave trade.





"We owned slaves, we branded slaves." – Rev Simon Bessant.


The Society for the Propagation of the Gospel in Foreign Parts owned the Codrington Plantation in Barbados, where slaves had the word "society" branded on their backs with a red-hot iron.


"When the slaves were emancipated in 1833, compensation was paid not to the slaves but to their owners."


In just one example, the Bishop of Exeter and three colleagues were paid nearly £13,000 in compensation for 665 slaves.


(BBC News 8 February 2006)


The Spanish pope, Alexander VI, made clear to his Iberian compatriots that they had





MAREKANI HIYO BAADA YA KUKOMESHWA UTUMWA KAMA UNAVYOSEMA




$360 bought you a slave in 1850, $500 in 1860.


Abolitionists are Infidels?


" The teachings of abolitionism are clearly of rationalist origin, of infidel tendency, and only sustained by reckless and licentious perversions of the meaning of the Sacred text".


– Robert L. Dabney, Presbyterian theologian, Virginia, 1851




More Biblical nonsense on slavery: "holes in ears"


"And if the servant shall plainly say, I love my master, my wife, and my children; I will not go out free:


Then his master shall bring him unto the judges; he shall also bring him to the door, or unto the door post; and his master shall bore his ear through with an aul; and he shall serve him for ever."


– Exodus 21, 2,6.
 
Mkuu Nguruvi3, mimi Mkuu Maalim Mohammed Said, niliisha mbaini kitambo, he is a man with a mission to accomplish. Kitu kizuri kumhusu Maalim Mohammed Said ni kwanza ana kipaji sana cha kuhadithia na kuelimisha, pili ana powers kubwa sana za ushawishi, na ana heshimika sana na hawa Muslim fundamentalists wa humu jukwaani, akisema kitu anasikilizwa sana na anaaminiwa sana, ndio maana hata akichomekea urongo with a purpose ndani ya mada zake, wafuasi wake wanameza mazima mazima.

Mimi ni muwazi sana hadi kwenye maisha binafsi, hivyo kuna siku nilisema humu kuwa katika ujana maji ya moto, nimepita pita kwingi ikiwemo mitaa ya Gerezani hadi Zanzibar, nikatania tusije kuwa tunabishana na shemeji zetu!, hali ilichafuka, Wazanzibari walikuja juu kama moto wa kifuu hadi kutaka kunisomea itkaf kama ile ya Salman Rushdie, nikionekana popote Zanzibar, niuliwe!, Maalim Mohammed Said kwa kutumia busara zake ma powers zake za ushawishi, akawatuliza na wakatulia, hivyo ni mtu ninayemheshimu sana.

Hii hoja ya kumleta Okello na kusema Okello sii lolote sii chochote ni tuu kuhalalisha ile hoja yake ya zile ngano za Kipumbwi ili kuonyeshea waliompindua Sultan, sio Wanzanzibari bali ni Wanzanzibara.

Zanzibar kuna ubaguzi sana wa matabaka, tabaka la juu walikuwa Wazungu, Europeans, wakafuatia Indians, Arabs, Washirazi na machotara, tabaka la mwisho ni Wamatumbi, ndio wanaitwa Africans, sasa katika ujumla wake, wanahesabu wenye halali ya kuwa Wanzanzibari halisi ni Wahindi, Waarabu na Machotara, ambao kwao hao ndio Wazanzibari wale Africans wanawaita Wanzanzibara.

Kutokana na kasumba hiyo, ili mtu ujione bora Zanzibar, hata wakiwa Waswahili kabisa, ngozi nyeusi na nywele za kipilipili, bado wanajinasibu na Uarabu, kwa kufuga ndefu, kuvaa lemba, hata kuongea kwa lafudhi ya Kiarabu na wengine hata kuandika Kiswahili cha Kiarabu.

Sasa ili kuyadogosha Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, hatua ya kwanza ni kumdogosha kiongozi wa Mapinduzi yale Okello kuwa sii lolote sii chochote. Kisha kuweka picha ya Wajumbe wa Baraza la kwanza la Mapinduzi, ndio waliopindua ili kuonyeshea sio Wanzanzibari, bali ni watu wakuja wakishirikiana na Wanzanzibara.

Lengo ni juhudi za kuya discredit Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar ili wayaite mauaji ya kimbari yaliyofanywa na Wanzanzibara kuwateketeza Wazanzibari.

P
 


Usijaribu kuleta propaganda nyengine hapa yaani unataka kutuambia hizo camera zilishafika Africa kabla kabla1833

Kawadanganye kondoo kanisani

Yaani kama vile simu za smartphone zilifika Africa zaidi ya miaka 50 iliyopita si vichekesho hivi 😛😛😛😛😛

KATUNGE UONGO MWENGINE LAKINI SI HUO
 
Khs hoja Mwalim kutokujua kilichotokea Zanzibar unaweza kurudi mpk. mara tu baada kifo cha Mzee Karume Mzee Aboud Jumbe alimpigia Cm Mwalim Nyerere na maongezi yao ilikuwa hv Mwalim kuna matatizo makubwa ametokea Znz jibu kutoka kwa Mwalim ni Khs mauaji ya Mzee Karume nini matazamo hapa Kaka yngu Pascal...
 
Zanzibar iliendelea kwa siri vipi na ilikuwa chini ya mwingereza ?? Au vipi ?? Missionaries wa kiengereza sio hao walifanya hiyo biashara ?? hizi siasa za kipropaganda za makanisa msitudanganye

PESA WAMELIPWA MAKANISA SIO WATUMWA
Mkuu Gavana, unaleta yale yake ya Mkuu Maalim Mohammed Said, tunazungumzia madhila ya Watumwa chini ya Sultan dhalimu wa Zanzibar, yeye anang'ang'ana na Trans Atlantic Slave Trade.

Nimekuwekea document ya ripoti ya udhalimu na kilichokuwa kinafanyika Zanzibar chini ya Sultan baada ya kupigwa marufuku biashara hiyo ya mwaka 1895. Wewe unaleta habari za Wazungu!.

Kasome tuu historia ya hilo kanisa la Mkunazini, ndipo lilipokuwa soko kuu la Watumwa. Kanisa liliwakomboa kwa kuwalipa fidia Waarabu wauza Watumwa kwa kuwagomboa, na wakawa hawana pa kuwaweka, wakabaki hapo hapo sokoni, ndipo wakalinunua soko na kuendelea kuwatunza Watumwa huru, ndipo baadae wakajenga lile kanisa.

Sichoki kukushauri soma ripoti hii.
Pitia hapa: A report on slavery and the slave trade in Zanzibar, Pemba ...
Kuna binadamu ukiwaona machoni ni kama watu, lakini kiukweli sii watu ni wanyama kabisa kwa unyama waliowafanyia binadamu wenzao.
P
 


Yaani wewe mtu wa Usukumani unaishi Mwanza unajua Zanzibar kuliko sisi tunaoishi Zanzibar , kazi ipoooo

Pascal ubaguzi mnao nyinyi huko bara na mnajaribu kuuingiza Zanzibar kuhalalisha uvamizi wa 1964

Si tunaona wengi wakisema Lowassa asipewe uraisi mtu wa kaskazini au uongo ninasema

Pascal sisi ni watu wa kaskazini Unguja na dadayetu mmoja ni mweusi kuliko wewe aliolewa na hao mnaosema wakiuza watumwa .

Ni watu masikini hohe hahe 1964 mlipovamia mlimuua huyo mzee mbele ya mke wake na watoto na kutuwachia mayatima na mjane aliyepoteza akili mpaka leo .

Huo ndio uhuru mnaoututakia waafrika ??

Ubaguzi uko wapi Pascal ikiwa ndugu yangu ameolewa na muhindi na wamezaa na wanaendelea kuishi unaniambia kuna ubaguzi. Ndugu yangu mwengine ameoa muhindi wala hakuna ubaguzi wowote kwa wazazi wake.

Mtoto wangu ameolewa na mnyamwezi wa kwenu Mwanza kuna ubaguzi wapi

Msituletee propaganda za kanisa na CCM kuendeleza uvamizi wenu wa 1964


Pascal nitajie huyo mwarabu mmoja tu aliyekuwa akifanya biashara ya utumwa ambaye mlimfurusha 1964
 

Hiyo ripoti nimeisoma ndiyo zile ripoti zilizoandikwa na msomali , jaji msomali

Hao watumwa tunaambiwa eti Pemba kulikuwa na watu na watumwa. Niambie mpemba mmoja tu aliyekuwa na watumwa

Hao waingereza hayo waliyoyafanya hayasemeki , mpaka Chago islands wamewafurusha watu wote , kisiwa wakawakodisha wamarekani huo si zaidi ya utumwa ??
 


Dini inayoruhusu utumwa ni ukristo labda huisomi biblia yako


Leviticus 25:44-46

"Your male and female slaves are to come from the nations around you; from them you may buy slaves. You may also buy some of the temporary residents living among you and members of their clans born in your country, and they will become your property. You can will them to your children as inherited property and can make them slaves for life, but you must not rule over your fellow Israelites ruthlessly.


And if the servant shall plainly say, I love my master, my wife, and my children; I will not go out free:


Then his master shall bring him unto the judges; he shall also bring him to the door, or unto the door post; and his master shall bore his ear through with an aul; and he shall serve him for ever."


– Exodus 21, 2,6.

Galatians 4:28-31 "Now you, brothers, like Isaac, are children of promise. At that time the son born in the ordinary way persecuted the son born by the power of the Spirit. It is the same now. But what does the Scripture say? 'Get rid of the slave woman and her son, for the slave woman's son will never share in the inheritance with the free woman's son.' Therefore, brothers, we are not children of the slave woman, but of the free woman."

This verse from the New Testament despises children who are born from slave mothers.

This verse doesn't recognize children born from slave mothers as normal sons because they are not allowed to inherit.

This verse doesn't recognize slaves as equal to normal human beings.

This verse agrees fully 100% with slavery and enslaving people.

1 Timothy 6:1

"All who are under the yoke of slavery should consider their masters worthy of full respect, so that God's name and our teaching may not be slandered."
 
Historia ya kweli ya Zanzibar walibaki nayo wakaazi wa Zanzibar mababu na mabibi zetu, hii iliyoandikwa kwenye vitabu nyingi ni uzushi mtupu, mfano mdogo na mzuri kuna pango liko Pemba lina historia nyingi sana ambayo imeandikwa kwenye magome ya miti na ngozi za wanyama, lakini huwezi kukuta imeelezwa kokote kule ulimwenguni wala kwenye kitabu chochote.
 
East Africa ikiwa ikiwa chini ya Germans Waarabu walitumika kama makuli wa kuwachukua watumwa kutoka maeneo ya bara na kuwafikisha mkunazini kwa British ambao ndio walikuwa wamedominate soko la biashara hiyo.
 
Tafuta andiko lolote kuhusu Zanzibar Revolution ambapo Okello hajatajwa kama kiongozi wa Mapinduzi yale Matukufu ya Zanzibar.
John Okello was everything kwenye Mapinduzi Matukufu yale who was reduced to nothing.
P

Mkuu unafikiri mapinduzi mpaka yakafanikiwa nisuala la kukurupuka tu? Who was OKello? mbona siku zote hoja zenu hua ni dhaifu. Nikweli Okello alikua katika washirika lakini kusema yeye ndie aliyefanya mapinduzi ni vichekesho.
UNaweza tutajia baadhi ya wafuasi wake? Vipi aliyaplan yale mapinduzi? Vipi aliweza kuwa handle British?
Unafikiri bila ya ridhaa ya British kungetoe mapinduzi pale Unguja? Mbona Tanganyika yalishindikana?
 


The South: a Christian Republic






Six of the first eight US presidents were slave owners, five from the South.
 

Unaweza kutusaidia kutupa majibu kwanini Hanga alitangazwa kuwa Waziri Mkuu baada ya mapinduzi tu, Na haikufika hata wiki akabadiliswa wadhifa na kuwa Makamo wa Raisi?
 
Unaweza kutusaidia kutupa majibu kwanini Hanga alitangazwa kuwa Waziri Mkuu baada ya mapinduzi tu, Na haikufika hata wiki akabadiliswa wadhifa na kuwa Makamo wa Raisi?
Dos ...
Hata mimi sijui kwa nini ilikuwa hivyo.
 
Mkuu Gavana, kwanza pole kwa madhila ya yale Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, kwa hayo unayoyasema, kila binadamu mwenye utu, yatamgusa, hata nilipokisikia kisa cha Hamudi iliyemuua Karume, nikaelewa.

Hili la ubaguzi Zanzibar lipo, tena sio tuu ni ubaguzi wa kutubagua Wabara, hata nyinyi wenyewe kwa wenyewe mnabaguana, Luna Wanzanzibari na Wazanzibara. Ndani ya Wazanzibari pia mnabaguana kuna Waunguja na Wapemba. Kwa vile Pemba haikushiriki yale Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, Wanamapinduzi kindakindaki waliwahi kujiapisha " Zanzibar imepatikana kwa Mapinduzi, Pemba haikushiriki Mapinduzi, hivyo Mpemba kamwe hawezi kupewa urais Zanzibar kwenye karatasi ".

Baada ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, Wamatumbi ndio waliruhusiwa kujitwalia vibinti vya Kiarabu, na ilikuwa ni marufuku kukataa.

Mpaka leo, mpaka kesho, baadhi ya Waarabu wanajisikia wao ni bora zaidi, na baadhi ya Wamatumbi wanajisikia wanyonge.

P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…